Sibabalwe Gladwin Mzazi (born 28 August 1988) is a South African athlete competing in the long-distance running events. He competed at five consecutive Summer Universiades winning gold medals in 2009 and 2013.
Imeandikwa na Ngusa john kutoka Facebook
Ted Jorgensen, alipokuwa na umri wa miaka 17, alikutana na binti mrembo aliyekuwa akisoma naye shule moja,
Jackyn Gise, aliyekuwa na umri wa miaka 16. Wakapendana. Wakaanza safari ya mapenzi. Jacklyn akanasa
ujauzito. Wakati Jacklyn anashika mimba...
Ikiwa wewe ni mzazi mwema basi unatakiwa kuelewa kwamba kizazi ulichonacho ili kiwe bora basi unatakiwa kuwekeza nguvu na akili nyingi katika kuwafanya wanao waje kuwa ni watu bora zaidi.
Ili uweze kufanya hivyo unatakiwa kuwajenga watoto wako kiakili, hekima busara na maarifa sio kukimbilia...
Hili swala tunalijadili, tunaona vijana wa kiume wanavyoharibika lakini uneshawahi kifikiria likikitokoea kwa mtoto wako utafanya nini?
Kuna mtu ninamfahamu amepata mental break down baada ya kufahamu kijana wake ana boyfriend.
Baba mzazi ya Diamond Platnumz, Mzee Abdul Juma ametoa wito kwa mwanawe kuelewana na mwenzake wa zamani Rajab Abdul Kahali almaarufu kama Harmonize.
Alipokuwa kwenye mahojiano na Mbengo TV hivi majuzi, mzee Abdul alimsihi Diamond ashiriki kikao na Harmonize wazungumzie tofauti zao na...
BURNA BOY AKANUSHA NDOA:
SUPASTAA wa muziki barani Africa kutoka pande za Nigeria Damini, Ebunoluwa Ogulu maarufu kama Burna Boy amefunguka kuwa mama yake hukasirika sana pale ambapo anamwambia kuwa hatokuja kuoa.
Kupitia insta story yake Burna ameshare ujumbe unaosema; “Mama yangu anachukia...
Hello nifanye biashara gani, lengo langu nipate angalau laki moja kila siku.
Binafsi napenda saloon ya kike lakini sina uhakika kama nitaingiza laki moja kwa siku.
Naomba Ushauri wenu tafadhali.
Mwananchi mmoja aliyejulikana kwa jina la Nyimano Ghati mkazi wa kata ya Nkende Halmashauri ya mji wa Tarime Mkoani Mara amedaiwa kumpiga na kumjeruhi mwalimu wa shule ya msingi Nkende Mwl. Edina John kwa madai ya kuwa mtoto wake anayesoma shule hiyo alipewa adhabu na mwalimu.
Kufuatia tukio la...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linamshikilia Julius Mzava (26) Mkazi wa eneo la usalama Chang’ombe Wilaya ya Temeke kwa tuhuma za kumuua mama yake mzazi aliyefahamika kwa jina la Magdalena Peter (56) kwa kumchoma kisu sehemu ya mwili wake.
Tukio hili limetokea tarehe 08/10/2021...
Pamoja na wazazi wengi kuwasajili watoto wao shule za mbali na wanakoishi ili sababu ya ubora wa hizo shule ukweli ni kwamba wamekua wakiwatesa sana watoto wao.
Fikiria mtoto wa Dar es salaam anaishi pugu, gongo lamboto, kibamba, mbagala, toangoma halafu anasoma bunge primary, diamond au...
Jeshi la Polisi Nchini Tanzania limewaachia huru Mama Mzazi wa Hamza pamoja na Dadake
Hata hivyo bado jeshi hilo linawashikilia watu wengine watano wa familia kwa mahojiano zaidi kufuatia mauaji ya askari watatu yaliyofanywa na Hamza hivi karibuni
=====
Dar es Salaam. Wakati mama na dada wa...
Habarini ndugu zangu polen na majukumu ya kila siku, nimekuja mbele yenu kama kijana mwenye shida ya kiushauri na mawazo ili nipanue akili na niwe na uwezo mkubwa wa kuchukus maamuzi sahihi kutokana na mawazo yenu na mawazo yangu kwa pamoja.
Mimi ni kijana na nipo kakika mahusiano ya na...
Habari wakuu,
Tangu awali nilishasea huu uzungu na haya maisha ya watoto wa kishua sijui wanampango gani na vizazi vyetu,
Siku moja kuna star mmoja na mchekeshaji maarufu alifiwa na mama yake mzazi sasa jamaa alishinda akipost video alivyokuwa anaishi na mama yake mara wabusiane mara...
Habari wana JF ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa kimya kwa muda kidogo kwasababu za kimaisha lakini zaidi kumuuguza baba.
Hatimae Mungu ameamua kumpumzisha, mazishi yatafanyika leo, "Singida"
Natamani niseme sana ila nadhani nimeona nifupishe walau hata mtapoona nipo kimya muelewe napita...
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Emma Mfikwa umri (43) ameuawa kikatili kwa vitu vyenye ncha kali na mtoto wake wa kumzaa kutokana na kile kinachodaiwa ni migogoro ya kifamilia iliyotokana na kugombania mali.
Hayo yamesemwa leo Jumanne, Julai 27, 2021 na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa...
Iko hivi mzaz mwenzangu ambae tuliishi kwa mda ikitokea mfarakano akapata dume jingine tena bila kunitaarifu.
Siku za mwanzo wa magusiano yake alinipiga block hata yakumuona mwanangu na hela yamatumizi yamtoto pia aliniambia ukisikia toa usipojisikia acha.
Lakini now haipiti wiki ananipiga...
Mfumo huu unaitwa kids mode,hii ni kwa ajili ya watoto kwanzia wadogo mpaka wakubwa.
Njia hii kwa sasa inapatikana kwenye simu karibu zote,na haitakuhitaji kuanza kuficha files zako kwa apps tumizi kama vault kwa hofu kwamba mtoto atavuruga au kufuta.
Kwanza ni lazma iwe na lock ya kawaida...
Suala la ukuaji wa watoto kwa asilimia kubwa sisi wazaz ndio inabidi tuhusike pakubwa , kuwapa Watoto wetu elimu na miongozo katika hiki kipindi ni muhimu sana,tukigoma kuitoa sisi wazazi basi tutambue ya kwamba watu ambao sio sahihi ndio wanaweza kuwa walimu wake.
Ni haki ya mtoto atambue kila...
Kumfundisha Mtoto kuhusu hatari za Mtandaoni anazoweza kukumbana nazo pamoja na namna ya kuziepuka au kuziripoti ni moja kati ya hatua muhimu kuhakikisha usalama wake
Angalia historia ya kile mtoto anatafuta mtandaoni mara kwa mara. Pia inashauriwa kuweka kifaa anachotumia sehemu ya wazi ili...
FIKA Chamazi ukajionee uwekezaji wa Azam FC. Eneo la zaidi ya eka 25 lililosheheni miundombinu ya kumfanya Cristiano Ronaldo au Lionel Messi awe mfungaji bora wa Ligi ya Mabingwa Ulaya na kushinda Ballon D’Or.
Hivi sasa wanabadilisha taa zao za uwanjani na kuweka za kisasa za LED zitakazofanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.