mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Zinaa kutangazwa hadharani, ni moja kati ya dalili 4 za nyakati za mwisho, kwa mujibu wa Quran

    Dalili hizo ni pamoja na:- 1. Riba kuongezeka sana. Hivi sasa mikopo ya kausha damu iko kila mahala, mpk mitandaoni. 2. Wanaume kuoana wenyewe kwa wenyewe. Mashoga yapo kila mahala duniani kote, na ndoa zishaanza kufungiwa. 3. Wanawake kuunganisha nywele zao na zile za bandia, ili zionekane...
  2. M

    Hii kamati ya mashindano ya roho mbaya iliyolejeshwa na eng.Hersi ikiwa na mafia wa enzi za manji nawaona yanga wakiendeleza vilio mwanzo mwisho!

    Kwa wale Wanye kumbukumbu nzuri kwenye Mpira wa Tanzania watakuwa wanawakumbuka awa jamaa vizuri sana; Rodgers gumbo Lucas mashauri Davis mosha Seif Ahmed magari Pelegrinus Rutayuga Hao jamaa walikuwa mafia sana kwenye utawala wa walipokuwa kwenye kamati ya mashindano, yanga ilikuwa aigusiki...
  3. J

    Balile: Mzee Butiku aache uwoga atutajie majina ya Wauwaji wa Kibao aone kama hatutachapisha, aache kututukana Waandishi!

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Mh Balile amepinga Kauli ya Mzee Butiku kwamba Waandishi wa habari wa Tanzania ni Waoga sana Balile amesema yeye Mzee Butiku ndiye Mwoga kwani kama ana Majina ya Watekaji na Wauwaji wa Ally Mohamed Kibao ayapeleke kwa Waandishi wa habari aone kama...
  4. britanicca

    Je, Waziri Masauni apumzike? Akipumzika ndio Mwisho wa haya?

    Najiuliza uwajibikaji uko wapi? Ingekuwa nchi Kama Tunisia na Kenya au kwingineko kosa dogo tu linaondoa baadhi ya watu madarakani si kwa utashi wao!bali kwa Nguvu ya Umma na maandamano! Lakin hapo kwenye Kondoo wa Kiboko ya wachawi hata uwakojolee midomoni kila asubuhi Utasikia yote twamuachia...
  5. E

    KIWANJA KINAUZWA MBEZI MWISHO MAKUTI

    KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA MBEZI MWISHO MAKUTI BEI NI MILION 13 TU ■■UKUBWA WA KIWANJA MITA 20 KWA 20 ■■UMEME NA MAJI YAPO SITE ■■VIMEPIMWA NA KURASIMISHWA KWA MAKAZI BORA 0675 065906
  6. E

    Plot4Sale Viwanja na Mashamba vinauzwa sehemu mbalimbali Dar na Pwani

    Kazi kazi Nina nyumba Kali inauzwa iko Tabata Kisukuru Ina hati Tsh250ML Nina kiwanja kinauzwa Tabata Kisukuru ukubwa ni mita 20x30 ila nafasi ya kuongeza kubwa wa eneo ipo, kina faa kujenga Sheli sababu barabara kubwa ya lami itapita hapo siku sio nyingi, bei Tsh 50ML. Nina kiwanja maeneo...
  7. BabaMorgan

    Muziki ni infinity(hauna mwisho)

    Toka enzi za kale muziki ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo kwa wingi wa nyimbo zilizokuwepo duniani ilibidi kusiwe na melody tena but fun facts nyimbo zinaendelea kutoka zenye melody kali aina mpya za muziki zinazaliwa everyday hitsong zinaendelea kutengenezwa Kila uchwao. Muziki hauna mwisho.
  8. Nehemia Kilave

    Hakuna aliyekufa na kurudi na kushuhudia maandiko kuhusu maisha baada ya kifo, je mwisho mwema ni upi?

    Kuna kauli huwa inatolewa ya Mwisho mwema hasa pale inapoonekana Mtu tajiri au hawa ma celebrities/watu maarufu wanavyofurahia maisha , kwenye comments za watu utakuta tujaliwe mwisho mwema . Je kufia imani , kutotafuta pesa na kuwa maskini , kutofurahia ya dunia kunakufanya kuwa na mwisho mwema ?
  9. Manyanza

    Tuombe mwisho mwema ndugu zangu

    Nitafutie mwenye shepu kubwa hapo.. Nitafutie mwenye umbo namba 8 hapo... Unamuona mweupe na mweusi hapo? Umemuona handsome hapo? Je unaweza kumfahamu boss na mtumwa hapo? Umemuona mwenye PHD na darasa la 3 hapo?? Waweza kumuona mwenye 6 pack hapo? SHORTLY Huna uzuri wowote, huna elimu...
  10. Li ngunda ngali

    Pre GE2025 Hata waliomsifia kwa mapambio nao wanajuta kumfahamu!

    Wamebaki ma chawa na walamba asali kumpongeza kinafiki huku tukiwa nao mtaani wana mng'ong'a. Naogopa nihisipo mwisho wake. Najiuliza, utakuwaje!? Kila pembe sasa ni kilio kumlaumu yeye. Waliopotelewa na ndugu, watoto, wajomba na wasaidizi wao kutwa wanamlilia. NA HATA WALIOTUAMINISHA VIROBA...
  11. Pang Fung Mi

    Badala ya Kutangaza Makusanyo ya Kodi Serikali Itangaze Mauzo ya Bidhaa Nje ya Nchi Kila Mwisho wa Mwezi

    Taifa hili kuna eneo muhimu linafumbiwa macho hasa taarifa za Mauzo ya Bidhaa Nje ya Nchi. Ni vema Serikali hasa Wizara ya viwanda na biashara na msemaji wa ikulu pamoja na yule wa Serikali, waanze mara moja kuweka takwimu za Mauzo na pesa za kigeni kwenye mazao na bidhaa mbalimbali Kama...
  12. Dr Matola PhD

    Anahitajika mpangaji wa nyumba kwa taasisi au Dispensary, nyumba ipo Kinyerezi mwisho.

    Anahitajika mpangaji binafsi au taasisi kwa ajili ya kupanga nyumba kubwa yenye fence kubwa ya viwanja viwili double vya low density. Eneo ni Kinyerezi mwisho bomba la Songazi ni mita kama 200 kutoka barabara kuu lami. Matumizi unaweza kufanya ofisi au Dispensary itategemea na plan za...
  13. BLACK MOVEMENT

    Huu mwezi kabla hujaisha kuna Tenguzi na Teuzi tena, lengo kuu ni kuwakeep watu Busy, Hapa Mama ana akili kubwa sana

    Raisis Samia nahisi ana washauri wazuri sana kwenye nyanja za Propaganda, hii eneo Raisi naweza mpatia 100. Anacho Fanya ni kucheza na kili za wajinga wa hili Taifa na ameisha ambiwa na watu wa kitengo kwamba Watanzania wengi asilimia 98 ni watu wa kupiga mdomo kwenye vijiwe vya kahawa na...
  14. george aloyce

    Haya ndiyo maneno mazito ya hotuba ya mwisho ya Gaddafi

    HOTUBA YA MWISHO ALIYOIANDIKA QADAFFI QADAFFI ANAANZA HIVI: "Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mungu mpaji, na mwenye rehema... Kwa miaka takribani 40 ama ilikuwa zaidi sikumbuki. Nachokumbuka ni kuwa nilifanya kila nilichoweza kuwapa watu wangu nyumba, hospitali na shule. Na kila walipohisi njaa...
  15. Escrowseal1

    Kwa waliosikiliza mwanzo mwisho utekaji aliofanyiwa Sativa kwenye Jambo TV ni episode gani imekuumiza kuliko zingine zote kwenye simulizi yake?

    1. Nilipoona mshikaji ana pingu nikajua ni polisi nilirelax nikajua niko mikono salama. Hii ni statement imeniuma sana sana Sativa alikuwa na trust kwa hili jeshi ambalo si ajabu lina kundi ambalo limeshavunja trust wanayostahili toka kwa watanzania. It is painful. Mwl Nyerere hakutuachia...
  16. Mshana Jr

    Mwisho wa tetesi au mwanzo wa breaking news?

    Mfuatano wa matukio kama tarakimu mnyumbuliko Nambari 1 Mwana jangwa anatua mwituni kimya kimya kisha wahandisi wanamfyatua mafoto akiwa na wapendwa.. Wahandisi kupitia nukuu ya wapendwa wanasema mwana jangwa kaleta bure kabisa neema ya chemchem na vijito.. Huu ni upendo mkubwa kabisa na...
  17. J

    Kete ya mwisho ya medali kwa Tanzania Olimpiki 2024

    Kama sio Alphonce Simbu ni Gabriel Geay ambao kesho Agosti 10 watakuwa katikati ya miamba ya dunia ya mbio ndefu kusaka medali ya Olimpiki msimu huu. Nyota hao wa mbio ndefu nchini ndiyo tegemeo kubwa la medali kwa timu ya Tanzania ambayo kesho Jumamosi itakuwa barabarani ikichuana na magwiji...
  18. Pdidy

    Hivi ulinzi shirikishi mwisho muda gani? Mbona bado tunashambuliwa na vishandu?

    Yaaan unaamka na watoto kupeleka shule unakutana na pikipiki zinakimbilia kwenye lami kumbe kalizwa mtu. Leo sicheki kwa mazuri na shule iko Goba kwa ndani kidogo Nashuka niko njia ya rafu nikakuta wanafunzi wa Lugalo nikawambia twende maeneo ya shule niwaombee lift magari yanayokwenda kubeba...
  19. February Makamba

    Wosia wangu wa mwisho

    Wapendwa, Ninajua kwamba maneno haya yanaweza kuwa magumu kusoma, lakini naomba myakubali kama sehemu ya safari yangu. Nimejaribu kwa muda mrefu kupambana na mawimbi ya huzuni na maumivu ambayo yamekuwa yakinizonga. Nimepata wakati mgumu sana kuelezea hisia zangu, na hata sasa, si rahisi...
  20. GENTAMYCINE

    Nitakuwa wa mwisho kabisa Kuiamini hii Taarifa japo kwa 50% namkumbali na namheshimu aliyeitoa

    Kuwa Taasisi Moja muhimu Tanzania ambayo Watendaji wake Wanaogopwa sana tu imefuta Kazi Wafanyakazi wote. Jamani hivi unawezaje kufuta Kazi Watendaji wote ambao 99% yao wanajua Taarifa zote Muhimu ambazo hata akina GENTAMYCINE hatutakiwi kuzijua au hata tu kuzihisi? Hivi tunajua kuwa Kitendo...
Back
Top Bottom