Salaam,
Hakika ukitaka kusafiri jioni kuelekea kimara kuanzia saa 11 na kuendelea kupitia Mwendokasi ujipange kisaikolojia, ukikata tickets kwenye vituo huwa hawakuambii hali ya usafiri ipoje, ukiingia kusubiria basi ndio kasheshe huanzia hapo.
Jana kwenye kituo cha magomeni mapipa...