Wapendwa wana JF, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na kuwavusha salama katika kipindi hiki kigumu sana na chenye majonzi kwao. BWANA Alitoa, na BWANA Ametwaa...