mzazi

Sibabalwe Gladwin Mzazi (born 28 August 1988) is a South African athlete competing in the long-distance running events. He competed at five consecutive Summer Universiades winning gold medals in 2009 and 2013.

View More On Wikipedia.org
  1. I am Groot

    Ewe kijana wa kiume unapata wapi tabia na ujasiri wa kulala na mama yako mzazi?

    Ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni. Sasa nina amini kwamba dunia imefika tamati. Hapa mtaani kuna jamaa mmoja umri unakadirika kati ya 34 - 39 hivi. Ameoa na kufanikiwa kubahatika kupata watoto 3 wote wakiwa wadogo Shule ya Msingi. Lakini kitu kilichonishangaza zaidi pamoja na kwamba jamaa...
  2. beth

    Malezi: Jinsi Mzazi anavyoweza kumsaidia mtoto kukumbatia upekee wake

    Mruhusu achague majukumu yake ya ziada: Wakati mwingine kile ulichopanga kwa ajili ya Mtoto sipo moyo wake ulipo. Kila mtoto ana utofauti wake, mpe uhuru Usijaribu kumbadilisha: Kama wewe ni Mzazi wa Mtoto mwenye kitu cha kipekee, sherehekea utofauti wake na mkubali kama alivyo Chukulia makosa...
  3. Kibosho1

    Uraibu wa Kamari: Soma kisa hiki alafu jiweke nafasi mzazi wa huyo binti. Ungefanya nini?

    Kama mwanao kaganya hivyo ungechukua hatua gani? Ungeuza nyumba ili umlipie madeni yake? Au ungeacha ajiue tu kama alishapanga? Uhai haununuliki lakini binafsi ni mtihani usio na majibu Nimekiona BBC Swahili Full story 👇👇 --- Uraibu wa Kamari: Namna gani unaweza kupambana na uraibu wa kamari...
  4. Mshana Jr

    TANZIA MwanaJF Saint Anne, amefiwa na baba yake mzazi leo

    Wapendwa wana JF, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa...
  5. My Son drink water

    Jamani huyu ni nani?

    Hii picha inanijia usingizini ikiwa na maneno,"Mene mene Tekeli na Peresi".
  6. comte

    Mama ameamua

  7. Kuku kwiyoyo

    Muda wa kulipwa kwa madeni ya Watumishi wa Serikalini

    Habari zenu wanajamii Naomba mnisaidie kitu kimoja. Mimi kwa bahati mbaya mama yangu mzazi alifariki tangu 2016 na alikuwa mtumishi wa Serikali. Amefariki akiwa anaidai Serikali malimbikizo ya mshahara.Sasa mimi nimeamua kufuatilia hayo madeni tangu mwezi wa pili pale ofisini kwake Sasa...
  8. Sky Eclat

    Malezi ya mzazi mmoja ni magumu sana, wahenga walilitambua hili

    Wahenga walitambua ugumu wa familia kukosa mzazi mmoja. Ukifiwa na mke unatafutiwa mke wa kuoa ma ukifiwa na mume unatafutiwa ndugu wa mume akiongea. Sababu kubwa ilikua watoto wa marehemu wasipate tabu pia kuwe na mtu wa kuwafunza nidhamu na maadili katika jamii. Sababu jamii ikikua inaishi...
  9. safuher

    Sadaka kumpa mzazi ni bora kuliko kuipeleka kwenye nyumba za ibada

    Kama una laki moja yako usiipeleke msikitini/kanisani kwanza fikiria mama yako hana shida binafsi ambazo anaweza kutatua kwa pesa hiyo? Baba je? Ndugu wengine wa karibu? Kuna watu wazazi wao wanahangaika kutafuta ugali wa siku mtu ile package ya kula wiki hana lakini mtu huyu anachukua pesa...
  10. M

    Mume wa mzazi mwenzangu kanikataza kuwasiliana na mkewe

    Nilikua na girlfriend wangu na tulibahatika kupata mtoto ila tulitofautiana hali iliosababisha kutokuishi pamoja. Sasa mwezi uliopita mwenzangu kapata mwenza lakini tulikua tunawasiliana kawaida kuhusu malezi ya mtoto. Jana mumewe kanipigia simu ananiambia nisiwasiliane na mkewe, ishu zote...
Back
Top Bottom