Nina uhitaji wa Subwoofer kwa matumizi binafsi (nyumbani). Kama mnavyojua siku hivi kuna kampuni nyingi au aina kedekede za kichina zinazotengeneza hizo bidhaa.
Hivyo naomba mwongozo kwa wataalamu na wazoefu. Je, ninunue/nichukue ya kampuni gani,- ambayo ni imara na ina muziki wa ukweli...