Wakuu mulibwanji.....
Nahitaji bass spika ya mziki wa gari ambayo haina box iwe uchi.
Iwe 4 ohms
Iwe na double coil
Na iwe na sehemu 2 za kuingizia sauti yaani hasi ziwe 2 na chanya ziwe 2.
Iwe haijawahi ungua.
Angalia hiyo kwenye picha mfano wake sasa iwe kama hiyo kama ipo nicheck
0756 412 380
Hivi mamlaka husika zilikwenda likizo au ilikuwa ni agizo la muda mfupi au tuseme hawa Kisuma 5G wapo juu ya sheria?
Hii Bar imekuwa kero kwa wananchi wanaoishi jirani kwani kelele za mziki hazivumiliki usiku kucha.
Tunaomba mamlaka husika walitazame hili.
Mimi labda ninatatizo ila kiukweli AY sijawahi kumuelewa kabisa. Tangu nimeanza kumsikiliza wayback hajawahi kutoa ngoma nikaielewa kabisa. Labda ile Yuleee, nampenda sana jinsi alivyooo.... nayo kwa mbaali sana. Hata nikikutana nayo kwenye playlist ntaiskip tu.
Sijui ni kiki au ndio kweli ila nimepata picha kuwa mambo ya kuwekana wazi au mlivyokutana mlibidi kukubaliana kuwa kazi ya mwenzake.
Imngeweza kuishi kama wafanyavyo wasanii davido na kwengine.Pili ingekuwa mimi barnaba kwa kweli ni aibu kesi yako kama mama mkwe kakutawala na mwanae.
Aisee...
Sikatai hivyo vitu Kwa sehemu kubwa vimeajiri watu wengi na ni matumain ya kila mmoja kuona vinakuwa kwani vina mchango pia ila why vimeshika kasi mno kipindi hiki cha uchaguzi huku tukiwa tumechezea majanga ya asili ya kutosha.
Sijasikia wabunifu wa sayansi na teknolojia kuitwa ikulu au kwenye...
Kulikuwa na wafalme kama hawa
1.. Joseph Mbilinyi SUGu, Mr II, 2proud, Taita
2. Professor J
3. JUMA Nature
4. Inspector Haroun
5. Ferouz
6. Mr. Nice
7. Mr. Blue
8. Mangwea
9. Afande Selle
10. 20 Percent
11. Fid Q
12. G.Nako na Clue yake yote
13. Dully Sikes (Huyu ndio Mr. Bongo Flavor)
14...
𝑵𝒂. 𝑱𝒐𝒉𝒏-𝑩𝒂𝒑𝒕𝒊𝒔𝒕 𝑴. 𝑵𝒈𝒂𝒕𝒖𝒏𝒈𝒂
____________________________
Nimekuwa mfuatiliaji sana wa maneno yaliyokuwa yakisemwa na baadhi ya Waimbaji wa Kike wa Nyimbo za Injili hasa baada yaWanawake hao kuachana na Waume zao, kutoka kwenye Ndoa zao baada ya Ndoa zao kuvunjika.
Nilifuatilia zilipovunjika...
Yaani nyimbo inaitwa back to my roots
Humu kuna mpiga ngoma alijipanga sana yaani ana dunda unasikilizia moyoni
Yaani zile ngoma na gitaa balaa,
Hebuu vaa earphone afu sikiliza twatwaaaa twaa gitaa linajibu ndi ndi ndiiiiii ...... tarumbeta mbeeee mbeeeeee mbeee .. ngoma twatwatwa twaaaaa...
Acheni roho mbaya bali semeni ukweli. Kwa Sasa Tanzania na East Africa hatuna msanii wa Maana kama Zuchu, bidada anajua kwa kweli sijui hawa wakina Nandy, Nadia Mukami na wasanii wengine wa kike ambao mnawapa maua ya uongo na ukweli wamepigwa gap sana na Zuchu tena kubwa kuanzia uandishi, sauti...
Unapokua unatafuta utulivu ubaki wewe na akili yako au upunzike ulale, unaweza fanya hivyo kwenye mziki kuliko kwenye mahubiri ya dini.
Sababu ni kua, mziki ni flow ambayo unaweza kui ignore lkn haya mahubiri yana interfere sana na mawazo yako.
Kama hujakutana nayo huwezi kuelewa
Hi guys nyimbo Kali nyingi zilitungwa kipindi hicho kama vile
1)Dynamite ya taio Cruz
2)International love ya pitbull ft Chris brown
3)Coconut tree ya mohombi
4)Bumpy ride ya mohombi
5)Moves like jagger ya maroon
6)On the floor ya Jenifer Lopez
7)Dj got us fall in love again ya usher...
Ladies and gentleman its your boy selemani sele mzee wa mastory,kinachokuja mbele yenu ni story ya maisha na mziki ni story fupi natumai watu watajifunza.
MAISHA NA MZIKI
Episode 1.
(KUZALIWA)
Miaka 30 iliyopita nilizaliwa katika jiji lenye kila aina ya uchafu madanguro, vibaka, majambazi...
Kassim Majaliwa ulijijengea heshima yako kwa muda mrefu Sana ukaonekana ni mtu usiyekuwa masihara na hauna utani lakini naona unaanza kuambatana na kundi lisilo na mvuto nakuhakikishia heshima yako hii uliyojitengenezea itapotea mithili ya mchanga wa mwambao
watu wakubwa na heshima zenu mnaanza...
Mimi ni mkereketwa mkubwa wa mziki wa kizazi kipya hasa Hip Hop, Soul and R&B toka miaka ya tisini, nimeshuhudia mabadiliko makubwa ya mziki huu kuanzia matumizi ya vinyl, tapes, disc, mp3, mp4 mpaka leo hii.
From turntables, radio cassette, walkman cassette, disc player to all blessed...
Katika kikao kilichofanyika huko Jijini Accra, Nchini Ghana, kilichoandaliwa na wasanii wa Afro beat kutokea Nchini gani, kimezua taharuki baada ya wasanii hao kuchachamaa na kutaka Sehemu zote za burudani na maeneo ya Starehe pomoja na vituo vya burudani vya TV na Radio vipige mziki wa Ghana...
Binafsi, napenda sana muziki - kusikiliza, kuimba nk.
Tuzungumzie mziki wa Rwanda leo. Rwanda ni nchi ndogo sana lakini imejaliwa wasanii wazuri sana, wenye sauti (Meddy,Okkama, Marina, Afrique, The Ben, Nillan, Chris Eazy, Bruce Melody nk.) Wote hao wana mziki mzuri sana bila kusahau vocal...
Ukikaa Kwa makini ukatenga muda wa kuisikiliza hii ngoma utaungana na Mimi kuwa Diamond wa nenda kamwambie, karudi..wimbo mkali sana kuanzia mashairi, melody, nk.kifupi hizi ndio nyimbo wenye akili tunaenda kusikiliza.
Aliyekuwa Dancer wa Wasafi chini ya Diamond Platnumz, Bajuni H. Bajuni ametangaza gafla kuachana na kazi iliyompa umaarufu ya kucheza mziki katika Shows na Video za mziki.
Ameandika kuwa leo ameamua kuachana na kazi hiyo ambayo amekuwa akiifanya kwa muda mrefu toka utotoni na mpaka sasa amepita...
Amesema hayo akihoji kuhus Njia iliyotumika Kuwasimamisha walimu hao,Bila ya kufuata utaratibu wa kinidhamu wa kiutumishi,Hata hivyo ameongeza na kusema kuwa lisionewe kundi fulani tu kwani hata baadhi ya wabunge pia nao wanacheza miziki hiyo..
"Wapo mawaziri humu ndani na sisi wabunge huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.