Nimesikitika sana kuona pamoja na adha ya mwendokasi na mateso wanayopitia abiria, serikali kuondoa/kupunguza mabasi na kuruhusu baadhi kutumika kwa watu wachache na kuwaacha maelfu wamekwama vituoni wakisubiri usafiri.
Hata kama kuna abiria ndani, Je vipi kuhusu usumbufu wanaopata abiria...
Kuna Stendi ya mwendokasi pale (Jangwani), mwendokasi ile imejengwa kwenye mkondo wa maji halafu maji yakijaa pale wanaanza kulia kwamba maji yameingia kwenye magari sio kweli bali magari yameingia kwenye maji na wale wote waliotengeneza ile Stendi akili hawakuwa nazo na nitashangaa kama bado...
RATIBA YA ASUBUHI
Naamka saa 11 au 12 kutegemeana na shughuli za siku.
Nikiamka saa 11 ujue na shughuli na mama yoyo.
Nikiamka saa 12 cha kwanza nachukua nguo za watoto( wawili wanafunzi) na zangu na kuzinyoosha.
Muda huo wife anakuwa anapambana na kuwaogesha. Akimaliza kuwaogesha nampokea...
Wenye mamlaka ni vyema sasa mkatoka hadharani kutolea ufafanuzi hali ya usafiri katika kituo hiki cha KIBO.
Mara nyingi nyakati za asubuhi kuanzia saa 11 Hadi saa moja na nusu basi hazisimami kabisa kupakia abiria kwenye kituo hiki, nyingi zinakuja zimeshajaa na hazisimami.
Je kama mmeona kuna...
Naambiwa mkurugezi wa mwendo kasi akijumuisha salary, posho, safari na usafiri kwa mwezi mmoja anatumia zaidi ya milioni kumi za wananchi.
Lakini pamoja na kulipwa fedha zote hizo bado hakuna siku amewahi kuonekana katika eneo la Mradi ambalo ni pungufu ya urefu wa kilomita 40. Yupo ofisini...
Baada ya kelele nyingi za uhaba wa usafiri, au niseme kero ya mwendokasi.
Miruzi ilikuwa mingi kuhusu uwezekano wa Mwendokasi kupata utatuzi na utatuzi ni kuleta Gari mbadala zitazoingia mjini na kutoka?
Hivi ile project iliishia wapi?
Nilisahau kabisa leo nikaamua nisubiri mwendokasi Pale...
Nimeona Rais Samia kamtumbua kiongozi wa juu wa Mwendokasi labda kero zitapungua kwa kweli.
Ukiachana na kero ya msongamano wa abiria na utaratibu mbovu ambao kila siku hata Jamii Forums naona mnaupigia kelele, kingine ni kuhusu suala la chenji.
Hilij ambo ni dogo lakini linakera na linapaswa...
Ukimya wa serikali wa kutatua changamoto ya huu usafiri binafsi unanipa wasiwasi huenda serikali haifahamu izi shida ambazo wananchi wanao tumia usafir huu tunakutana nao.
Jana Jumatatu pale Gerezani nilitumia masaa 3 na dakika nyingi kusubiri usafiri, imagine nimefika pale saa 10 jioni...
Nchi ya Senegal imezindua mradi wa usafiri wa kwanza wa mabasi yaendayo kasi ya umeme (BRT) katika mji mkuu wa Dakar.
Katika hafla ya uzinduzi, Waziri Mkuu wa Senegal Amadou Ba alisema kuwa mradi huu ni miundombinu ya kisasa sana, na pia ni uvumbuzi mkubwa.
Mradi wa Dakar BRT, unaojivunia...
Bila shaka huyu ni kigogo mzito sana, anajenga frem kwenye hifadhi ya barabara, ndani ya kituo cha mwendokasi Mbagala, kibali amepata wapi? Ilikuja Tanroad ikasimamisha ujenzi na kupiga X jamaa akafuta kwenye x za kijivu ujenzi unaendelea, wakaja tena wakarudia kupiga X bado mafundi wanapaua...
Aliyekuwa Dereva na mmiliki wa gari ndogo, Hamis Chaurembo (27) maarufu kama SIMBA ambaye amefariki baada ya kupata ajali mbaya huko Kibondo Kigoma amezikwa jana.
Ila kuna cha kujifunza hapa kutokana na maneno ya baadhi ya marafiki zake.
"Baadhi ya A.K.A alizopambwa nazo ni pamoja na 'Mwendo...
Jamani kwani serikali inakazi gani??inakuwaje inaleta mfumo mpya kwa lengo la kurahisisha na kuleta ufanisi katika anga la usafiri lakini inashindwa kabisa kufata sheria walizoweka wenyewe??
Juzi nimetoka zangu mkoani kuja zangu Daaslamu huku usafiri mkubwa na watabu ukiwa ni...
Prof. Anna Tibaijuka amesema wakati akiwa Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, hakutoa Kibali cha Ujenzi wa Kituo cha Mabasi Yaendayo Kasi katika eneo hilo lakini ulifanyika kwa maamuzi yasiyo sahihi
Tibaijuka amesema "Jangwani haina kibali changu kuwa pale. Mimi nilikataa...
Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi Mbezi Mwisho hali ni mbaya, abiria tupo wengi lakini mabasi hakuna, kuna watu wako hapa tangu Saa 12:10 Asubuhi (leo Novemba 15, 2023) lakini hakuna msaada wowote.
Hivi viongozi wetu wanaishi wapi mpaka hawaoni hii kero? Kila siku ni kilio cha Mwendokasi tu.
Hapa...
Hapa nazungumzia watu waliofika Dar mara moja na kuondoka siyo kukaa. Exprience yako ya mwendokasi iko namna gani?
Mwendokasi ni mradi unaoiweka sana Dar kwenye ramani. Si ndani ya Tanzania tu, hata huko duniani watu wanausifia sana sana.
Mimi kama mwaka 2020 nilifika Dar na kusema ngoja...
Ndugu zangu wana JF hii video ni ya leo asubuhi katika Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi Mbezi Luis, yaani kimekuwa na changamoto ya uhaba wa magari asubuhi ya leo Oktoba 16, 2023.
Foleni imekuwa kubwa ya abiria kusubiri mabasi, wapo ambao wamelazimika kusubiri mabasi hayo kwa saa tatu.
Upande wa...
Kutokana na uendeshaji wa shirika la DART kusuasua, na kwamba zaidi ya magari 70 kufikia kuwekwa pembeni kutokana na ubovu na madereva kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi ikiwa ni pamoja na kutokutoa huduma zinazo ridhisha, ni wakati sasa kwa serikali kuongeza mwekezaji mwengine kwenye njia hiyo...
Ni aibu kwa mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya na viongozi wote wa DSM kwa namna mabasi ya mwendo kasi yanavyofanya kazi.
Mradi mkubwa kama huu hakuna kiongozi yeyote anayeuangalia wala kusimamia unajiendesha wenyewe. Magari yawepo au yasiwepo wala hakuna anayeangaika.
Mifumo ya ukataji tiketi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.