mziki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Extrovert

    Noorah aliimba uhalisia kabisa, huu ndio ulikuwa mziki wazee

    Hivi kuna burudani zaidi ya hii kwenye muziki? Halafu mtu atashangaa kwanini sipendi hizi takataka za Dabliyusibii! Af anatokea kenge mmoja anasema sikuhizi kuna mziki? Noorah was a pure talent huyu ndiye msanii ambaye aliingia mainstream bila kupitia u underground!
  2. Brayson Minja

    Kiki zinazidi kuua mziki wetu si kuukuza

    Hivi hawa wasanii wetu hasa hizi lebo mbili kubwa Tanzania nini kina wakumba awawezi kufanya kazi bila kuwa na kiki? Ukiangalia mziki watanzania ulikuwa una kua kwa kasi kubwa sana, lakini hii miaka ya karibuni umeanza kushuka na hii ina sababishwa na wasanii wetu baadala ya ku focus na ngoma...
  3. sky soldier

    Rafiki yangu akisikia mziki anaoupenda anaucheza bila kujali eneo, je ni pepo?

    Huyu ni rafiki yangu tangia zamani na mpaka leo tupo karibu, tunafanya nae kazi shirika moja na ni moja ya marafiki zangu wachache ambao tumejuana muda mrefu. Sasa huyu rafiki yangu anapenda sana muziki kuucheza tangu sekondari, huko chuo ndio kabisa alikuwa mzee wa disco sana, na hata...
  4. X

    Hivi kati ya Fireboy na Joe Boy nani hatari zaidi kwenye muziki wa Afrika?

    Wakuu kwema? Poleni na majukumu. Hivi kati ya Fireboy Na Joe Boy nani hatari zaidi kwenye muziki wa Afrika na Nigeria kwa ujumla. Nani anaflow nzuri zaidi,Lyrics kali,hits n.k. Fireboy vs Joe Boy
  5. Y

    Ni wapi wanafundisha muziki kwa Dodoma?

    Habari wana JF, Bila kupoteza muda wenu, Ninaomba kujua ni wapi wanafundisha kupiga vyombo vya mziki kama gitaa na piano kwa Jiji la Dodoma. Nashukuru
  6. K

    Nimerudi home nimemkuta wife anacheza mziki akiwa utupu

    Wakuu kwema? Jana jioni nimetoka kwenye shughuli zangu, kufika home nikakuta wife amejifungia chumbani akiwa anacheza mziki akiwa uchi wa mnyama huku anajiangalia kwenye kioo cha kwenye dressing table. Ni jambo la kawaida kweli hili wakuu au naishi na chizi?
Back
Top Bottom