Sibabalwe Gladwin Mzazi (born 28 August 1988) is a South African athlete competing in the long-distance running events. He competed at five consecutive Summer Universiades winning gold medals in 2009 and 2013.
Kipindi hiki watoto wamerudi nyumbani au kutokwenda shule kutokana na uwepo wa likizo, ni vizuri wazazi kuzingatia haya:
1. Jipe muda wa kuzungumza na mtoto kila siku.
2. Muulizie juu ya changamoto alizokutana nazo akiwa shule.
3. Kagua vitu anavyovitizama kama picha, simu.
4. Jadiliana naye...
Wana jukwaa hivi hapa anaejuta kuzaa na mwenzie ni nani kati ya Faiza na Sugu?
Faiza ana mtusi matusi makubwa sijui kama anajenga kwakweli, pia mwanaume kama ni kweli hamjali mtoto kwa lolote anafanya vibaya sanaa.
Mambo vipi wakuu,
Nimemaliza chuo mwaka jana, I am 24. nipo nakaa hapa nyumbani ila kuna tatizo la kiimani.
Mom analazimisha kila jumapili niende kanisani.
Kiuhalisia mimi saivi sina imani kabisa na kanisa au maswala ya Mungu naona kama ni utapeli na mambo ambayo binadamu walitengeneza tu...
Habari wana JF,
Asilimia kubwa humu wazazi wetu wameishia elimu ya msingi na wengine hawakusoma kabisa, lakini wamepambana kwaajili yetu na kwakiwango kikubwa wamefanikiwa tumesoma sekondari na wengine mpaka chuo.
Hata wewe hapo ulipo unapambana mwanao afikie elimu ambayo wewe hukufika na ili...
Nipo na ajira nashkuru mungu inayofanya nisogeze maisha. Nina mshahara mdogo tu lkn kwa ubachela wangu unanitosha.
Mdingi wangu (mzazi pekee nliyebaki nae kwa sasa) ana kipato cha uhakika na hana shida ya pesa ndogondogo. Kipato chake ni mara 5 zaidi ya changu kwa mwezi.
Nimekuwa nikiumiza...
Leo nataka niwape kisa cha anko wangu moja hivi wa mtaani ambae kwa sasa ni marehemu, ubaya pia sikubahatika kwenda kumzika.
Wakati wa makuzi yangu nilibahatika kulelewa katika mtaa ambao umezungukwa na watu wenye dini. Mtaa ambao nilikuwa naishi ulikuwa na misikiti miwili, madrasa tatu na...
Andiko la Wakili Bashir Yakub kuhusu haki ya mzazi kumuona mtoto baada ya kutengana na mwenza au kuachana kabisa.
Sheria Namba 21 ya Mwaka 2009 Kifungu cha 38 cha Sheria ya Mtoto kinatoa haki hiyo na mzazi au mlezi anayekaa na mtoto hapaswi kuipinga, muhimu kusiwe na lengo la kumdhuru au kitu...
Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu hii ishu japo naona kama vile sio kweli ila nimeona niwashirikishe ndugu zangu wana jamii forum...nina mzazi wangu pale ninamuambia kuhusu mipango yangu mizuri huwa haonyeshi kufurahi hata kidogo...na akisikia nimepata matatizo huonyesha tabasamu pana
Kushuka kwa kiwango cha ufaulu kwa watoto limekuwa tatizo kubwa katika jamii yetu. Pamoja na mambo mengi yanayochangia tatizo hili, kutokuwepo kwa ushirikiano kati ya walimu na wazazi katika kumlea mtoto kitaaluma ni kikwazo kikubwa.
Wajibu na majukumu ya mzazi kwa mtoto wake anapokuwa nyumbani...
Kupitia account yake ya Twitter, Heche anasema mkuu wa wilaya ya Nyamgana, Mwanza kaamrisha wazazi wenye watoto shule za Mongela na mlimani kulipa tshs 10,000 kila mmoja kwa ajili ya ujenzi wa madarasa.
Tuseme tu ukweli kama nchi tushafeli ni propaganda kutwa na kufanyana wajinga tu.
Haya huyo...
Habarini ndugu watanzania wenzangu Mimi Ni binti wa miaka 25 kwa sasa Ni mama wawatoto wa 4 na hapo niliolewa na miaka 14 chanzo ninaandika kuuchungu mkubwa sana Tena sana.
Nilizaliwa wilaya ya hai mkoa wa Kilimanjaro na bw/bi festo na nimtoto wa pili katika familia ya watoto8 kiukweli...
TFF nawapongeza kwa kuamua kutumia wazawa kukinoa kikosi chetu Cha timu ya Taifa. Mtu chake. Mtoto wako ni wako hata akiwa na sura mbaya.
Ninaimani na walioteuliwa. Tuwaunge mkono kwa hali yoyote ile, watatuvusha.
"MECKY TAFADHALI MRUDISHE YONDANI NA NYONI KIKOSINI utakujanishukuru."
'....unanitaka?! Haya basi njoo uni...kama unamuonea wivu Jofrey.'
Hapo juu ni maneno ya binti mtoto wa jirani yangu aliyemfumaniwa na kijana chumbani kwake mda huu akimjibu baba yake mzazi.
Mzee wa watu ni msabato na alirejea nyumbani kutoka kanisani kufuata kitabu cha dini alichokisahau...
Wakuu hivi na nyinyi mna wazazi wenye tabia kama hii ya huyu wa kwangu..pindi akiomba msaada utakapomuambia huna kitakachofuata hapo ni kashfa na kejeli..mfano ohhoo wewe mwizukulu kwanza umechelewa kimaisha wenzio wenye umri kama wa kwako wameishajenga..kwanza umebakisha miaka michache...
Wengi tumezaliwa katika mazingira flani ambayo mzazi sio mtu wa karibu saaana zaidi ya kuheshimiana Kama baba na mtoto tu.
Nilipokuwa nasoma nilipanga nje na rafiki yangu mmoja yeye alikua anampigia simu mzee wake wanaongea masaa hata matatu hadi manne, Mimi inaweza pita miezi hata 3 au 4 bila...
Wendi Mrema, yule mwanadada toka Moshi aliyetuhumiwa kumuua mama yake naye Kaachiwa huru.
Taarifa zaidi inafuata.
-----
Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi imemuachia huru Wendi Mrema aliyekuwa akituhumiwa kumuua mama yake mzazi.
Uamuzi huo umetolewa na Hakimu, Naomi Mwirinde, leo Agosti 19...
Pata picha umesafiri umeacha familia yako Junior anaumwa, umefika ulipokwenda unampigia simu mkeo kujua vipiimo vinasemaje
Mimi: Habari mke wangu doctor kasemaje
Yeye; Kasema mtoto ana YUTIYAI na AMWIBA
Mimi; nisomee dose yake
Yeye; mwayego hapa maandishi siyaoni vizuri kuna herufi kama sio nne...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.