Mambo ni mengi ,binafsi nigeweka hivi: Front page (FP) na last page (LP)
FP: Watoto wasumbua likizo na wazazi wakitamani shule kufunguliwa (kana kwamba wao hawahusiki na malezi)
LP: Kiatu chavutwa nusura kichanike
Tiririka
MWISHONI kabisa tulimwona Kocha Nasreddine Nabi akitoa machozi. Ni nadra kwa mwanamume kulia. Tunaambiwa tulie kwa ajili ya kuipa mioyo yetu nafuu lakini hatufanyi hivyo. Nabi alilazimika kufanya hivyo.
Alijua ameshindwa kumalizia kipande kidogo cha historia kilichokuwa kimebakia. Matokeo ya...
Uwezi amini jamani, nina mdogo wa mwisho anamika 27 miaka mitano iliyopita alipata mtoto wa kiume. Ila aliyempa ujauzito baadae alioa mwanamke mwingine.
Mwaka jana mwezi wa 8 alimpata kaka mmoja hivi ni mzuri sana na anamaisha yake. Mimi nilimpenda sana yule kaka, mdogo wangu aliniambie huyu...
Pamoja na kaajira kangu ka kubangaiza mimi pia ni dereva bajaji huwa nikichomoka kwenda job asubuhi lazima niitumie bajaji kukusanya watu kituoni na kuelekea nao posta na nikirudi pia hivyo hivyo.
Katika harakati zangu za kipimbi kuna kitu nimegundua wadada wengi kipindi cha mwisho wa wiki...
Nimekuwa na madudu mengi katika idara ya elimu Ubungo baadhi kwa kutaja ni kama;
1. Kucheleweshwa kwa watumishi kupandishwa madaraja.
2. Kila mara kutolipwa au kukopwa posho kwa wasimamizi wa mitihani ya utamilifu (mock).
3. Kutokuwa na utaratibu mzuri wa mawasiliano na kutoa maagizo ya zima...
Kuna mambo mengine kwenye hizi simulizi za vitabu vya kiimani yanafikirisha.
MWISHO WA DUNIA! Dunia hii sayari yetu au?
Mifumo mingine ya ulimwengu ambayo ina mamilioni ya mifumo ya jua na sayari zake kama yetu na mamilioni ya galaxies nayo ambayo ndani yake Kuna mamilioni ya nyota na...
Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu huu mtandao kuibia watumiaji wake lakini hatuoni maboresho yoyote mimi leo nimelazimika kuandika uzi sababu nimeibiwa salio langu la tsh 300 na huu mtandao baada ya kujaza vocha wananitumia sms umekatwa sh 300 baada ya kujiunga na huduma ya "chekecha mkwanja "...
Ni dhahiri kuwa mwisho wa Museveni kutawala Uganda umefika. Hii ni baada ya Museveni kuingia kwenye mgogoro mkali sana na Marekani kuhusiana na sakata la LGBTQ.
Ukweli ni kuwa unapokuwa rais wa Afrika na ukawa na mgogoro na Marekani lazima wakung'oe madarakani ili wenye Demokrasia watawale...
TANESCO ilisema imeondoa service line lakini Cha kushangaza nimenunua umeme kwa miezi miwili wananikata Tsh. 6000, sijajua shida Nini, Ina maana siku hizi TANESCO haifuati miongozo ya wizara inafuata mambo yake?
Unajua Kuna vitu vingine tunaweza tukasema Magufuli alikuwa Bora upande wa matumizi...
Mtu yoyote anayesema bingwa keshapatikana naamini bado haujui mpira vizuri, ninaamini bado hajauona ubora wa Yanga. Zipo dakika 90 nyingine za kutetea hiki kilichotokea jana uwanja wa Mkapa.
Njoo nikejeli, nitukane ila Jumamosi utakuja kusema nilitabiri. Naandika hivi nikifahamu vyema home...
Shida Kuu Simba Sports Club
1. Mwekezaji Mo na Uongo wake juu ya kuweka Tsh 20 Billion huku akifaidika zaidi na Timu kuliko Simba SC inavyofaidika nae
2. 90% ya Wajumbe wa Bodi ya Simba SC ni Wapigaji huku kila Mmoja akiwa na Mchezaji wake kwa ajili ya 10% na wasipoipata wanawalazimisha...
Yaani kila nikiwaza mimi na haya mazungumbaru yangu najiona moja kwa moja motoni tu, vipi wewe jirani utakuwa upande upi Peponi au ndio tutasindikizana motoni kuwa kuni za milele?
Baada ya miaka kumi kupita huku ikibaki mechi moja tu msimu wa 2022/2023 bundesliga kuisha mtanange wa kuwania kombe la ligi hiyo kati ya bayern munich na borussia dortmund umezidi kunoga.
Dortmund akiongoza ligi na alama 70 akifuatiwa na bayern mwenye alama 68 bado mambo yamekua magumu.Ligi...
Huyu ni miongoni mwa trusted lieutnants wa Rais Samia. Kuna sakata la wafanyabiashara linaendelea hapo kariakoo.
Wafanyabiashara wametoa ya moyoni, wamemkaanga kisawasawa na kumtuhumu Waziri wa Fedha kama kikwazo katika biashara zao.
Wafanyabiashara wakaenda mbali sana na kudai waziri huyo ni...
Wiki iliyopita Ukraine walidai kuwa wamefanikiwa kuangamiza kombora la urusi (hypersonic missile), lakini baadaye ikaonekana kuwa siyo. Na leo mji mkuu wa ukraine ulishambuliwa vibaya na ukraine ikadai imetungua makombora 6 (hypersonic missile) ya urusi kwa kutumia Patriot air defense ya...
Mission za mwisho kwenye gta v zinatokana na maamuzi yako utakayoamua kufanya kwa watu utaoamua kuwaua.
Ukichagua kumuua Trevor Philips, mission inaitwa something sensible
Ukichagua kumuua Michael , mission inaitwa Times Come
Ukichagua kuwaua wale watu unaohisi watawau mission inaitwa...
Kwa masikitiko makubwa sasa mmeamua kula nje ya kamba naona mnatunia mipira inayovutika. Hivi ni kwa nini maji hayatoko kwa siku nnee?
Na hamtoi taarifa yeyote, hivi nyinyi mnatuchukuliaje sisi wenye nchi au mnataka tutanguilie mbinguni. Raisi wa nchi ini msimamizi na sisi ndiyo boss wakee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.