Kuna kipindi yaliwahi kutokea maneno kwamba Tanzania tunaitafuta sound yetu, kwamba ngoma ikipigwa tu unajua hii ni Bongo, Tanzania.
Nimepata muda usiku huu kwenda YouTube kuziona trends, guys I'm sorry to say that what is trending down there isn't ours, it's South Africans' Amapiano.
Na...
Kama muvi vile, jamaa wamelipuliwa kizembe sana
Ukraine’s Defence Forces targeted the temporary command post of the Russians in Kherson Oblast, following a tip-off from the Security Service of Ukraine.
Source: Ukrainska Pravda source in the Security Service of Ukraine (SSU)
Details: The video...
Album zake ni 1.Tokooos
2.Arsenal de Belles Melodies 3.Droit Chemin 4.Tokooos II 5.Power "Kosa Leka" 6.Control 7.Formule 7.
Kwangu album kalii kutoka kwake ni control na ina vibao kama maria na flye ila album zilizo nikosha roho sana yaani kali sana ni Tokooos kuna...
Ndo lilikuwa tamasha pekee na la mwisho la mziki nililohudhuria mpaka na leo hii.
Liliandaliwa na Tigo kama sijakosea mwaka 2014 pale viwanja vya leaders kinondoni.
Hili tamasha lilikuwa na malegendary wote wa mzingi wa bongo na walikuwa kwenye ubora wao.
Na ninalikumbuka kama tamasha bora...
Yanayoendelea kwenye tasnia ya Musiki Tanzania naona wasanii wanaturudisha miaka 10+ iliyopita. Teams na ushabiki usio na tija unapewa kipaumbele sana balada ya kusongesha mziki kimatafa.
Tunazipa nafasi battle za ndani, tena mbaya zaidi hadi kwa wasanii ambao walianza kuonesha kupiga hatua...
Nimekuwa nikifuatilia sana Mtangazaji wa TBC Taifa, Manju wa Muziki Masoud Masoud akielezea historia ya Muziki wa Tanzania, anauliza uu wapi Muziki wa Kitanzania kwenye Mizania ya Kimataifa, anasema Muziki wetu umepotea na ulibakia kwa Msondo na Sikinde na aoni wa kuundeleza... Nini kifanyika...
Hivi aina hii ya music maDJ nani kawadanganya kila mtu anaipenda? Mnadhan kila mtu anavutiwa na ujinga wa hizo viral za tiktok?
Nipo sehemu moja hapa naandika kwa uchungu sana sababu DJ toka saa nne anapiga huu upuuzi tu, Malaya wanasimama juu ya meza yaani kero tupu. Sehemu yenyewe wanajiita...
Kiukweli kwenye huu mziki kuna wasanii wanaleta usodoma na gomola kwenye taifa letu.
Wanaimba maneno yasioeleweka kwenye kamusi yoyote, alafu vijana wetu wanakalili hayo.
Unakuta mtu hadi anakwenda kulala, kabla ya kusinzia ana refresh na ushetani kwanza.. wa Chino wana man.
hivi unaelewa...
Chini ya chuo Cha TIA Kuna chimbo linaitwa Green View linapiga live band usiku mzima.
Mziki wake ukiwa kata ya Mahina, Mhandu, Mecco, Buzuruga na maeneo mengine ya karibu usiku mzima Ni mwendo wa live band mwanzo mwisho.
Na wamiliki wanasema mziki wao wamefungulia asilimia 1 sijui hali itakuwaje...
Tshepo Gumede beki wa Marumo Gallants ambaye Mayele alimfanyia ukatili mkubwa akimuwekea mpira mbele kisha kuanza kumkimbiza na akampita na kuwahi mpira licha ya beki huyo kuwa mbele yake kabla ya kuanza mbio hizo.
Haikuwa kukimbiza pekee Mayele akaenda kutoa pasi ya maana akimlipa Kennedy...
Hello bosses and roses...
Niwe mkweli tu, hata kwa wateja ukipeleka questionaire ya haya mambo ya kupiga mziki kwa sauti kubwa kupitiliza bar wengi (actually karibu 80%) watasema hio miziki izimwe tu. Sababu zangu naweka hapa chini.
1) UBOVU WA SOUND SYSTEM
Sound system za bar nyingi ni za...
Tanzania ni nchi pekee ambayo mtoa huduma ni boss kwa mteja, na maboss wamiliki hawajali chochote kuhusu wateja.
Arusha wako vizuri hapa hawasiki nawakubali 🙏🙏🙏
Mimi mpambanaji, mjasiliamali, niliejipambanua kutafuta pesa Kama kipaumbele changu kwa mawanda mapama kwa sekta mseyo, ambaye...
Itoshe kusema Diamond Platinum ni Mkubwa sana kwenye mziki wa Afrika, tusimuchukulie poa tu kwa kuwa anatokea Tanzania.
TMA mmejitaidi kuandaa tuzo zenu changamoto ipo kwenye namna ya kuaandaa Category ili kuweza kuleta msisimko na hamasa kwa wadau wote wa mziki.
Mimi sipendi hizi timu za...
Straight to the point.
Bro wangu alizinguana na mke wake, home kwake akueleweki kabisa, alafu kukununua anaogopa magonjwa, akawa anatafuta mchepuko, kahustle sana, akanishtua mdogo wake . Ni mlink na University girls na watu nawajua, tukaanza mission tembelea bar na vijiwe vyote Dodoma...
walichangia pia kuua mziki na vipaji vya wengi kwa kiwaringia na kunyanyasa wasanii chipukizi maana wkt huo kuonana na hao ni kama kuonana na rais na waliringa mno saabu wakikuwa wao tu, yaani ukigombana nao tu hata iwe sababu ya mademu unabaki ndio imeisha hio ama ukikaza basi ni options chache...
TIGO POST PAID:
15 GB kwa 15,000
35 GB kwa 35,000
48 GB kwa 40,000
72 GB kwa 60,000
120 GB kwa 100,000
Gharama ya usajili utalipia kiasi kinacholingana na bei ya bando unalotaka kuungwa
Bando utalochagua utakuwa unaungwa kila tarehe 1 ya mwezi
Kila mwezi inabidi ulipie bando unaloungwa...
Kijana ni fundi, nimeacha ubishi......case closed! Nikisema tofauti nafsi yangu itanisuta.
'Asili ya jambo lile, kama chakula lazima nile'....ujumbe umefikishwa kikubwa kabisa hapa, watoto hata wakiwa macho haina shida kwani hawawezi kuelewa chochote kile.
Alichokera ni ufupi wa wimbo tu, kwa...
Siku zote usipojua nyota yako kali usitegemee kufanikiwa kama usipojiondoa kwa watu watakao tumia nyota yako kutembelea kwenye mafanikio yao.
Wote tunamfahamu msanii T-Pain aliyetamba miaka ya nyuma na hakuna ngoma iliyofanya vibaya. Kutokana na umaarufu wake mpaka kuunda kundi la Nappy Boy...
Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama ameomba msamaha kwa Kanisa zima la KKKT, Maaskofu, Wachungaji na Waumini wote
Askofu Malasusa amemtangazia msamaha
Askofu awataka Waumini waache Ushabiki kwa sababu wanaligawa Kanisa na huo siyo Ukristo
Tukio lilikuwa mubashara KKKT Kinyerezi
Chanzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.