Habari za wakati huu wakurugenzi?
Wanahitajika Wauzaji wa Jumla wa bidhaa zifuatazo ambao wanauwezo wa kussuply mzigo wa thamni yoyote kwa bei ya Jumla.Iwapo unao uwezo wa kussuply kiasi hicho cha mzigo tafadhali tuma mawasiliano yako kwa email:masokotz@yahoo.com.Zingatia kwama ni lazima uwe ni...
Ijumaa hii ya tarehe 11, Diamond Platnumz anaachia ep yake ya kwanza tokea aanze mziki... Ep hiyo kaipa jina la FOA (First Of All) ambayo hash tag yake #FOA imejizolea umaarufu kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii
Kwa kuangalia mapokezi ya jina tu, basi naamini hii ep itaenda kuacha historia...
Licha ya kuwa wapo watanzania wanamlaum Rais John Pombe Magufuli kwa mambo kadhaa lakini huko nje ya mipaka yetu Kuna watu wanamkubari Sana kwa jitihada zake za kuliletea taifa letu miradi ya kutukuka na kuheshimika kimataifa katika kipindi kifupi alicho kaa madarakani.
Somo tujifunze...
Tahasisi ya Basata imeamua kurudisha tuzo za wanamziki ambazo kipindi fulani zilishindwa kufanyika kutokana na sababu mbalimbali.Ukiwa mdau mkubwa wa mziki wa Tz unaishauri Basata nini wafanye ili tuzo hizi ziwe Bora na ziwe na muendelezo mzuri?
Nimeona Basata wameita baadhi ya wasanii wakubwa...
Natuma ni wazima wa afya,Nilikuwa na naitaji kununua sabufa katika pita pita nimekutana nahii sabufa kwa mwenye kuifahamu vizuri anipe mrejesho kabla sijayavagaa
Kuna hii baa ya La Patrona, karibu na kanisa la Katoliki, Nkuhungu, Dodoma. Iko vizuri kimazingira ila inatupa kero wakazi wa jirani. Inapiga mziki mnene kila siku kuanzia mida ya saa nne hivi hadi saa kumi hivi usiku, tena yupo na DJ anapiga kelele mno.
Kuna uzi uliletwa siku chache zilizopita...
Nakumbuka back in 2000s hapa bongo tayari bongo flava ilikuwa imebamba lakini bado tulikuwa tunakita ngoma za Kenya kwasababu zilikuwa za moto si mchezo.
Nakumbuka wasanii waliokuwa wanatoa ngoma kali kina e sir (rip), nonini, nameless, prezzo, nazis, n.k
Enzi hizo hata kwenye awards za...
Habari za kazi wa kuu katika jukwaa langu pendwa, kwanza natoa pole kwa member wote kwa kuondokewa na mtu muhimu katika jukwaa hili warumi simfaham sura ila kwa taarifa nilizo pata ni home boy kabisa.😭😢
Mimi nimdau wa mziki wa Afrika wa kizazi kipya kwa kitambo kirefu toka miaka ya 90 mwishoni...
Wakati mwengine ukweli usemwe, nilikua nadhani mziki wetu umepoteza dira kwasababu ya kiki, skendo na mambo mengine yasiokua na maana na tena yanaharibu kabisa watoto wetu huko uswahilini.
Tokea Jana nimekua nasikiliza nyimbo nzuri sana za kijana huyu, tungo zake aisee, nimeangalia videos duh...
Huu mziki kiukweli unatakiwa kuangaliwa kwa jicho la pekee kwani unaenda kuharibu maadili/ utamaduni wetu. Hebu cheki haya mashairi ya wimbo wa Snura akimshirikisha MSAGA SUMU .
Msaga sumu: Naomba uniruhusu kupita snura usinibanie mie,
naomba uniruhusu kupita snura...
Nataka kumkumbusha Rayvanny asi concentrate sana na Papuchi akasahau mziki wake, akumbuke yeye bado ni muajiriwa wa label ya wasafi, asipofanya kazi hali... Sasa yeye aendelee kutangatanga na huyo mtoto wa kike asahau kwenda studio kufanya kazi.
Mwenzake Harmonise ile label yake ana uhakika wa...
Kijana Diamond Platnumz ni msanii ambae ni fundisho sahihi la namna halisi la jinsI ya kuwa na maendeleo one step at a time, kutumia connections za watu (networking) na kuji brand, pengine niseme wasanii wengi wapo kwenye kiwanda cha muziki ila huyu jamaa yupo kwenye kajiongeza mpaka kwenye...
Watanzania tumejaaliwa majungu chuki na wivu , hzo ndizo zawadi Bora kabisa tulizoachiwa, na Kwa kweli tupo vizur na tunazitendea haki,.....thus why Sisi ni moja kati ya nchi kumi zenye umaskini wa kutupwa duniani, .... hata hvyo katika sekta ya burdani Tanzania, WCB isifananishwe na utopolo...
Habari wanabodi,
Ushauri kwa ndugu yetu Diamond Platinum naona sasa taa nyekundu kwake imeanza kuwaka ni kiashiria kwamba mwisho wa muziki wake umekaribia au kama sivyo basi anatakiwe akaboost kidogo mambo kwa babu, itakuwa alijisahau huwa watu wana renew kwa babu kila mwaka.
Kwa sasa naona...
Tuanze
1.EAST COAST
Wametoa mbunge FA
2. Hard blasters
Walitoa mbunge Prof Jay
3.weusi
Wametoa DC Nick wapili
4. Daz nundaz
Wametoa mateja mnawajua
5.Tmk
Wametoa diwani mkubwa fela
6. WCB
Wametoa mbunge Babu tale
7. Tip top connection
Wametoa mapunda mnawajua
Ebu endelea
wewe hapo
Imekuwa ni kawaida kwa kampuni, taasisi na mashirika makubwa duniani kote kubadili majina kutokana na sababu za kibiashara, kubadilishwa kwa lengo la uanzishwaji wake au kuuzwa kwa mmiliki mwingine.
Hilo pia hujitokeza kwa wasanii wa muziki, filamu na mitindo kwa lengo la kuimarisha chapa zao...
Sikupata nafasi ya kusikiliza audio ya KELEBE ya RAYVANY....
Basi nkaona si mbaayaaa kuangalia video nipate pia wasaa wa mashairi pia.
LAHAULAAAAAAAAA......
Pengine ndo mziki mzuri kizazi hiki ila mimi HAPANA.
Kuna huu wimbo wa Jay Helody-huba hulu.
Sound yake nakuwa sielewi elewi, kila nikijaribu kuuweka naona unatoa sound ya ajabu, najaribu ku-equalizer lakin bado sound inayotoka haisound poa.
Sasa nazani labda itakuwa producer alikosea au studio ilikuwa na vyombo vya kawaida.
Unasound kama...
Disclaimer:imesimuliwa na Martin Izze
Chimbuko la muziki wa kizazi kipya tanzania na maana halisi neno Bongo Flava (SEHEMU YA KWANZA)
Moja kati ya mambo niyapendayo mno maishani ni muziki.Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa muziki si tu ule wa nje lakini kwa karibu ule wa nyumbani hasa muziki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.