Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Anne Makinda amesema asilimia 93.45 ya kaya zote Tanzania zimehesabiwa hadi kufikia leo Jumatatu Agosti 29, 2022 saa 2 asubuhi.
Makinda amesema hayo jijini Dar es Salaam wakati akitoa tathmini ya Sensa ya Watu na Makazi.
Sensa ya Watu na Makazi ilianza...