Salaam,
Hakika ukitaka kusafiri jioni kuelekea kimara kuanzia saa 11 na kuendelea kupitia Mwendokasi ujipange kisaikolojia, ukikata tickets kwenye vituo huwa hawakuambii hali ya usafiri ipoje, ukiingia kusubiria basi ndio kasheshe huanzia hapo.
Jana kwenye kituo cha magomeni mapipa...
Imagine unakaa dakika 20 huoni gari ya kuelekea unakoenda, na unatumia usafiri tuliotangaziwa kwa mbwembwe na bashasha kwamba ndiyo mkombozi wa shida ya usafiri.
Kwa hali hii, serikali iruhusu daladala kama kawaida kwa zile route ilizoondoaga daladala kama Kimara hadi Gerezani na Kivukoni...
Ajali nyingi sana zimeshatokea eneo hili. Mamlaka hazichukui hatua yoyote. Sehemu yenye junction na yenye pilikapilika kama hii tena inaingiliana na mwendokasi inakosaje taa za kuongozea? Hicho kioo kikubwa kando ya junction mnadhani kinatosha kwa madereva na watumiaji wa barabara hiyo kuona...
Ajali hiyo imetokea katika eneo la Kisutu majira ya saa nne usiku jana 29/3/2024, ambapo Mwendokasi kutoka Kivukoni ikielekea Ubungo iligongana bodaboda iliyokuwa inakatisha kuelekea njia ya Kisutu.
Katika ajali hiyo kumetokea vifo viwili; dereva wa bodaboda na pamoja na abiria wake.
Sikutegemea Mradi wa kubeba abiria Dar es Salaam akabidhiwe kampuni ya kigeni. Usafirishaji ni sekta ambayo Watanzania wanafanya vizuri sana. Nchi nzima mabasi yanamilikiwa watanzania wenzetu. Wanasafirisha abiria bila kelele wala malalamiko tena kwa mabasi mazuri yenye huduma zote.
Kafulila na...
Bandari imeshindikana Hadi mmewapa DP world!
Sasa na mabasi Tena jamani? Haya mabasi ya mwendokasi tu haya yamewashinda serikal? Yaani nchi imeshindwa kusimamia mabasi tu yaani imeshindwa kutafuta hats makondata waaminifu Wadai nauli TU!!?
Sasa hii serikali.inaweza nini?
Wapeni jkt waonyeshe...
Mnamo tarehe 26.03.2024 majira ya saa mbili usiku katika eneo la Kivukoni kwenye Kituo cha Mabasi Yaendayo Haraka (Mwendokasi), kulitokea hali ya vurugu kati ya abiria na madereva wa basi liendalo haraka lililokuwa linafanya safari kutoka Kivukoni Moroco.
Hali hiyo ilitokana na abiria wengi...
Inaelezwa Serikali imetafuta Kampuni kutoka Dubai ili kuipa tenda ya kuendesha Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi Jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ushirikiano wa Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila, amesema DART itasaini makubaliano Mwezi ujao na Kampuni ya Emirates National...
Muda mfupi baada ya Member wa JamiiForums.com kusimulia tukio la Dereva wa Basi la Mwendokasi aliyetakiwa kuwapeleka Abiria Kimara kutoka Kivukoni, badala yake akawapeleka Kituo cha Morocco kisha kuwaacha hapo, jana Machi 26, 2024, mamlaka husika inatarajiwa kuchukua hatua.
Mtendaji Mkuu wa...
Shirika la emirates bos wake ni mzungu ila shirika ni mali ya emirates kwanini serekali isitafute muwekezaji kutoka foreign country kupitia interview na wampe kazi
Sio tu mwendokasi hata TANESCO wapewe foreigner watanzaia wengi uwezo wa management hawana kubinafshisha moja kwa moja sio...
Salaam Wakuu,
Baada ya Waziri wa TAMISEMI kuagiza DART itafute mwekezaji binafsi wa kuendesha Mabasi ya Mwendokasi, sasa mambo yamekuwa moto.
Hadi sasa Makampuni 30 yameomba kuendesha Mabasi hayo.
MY TAKE
Nani wa kutoboa mbele ya Mwarabu?
=====
Dar es Salaam. Two Tanzanian companies are...
Jana Machi 26, 2024 nikiwa kwenye Kituo cha Mwendokasi cha Kivukoni, kulikuwa na nyomi la hatari mida ya jioni, mabasi mengi yalikuwa yamepaki pembeni na machache yaliyokuja hayakukidhi haja ya huduma iliyotakiwa kutolewa.
Watu walikuwa wengi na wengine wakionekana wanataka kuwahi kwenda kupata...
Hizi taarifa zinachanganya!
Tarehe 23 march niliangalia taarifa ya habari, Taarifa zinasema Serikali ina mpango wa kutafta mwekezaji ambaye ataleta mabasi na kutoa huduma kama mzabuni.
Tarehe 25 march katika taarifa ya habari wanasema mzabuni tayali kashaanza kuigiza mabasi! Swali tenda...
JPM alipoona Mwendokasi Madereva wanadai maslahi alikwenda kuchukua vijana serikalini na JKT akawapa kazi za ulinzi, kukata tiketi,ufundi na udereva. Walioletwa kwa sababu wanawekwa bila sifa wameendelea kujifunza kazi taratibu lakini wakiwa na msongo mkubwa wa mawazo kuhusu lini watapata...
Kutokana na kuhatarisha maisha ya abiria, watu kujeruhiwa na kupoteza maisha, kupoteza muda na kuchelewa, pamoja na maumivu ya kisaikolojia; Je, tupo tayari daladala zirudi?
PIGA KURA YAKO KULETA MABADILIKO.
Mkurugenzi wa shirika la reli nchini, Masanja Kadogosa amesema treni ya SGR itatumia saa moja na nusu kutoka DAR mpk Moro na itatumia msaa 3 kutoka DAR mpk Dodoma.
Ndipo waziri wa uchukuzi prof. Makame Mbarawa akasema "naomba wananchi waelewe hii treni siyo ya high speed kama zile za China na...
JUZI NILIKUWA POSTA, ASEEH! MWENDOKASI MIDA YA JIONI NI KISANGA. SERIKALI HAMWONI? NUSURA NIPATE KILEMA.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli
Baada ya kumaliza kilichonipeleka, jua lilikuwa limeshapunga mkono wa Buriani. Kigiza cha usoni kilikuwa kimetawala usoni pa Nchi. Ni saa moja hiyo...
LATRA wametoa mkeka mpya ukionesha kutoa ruhusa kwa mabasi makubwa ya abiria kuanza kufanya safari zake katikati ya jiji kutokea stendi ya Mbezi Louis.
Kwa muda mrefu sasa mradi wa Mabasi yaendayo kasi jijini dar-es-salaam umeonesha kukwama/kushindwa/kuhemewa/kufeli kutoa huduma kwa wakazi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.