Sibabalwe Gladwin Mzazi (born 28 August 1988) is a South African athlete competing in the long-distance running events. He competed at five consecutive Summer Universiades winning gold medals in 2009 and 2013.
Niendelee kutoa Pole zangu za dhati kabisa kwa Familia zilizopoteza Wapendwa wao na kwa wale waliopatwa na Majeraha nawaombeni kwa Mwenyezi Mungu awaponye upesi na huko mnakotibiwa mpate Tiba stahiki.
Huu Msiba ni wa Jumla na hata tukiwa tunauongelea basi tuuongelee Kiujumla jumla na siyo kama...
Ni jumatatu nyingine, salaam kwenu.
JF nimoja Kati ya majukwaa ya kijamii ambalo nadiriki kusema limesheheni karibia watu wa kada/tasnia zote zilizomo humu duniani. Namaanisha Kuna watu wenye uwezo mkubwa wakufikiri, wengine uwezo wakati,uwezo wachini na wengine hawajijui kuwa wapo kweny...
Katika kanisa ninalosali kuna Baba mzazi mmoja Ana binti yake wa kwanza, japo mama wa binti huyo alifaliki baada ya kumzaa binti huyo. Baba akaoa mwanamke mwingine.
Hila huyo binti anamiaka 36 hivi Sasa. Na Ni mwalimu wa chekechekea. Shida Ni kwamba Baba mzazi hataki binti yake aolewe kabisa...
Mzazi wa huyu dogo ndie mzazi mjanja kuliko wote. Hela anazoo za kutosha tu..
jumba zuri la ghorofa na magari kibao. Ila Watoto wake wanasoma kayumba kuanzia msingi mpaka A level. Na bado watoto wake wanapata A zotee hakuna kufeli.
Yaani ada sisimizi ila matokeo temboo
Mtoto ukimsimamia...
Wakati sahihi ni sasa maana ukisema unatafuta maisha mazuri kwanza ndo ukawasaidie vizuri ukumbuke time yao inakatika.
Hivo utazipata lakini wao hawatafaidi maana watakuwa wameshakwenda kwa muumba hivo ni vema ukaanza sasa hivi hata kama ni kidogo.
Wape hakuna wakati mwingine zaidi ya huu wa sasa.
Leo limetokea tukio la kustaajaabisha sana hapa katika shule ya msingi Tumaini iliyopo manispaa ya Bukoba, watoto wamerudishwa majumbani kwa kuwa wazazi hawajalipa mchango wa Tuition ya jioni.
Kinachoumiza ni kumrudisha mtoto asubuhi nyumbani, yaani akose vipindi vya msingi vya asubuhi kisa...
Picha: Kamanda wa Polisi Mkoani Geita Henry Mwaibambe
Kamanda wa Polisi Mkoani Geita Henry Mwaibambe amethibitisha tukio la Mwanamke mmoja mkazi wa kijiji na kata ya Nyaruyeye Wilayani Geita, Milembe Lutubija (70) kuuawa kwa kukatwa mapanga na watoto wake kwa madai ya watoto kuhitaji...
Wengi tungependa kuishi na kulelewa na wazazi wetu waliotuzaa lakini maisha yana changamoto nyingi. Kuna wanaozaliwa na wazazi wanapoteza maisha, wengine ni matokeo ya kubakwa, wengine ni mimba za ujanani wakati wazazi wote hawana dira za maisha.
Wengi wetu pale unapomuelewa mtu na kuanza...
Bashiru Abdallah Mkazi wa Buswelu Jijini Mwanza anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwafanyia ukatili wa kingono watoto wake wanne, ambao inadaiwa amekuwa akiwafanyia kwa miaka kadhaa sasa.
Mtuhumiwa alishikiliwa baada ya wananchi kutoa taarifa kwa Taasisi ya Nitetee (NITETEE...
Jeshi la polisi mkoani Iringa linamshikilia Mkurugenzi wa shule ya Sun Academy, Nguvu Chengula, kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi Alifa Mkwawa, ambaye ni mzazi, kwa kutumia kitako cha bastola baada ya kuombwa uhamisho wa mtoto anayesoma katika shule hiyo.
Kamanda wa Polisi mkoani humo Allan...
Salah Jackson (5) mwenye ulemavu wa viungo, mkazi wa kijiji cha Makiwaru Mkoani Kilimanjaro amefariki dunia kutokana na njaa na kisha mama yake mzazi kumzika kimyakimya usiku wa manane.
Mtoto huyo anadaiwa kuzikwa na mama yake mzazi aitwaye Rebecca Siowi (30) usiku wa kuamkia Aprili 22, 2022...
Leo niliitwa shuleni kwenda kwenye kikao cha mjukuu wangu yupo darasa la Saba anatarajia kufanya mtihani mwaka huu. Nikachukua baskeli yangu na kwenda kwenye kikao shuleni. Nimefika nimechelewa sana ila kuna kitu nikawa najiuliza baada kufika pale nje, mbona hakuna hata gari moja ya mzazi na...
Wasalaam Mtanzania Mwenzangu!
Naomba uitikie
KILA KITU KITAPANDA BEI!
Nimepita mitandaoni kusoma taarifa mbalimbali zinazoendelea hapa Nchi na ulimwenguni kwa ujmla.
Na nisikatae kwa Juma moja saivi na siku kadhaa kumekua na taarifa inayosemwa sana mtandaoni ni Juu ya ROYAL TOUR!
Nikiwa napita...
Au wana kuwaga na mapepo nini ? maana mwanamke akiwa mzuri kupita kiasi hadi mapepo huwa yanawapenda ( Gen 6:1–4 )
Kama una mwanamke mzuri kupita kiasi usizae nae mpaka baada ya miaka mitano ya ndoa/mahusiano kwa sababu uzoefu unaonyesha kwamba mwanamke mzuri...
Nakumbuka mwaka 2001 enzi hizo bado niko shule ya msingi katika mji mmoja hapa Tanzania baba yangu ambae alikuwa ni mfanyabiashara wa toka enzi za Nyerere na aliyekuwa kwa kipindi hicho akiitwa tajiri alitembelewa na mganga mmoja wa kienyeji kutoka mahali pasipojulikana
Alimpokea na kumchukulia...
Lina Medina mtoto wa miaka mitano (5)....wa Ticrapo nchini Peru mwaka 1939 alizaa mtoto wa kiume na akaitwa Gerardo.Wazazi wake walidhani ana uvimbe tumboni alipopelekwa hospitali kupimwa akakutwa na ujauzito wa miezi saba.
Lina alikuwa mtoto wa kawaida kama watoto wengine tu lakini kwa mujibu...
Habarini ndugu zangu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 41 baba yangu baada ya kuuza nyumba yake na kugoma kunipatia na mimi japo pesa kidogo nikaanze maisha na ikanipelekea mimi kwenda polisi na mpaka mahakani na mahakama ikaamua kuwa mimi sina ninacho dai kwenye iyo nyumba ya baba...
Kumekuwa na tabia ya wanandoa kuzaa nje, inawezekana kwa kukusudia au kwa bahati mbaya.
Wakati nilipokuwa mdogo, kuna wakaka wawili walikuwa mapacha wanaishi na mama yao ambaye alikuwa jirani yetu. Wakati huo, hao wakaka walikuwa na miaka 25 hivi kwa kukadiria. Walikuwa warefu, wamejazia, na...
Wakuu ili wazazi waishi miaka mingi bila presha za makwaruzano wao kwa wao zinazopelekea kufa mapema,
Njia rahisi ni kutengana kila mtu aishi kivyake, lakini utengano, huu unashindikana sababu ya watoto mliozaa kukosa malezi ya wazazi wawili.
Je, tufanyaje Watoto hawa tuwaleeje ikiwa wapo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.