mwezi

  1. Hawa ndio watu wenye akili duniani, anaingiza billioni 4.8 kwa mwezi kwa kazi ya kulala

    Mrembo Kaitlyn Siragusa maarufu kama Amouranth ni moja ya watu maarufu duniani wanaoingiza pesa nyingi bila kutumia nguvu. Ana followers milioni 3.7 twitter na subcribers milioni 6.4 kupitia mtandao wa Twitch na subcribers laki 9 youtube, anaingiza dola milioni 2 kila mwezi sawa na Tsh bilioni...
  2. Serikali itueleze, imeanzisha tozo mpya kwenye manunuzi ya luku kinyemela? Au system imejichanganya, kwanini tozo zinakatwa mara 2 kwa mwezi?

    Nimenunua umeme tarehe 29 mwezi wa sita nimekatwa 1000 huku huko nyuma nilishakatwa tarehe moja. Nilijua wamebadirisha tareha za makato. Leo nimenunua tena nimekatwa 1000
  3. Utafutaji ni mgumu nawashanga watumishi wa serikali wenye uhakika wa kuvuta mshahara kila mwisho wa mwezi japo ni kiduchu wanashindwa kushukuru

    Habari ya sikukuu Mtoko wangu wa leo sikutaka kwenda kuponda raha niliingia hapo mbezi stendi kuangalia hawa ndugu zetu walio jiajiri ili nijifunze vitu vipya ambavyo sivijui hawa watu wanaamka saa kumi za usiku na kulala mida mibovu sana middle of the night aisee utafutaji wao ni mgumu sana...
  4. Nina mwezi mmoja tu umebaki kabla ya kufunga ndoa. Ushauri wenu tafadhali

    Wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni kijana mdogo niko kwenye early 20's. Nategemea kuoa kwa mara yangu ya kwanza na nimebakiza mwezi mmoja kabla ya kufunga ndoa. Je, nini nikifanye kipindi hiki nikiwa naelekea kuwa mwanamme kamili. Natanguliza Shukrani.
  5. Tulitangazwa bure Burj Khalifa...

    Ikifika mwezi wa 7 , kuna ‘mbuzi’ wawili au watatu watatolewa kafara, hii ni kwa decoding binafsi ya mtiririko wa matukio takriban matano hadi kumi niliyoya -observe, na inanipelekea kuamini hivyo. 1.) Haya majibu yanayotolewa na serikali kupitia Gerson Msigwa , Kassim Majaliwa na Hamza Johari...
  6. Mwezi wa kichekoo

    Tarehe ndio hizooo mambo bado uko wale wa kwa mangi tukalipe
  7. Dkt. Mwigulu: Kuanzia tarehe 1/07/2023 hakuna kufunga biashara kwa kigezo cha mtu kukiuka taratibu

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza kwenye hotuba yake ni kwamba kuanzia July 01, 2023, iwe ni marufuku kwa Taasisi yoyote ya Serikali...
  8. Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    Wataalamu wa bank, je naweza kuweka deposit kiasi cha hela kama 10m halafu kila mwezi bank inanilipa riba? Na je watanilipa kiasi gani kila mwezi? Wakati huo hela yangu ipo tu bank?
  9. Jiji Gumu kama Dar kuna watu wanaishi kwa mshahara wa laki 1 na elfu tu kwa mwezi

    Dar ni ngumu sana, Mnawezaje kuishi kwa elfu 4 kwa siku mkiwa na familia? Kuanzia kodi, nauli, kula kutwa mara 3, kuugua na kuuguliwa, mambo ya shule n.k Gharama zote hizi mtu anaziweza kwa 120,000?
  10. Nahitaji developers watatu (3), mshahara laki 4 kwa mwezi

    Heshima kwenu wakuu! Nahitaji developers watatu (3) wasio na ajira rasmi, kuna kazi watatakiwa kuifanya na baaada ya hapo kutakuwa na ajira rasmi kwao kwaajili ya kukiendesha walichokiunda, ajira rasmi itakuwepo endapo watafanikiwa kukamilisha kazi hiyo ya awali. Wanatakiwa devs 3 wenye ujuzi...
  11. D

    Ndani ya mwezi mmoja Ndege ya Tanzania imetumika kwa hasara karibia Milioni 300. Tunaoumia ni sisi walipa kodi

    Habari wadau. Sisi wafanyabiashara tunajitahidi kulipa kodi hata wakati ambao hatuoni faida lakini tunalipa ili nchi isonge! Lakini ajabu matumizi ya kodi zetu hayaheshimiwi hata kidogo! Yanga siyo timu ya taifa Bali ni club binafsi inayomilikiwa na wafanyabiashara wanaofaidika na uwekezaji...
  12. KCMC inapokea Wagonjwa 300 wa Akili kwa mwezi

    Daktari bingwa wa afya na magoniwa ya akili wa Hospitali ya Rufani ya Kanda ya KCMC, Dk. Editruda Gamassa, amesema hivi sasa wanapokea wagonjwa wa nie wenye matatizo ya afya ya akili, zaidi ya 300 kwa mwezi mmoja. Magonjwa ya afya ya akili ambayo ni tishio nchini ni Kihoro (Anxiety), Sonona...
  13. Swali Fyatu la Mwezi: Wakimpa Sifa Zake, Watapunguza za Kwao?

    Na. M. M. Mwanakijiji Kuna watu ambao tunawakumbuka kwa umahiri na weledi katika kazi, vipaji au matendo yao. Michael Jordan aliichezea timu ya mpira wa vikapu ya Chicago Bulls na kujionesha kuwa ni mchezaji bora Zaidi wa mchezo huo duniani. Wengi wanalijua jina la Michael Jordan lakini ni...
  14. Mrejesho wangu nikiwa kama mtumiaji wa tigo post paid Internet, The juice i get is worth the squeeze from my wallet

    Nipo natumia huduma hii tangu mwaka jana na msukumo wa kuja huku ilikuwa ni baada ya mitandao kupandisha bei za mabando, nadhani wote mnakumbuka mabando yalikuwa bei chee ila kuna wabongo hawakutosheka wakaanza kuyabipu makampuni ya simu kwamba vifurushi visiwe vina expire, Mb ni chache, n.k...
  15. K

    DOKEZO TANESCO inakata Tsh 6,000 kila ukinunua umeme mwisho wa mwezi

    TANESCO ilisema imeondoa service line lakini Cha kushangaza nimenunua umeme kwa miezi miwili wananikata Tsh. 6000, sijajua shida Nini, Ina maana siku hizi TANESCO haifuati miongozo ya wizara inafuata mambo yake? Unajua Kuna vitu vingine tunaweza tukasema Magufuli alikuwa Bora upande wa matumizi...
  16. Jenga kwako, usiridhike na vyumba / apartment za kupanga! ukifariki msiba utaombolezwa kwenye apartment? watoto wataishi wapi kodi ya mwezi ikiisha?

    offcourse ni vizuri kijana unamkuta kapanga apartment yake ama self contained, ana usafiri wake, biashara ama kazi inamlipa fresh, ana mke na watoto wawili tayari, n. k lakini kipengere kinakuwa kwamba sehemu anayoishi ni ya malipo kwa kila mwezi bado hana pake. Jenga kwako hata kama ni nyumba...
  17. L

    JInsi Mshahara wa Mkenya utakavyopigwa panga kuanzia Julai 1, 2023

    JIRANI ZETU WATAENDELEA KUKIONA CHA MTEMA KUNI , HAPO BADO ISSUE YA DOLA KUPOTEA HAIJAINGIA.. Huku Wakenya wakiendelea kukumbwa na hali ngumu ya maisha kutokana na ongezeko la gharama ya juu ya maisha, hakuna matumaini ya afueni kupatikana hivi karibuni. Hatua hii inajiri baada ya serikali...
  18. L

    Sintofahamu ya mpaka sasa Serikali haijawalipa watumishi mshahara wa mwezi wa mwezi Mei

    Mpaka sasa si WAALIMU, MATABIBU wala MAAFISA WA JESHI waliopokea mishahara yao ya mwezi Mei 2023. Hazina ya serikali inahitaji wastani wa bilioni zaidi ya mia sita kila mwezi kwa mishahara ya watumishi wa umma na nyingine zaidi ya bilioni 8 bilioni kwa malipo ya pensheni. Watalaam mbalimbali...
  19. M

    Wale waliozoea tarehe 22/23 kila mwezi mambo kuwa mazuri naona mwezi huu bado ATM zimenuna, Kulikoni?

    Isije ikawa ni athari ya biashara kariakoo kufungwa! Si mnajua serikali huwa haina ujanja mwingine zaidi ya kodo?
  20. Makusanyo ya Kodi kupanda kutoka trilioni 1.2, mpaka trilioni 2 awamu ya 6, ni nani hawa walikuwa wanakwepa Kodi ya bilioni 800 Kila mwezi?

    Samia Suluhu Hassan katika makusanyo ya Kodi, amepanda kutoka trilioni 1.2 mpaka trilioni 2, swali la kujiuliza, hii Kodi ya bilioni 800 nani alikuwa anakwepa kuilipa? Na je akibanwa? Tunatarajia hatapiga au hawatapiga yowe? Piga hesabu bilioni 800 zilikuwa haziingii hazina zikajenge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…