Hii ndio picha ya mwisho ya Vladimir Lenin, aliyekuwa kiongozi wa kwanza wa Muungano wa usovieti, U.S.S.R.
Mwaka 1923, Lenin alipata tatizo la kupooza na kupoteza uwezo wake wa kuongea. Hatimaye tarehe 21 January 1924 alifariki dunia.
Baada ya kufariki, Joseph Stalin alichukua madaraka...