mziki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Financial Analyst

    Jamani mziki wa club mshenzi unaweza kunigharimu kuanzia bei gani?

    Namaanisha speakers za mdundo mzuri na radio selector yake zinaweza kunigharimu bei gani wakuu. Ambavyo ukifungulia muziki watu wa kitaa wanaweza kuenjoy muziki mzuri
  2. The Burning Spear

    Wasukuma wana mziki mzuri sana wa asili kuzidi hata bongo flava ya sasa na singeli.

    Great Thinkers Hawa jamaa kwenye Kuimba wana dunia yao aisee na havana mpizani hapa Tanzania. 1. Msukuma humwambii chochote kuhusu nyimbo zao za asili, tembelea uskumani kama utakuta singeli never 2. Wana wasanii wao ambao kwa kweli wanaimba vizuri sana kama Elizabeth, kisima, kadochiza...
  3. K

    Kwa singeli Kabudi unatukosea Watanzania huujui vizuri huo mziki. Bongo Fleva ndio mziki rasmi unaoitambulisha Tanzania

    Nimeona video clip ambayo muheshimiwa waziri Kabudi anazungumza nia ya wizara yake kusimamia mchakato wa kuufanya mziki wa SINGELI kuwa mziki rasmi wa kuitambulisha Tanzania jambo ambalo sio sahihi kwa sababu zifuatazo: Kwanza kabisa tayari Tanzania ina mziki unaoitwa Bongo fleva...
  4. Mashamba Makubwa Nalima

    Banana Zorro - Bado Kidogo

    https://youtu.be/xZIpD10kjbs?si=az9o6w-wjTynf73m
  5. MAKANGEMBUZI

    Mbowe akili kubwa! Kajua kutuchezesha Taifa na CCM muziki wake

    Huu mchezo wa mtalaamu wa siasa Mbowe nimuelewa sana kwanza ame-expose wapambe nuksi kwake na kwa Tundu Lissu lakini pia kajua kuteka attantion ya Taifa kwenye uchaguzi wa CHADEMA. Ni dhahiri shairi mpango ulikuwa akae kando aingie Lissu ila kwa namna gani?Unadhani Lissu angegombea na Odero...
  6. GENTAMYCINE

    Ibenge kasema hataki Kuchafua Jedwali, hivyo 'pira lipigwe' na anaweka 'muziki full mkoko' huko mlikomfuata

    Yaani mpaka sasa Yeye ndiyo hajafungwa Mechi hata Moja halafu na Fedha zenu za Kukwepa Kodi za Kampuni yenu (yenye shareholder mkubwa Mstaafu Mr. Chalinze Bagamoyo) ndiyo mnataka mumuzawadie ili 'awaminyie' mumfunge kisha mjiweke pazuri mvuke mkijiaminisha kuwa iwe isiwe Mwarabu atakufa Temeke...
  7. CARIFONIA

    Hawa Marapa walimkataa Drake na muziki wake

    Mvutano Kati ya Drake na Marapa Dmx, Mos Def, Joe Budden na Kendrick Lamar Mvutano kati ya Drake na marapa wengine umekuwa sehemu ya historia ya muziki wa hip hop, ukionyesha jinsi ushindani na migogoro ya kibunifu inavyochangia kukua kwa tasnia hii. Hapa kuna muhtasari wa migogoro hiyo: 1...
  8. Mwl Mwanaharakati

    Andazi! Kwanini mtu achague andazi?

    Katika hali ya kawaida ni ajabu kwa mtu kuamua kuthaminisha andazi na mtu au taasisi. Hata hivyo, kama ambavyo Sheria ya Sababu na Athari (Cause and Effect Law) ya Aristotle (384–322 BC) inavyoeleza; kila kitu hutokea kwa sababu na kila athari huwa na sababu maalumu. Aristotle anaona kuwa...
  9. Mhaya

    Wasanii wetu hawawezi kushinda Grammy labda wafanye sampling ya Mziki wa Kihaya

    Ukisikiliza nyimbo za kihaya na Design yake ya uchezaji, vikitumika vizuri tunapeleka Bongofleva kwenye Grammy. Grammy wanapenda vitu asilia, na sio vya ku-copy. Ukisikiliza hii nyimbo ya Mwanamama "Sauda Haulat - Dereva Babili" ni nyimbo iliyotoka miaka ya 2000 mwanzoni lakini ingefanyiwa...
  10. Mhaya

    QUINCY JONES; Panyaroad Wa Chicago Aliyeitawala Dunia Kimuziki

    Katikati ya mdororo wa uchumi, anguko la viwanda lililosababisha Great Depression. Biashara za magendo zikitawala, Magenge ya kimafia yakiwa fasheni ya mitaa. Ni wakati huo alizaliwa mtoto. Chicago, Illinois, ngome kuu ya maharamia wa Chicago Outfit, chini ya underworld chief, Al Capone a.k.a...
  11. mbuzi wa mshenga

    Unawafahamu watu hawa katika tasnia ya mziki aina ya mnanda ISIYAKA a.k.a kwala rumpa na salma miwanja?

    Hivi wako wapi? Salma Miwanja mcheza mnanda maarufu miaka ya 90 na Isiyaka a.k.a Kwala rumpa mpiga ngoma za mnanda enzi hizo? Kwa anaefawahamu ama kujuwa walipo naomba anijuze tafadhali nina shida nao watu hawa kama bado wapo hai?naimani kwa wakongwe wa miaka hyo wanawafahamu balaa lao na vituko...
  12. Magical power

    Daaaah, juzi nilikuwa kwenye harusi nikakanyaga waya kwa bahati mbaya Mziki ukazima

    Daaaah juzi nlikua kwenye Harusi nkakanyaga Waya kwa Bahati mbaya Mziki uka zima X wangu Aka lopoka Huyo ndio Alivyo Akiona Chakula atulii sehemu moja Mni follow basi jaman 😌
  13. Crocodiletooth

    Diamond pumzika muziki kwa muda pepo mchafu apite!

    Muziki wa sasa ni wa ushindani mkali, uadui, Vita na kila aina ya uovu ubaya na kadhalika, sio ajabu tukaona maadui wa Diamond kwa sasa wamepata chochoro la haja la kujaribu kumshusha kisanii, pengine ndilo lililopo katika ajenda ya maadui wake Namshauri kwa upepo unaoendelea let him mute, kwa...
  14. aka2030

    Ushindani uliowahi kusumbua mziki wetu miala ya 2000

    Juma nature vs inspector haruni ECT vs wanaume family TID vs Dully sykes Matonya vs MB dog Marlaw vs Alikiba Saida karoli vs maua Diamond vs Belle 9 River camp vs N2N Zay B vs Sister P
  15. B

    Hiki kizazi kinadumazwa akili sababu ya Muziki wa Bongofleva

    Bila kufichai Tasnia ya Muziki hubeba ujumbe na nafasi kubwa Sana katiba jamii husika, Kinyume chake ikienda tofauti basi hiyo jamii huathirika kwa namna moja au nyingine, mfano bongo fleva imewahalibu vijana wengi wanaoufwatilia washindwe kujitambua wao ni kina nani na wananafasi gani hapa...
  16. Sexer

    Hizi JBL underseat subwoofer ni og ama copy, hata kama ni copy je zinagonga mziki vizuri?

    wakuu kuna hizi subwoofer za jbl underseat za kwenye gari ambazo hapa mjini dar es salaam zinauzwa laki mbili, hivi kweli hizi ni jbl Original ama fake? bas hata kama sio original je zinagonga mziki vizuri, bass nzito? wajuzi wa mambo tafadhali
  17. Morning_star

    Mabaharia! Umeona manzi umeizimia! Kimwonekano unaona kuimudu ni mziki mnene! Kuweka heshima ya baharia unafanyaje?

    Kuna manzi fulani anaposti picha zake instagram na Facebook! Picha zake ziko public na mimi nimekuwa nikimfollow muda mrefu sana! Yeye hakuwahi kuaccept my request ya follow back! Nimemtumia private meseji hajibu! Status yake ni single na post za picha zake kwakweli anaonekana wife material...
  18. V

    Nikumbusheni radio inayocheza mziki wa Country and soul

    Kuna jamaa moja anaitwa felix alton huwa anacheza mziki mzuri wa country n soul siku za jumapili ila natafuta simpati Ni muda sikwepo Nimetune redio zote sijapata Atakuwa redio gani huyu mwamba kwasababu anajua sana mziki mzuri na masimulizi ya hapa na pale
  19. Kyambamasimbi

    Serikali iuenzi Mziki wa Dansi wa zilipendwa wa Tanzania kuwa urithi wa Taifa

    Wizara ya Sanaa, tamaduni na michezo. Hivi mna mawazo Gani kuenzi na kutambua mchango wa mziki wa Dansi na watunzi wake? Kwa ujumla Muziki wa zamani umechangia sana kukuza utamaduni wa kitanzania na lugha ya kiswahili lakini sijawahi kusikia mikakati ya wizara kuenzi na kutambua mchango wa...
  20. Kanali_

    Jipatie vifaa vya studio (audio recording) kwa bei nafuu

    SOLD
Back
Top Bottom