Jamaani enzi zile watu naona tuliinjoy Sana ukilinganisha na mziki wa kizazi kipya. Mfano Leo nilikuwa nimekaa sehemu nakuta DJ ameweka mziki wa bendi ya Sasa Kamanyola wakiwa na Maestro King kikki wimbo unaitwa tutoke wore duuu nimekumbuka mbali Sana nikiwa Kijiji cha mbwewe Handeni Tanga...
Za jioni ndugu zangu, kwema?
Michael Jackson enzi za uhai wake alikuwa msanii maarufu na tajiri kuliko msanii yeyote hapa duniani.
Lakini pamoja na hizo sifa mbili kubwa nilizozitaja, kwangu mimi naona kuwa jamaa alibebwa na nyota tu kama ilivyo kwa Diamond, ila kiuimbaji au utungaji jamaa...
Salamu nazitia kapuni naenda moja kwa moja kwenye mada. Je, mziki wa Tanzania (BongoFleva) unaweza kutusua na kuwekewa category yake pekee kwenye platform kubwa za mziki kama Billboard Hot 100/200?
Afrobeats ya west Afrika imefanikiwa kupenya,je, vipi kuhusu Bongofleva?
Hip hop ni aina ya muziki unaoelezea aina ya usanii na utamaduni uliyotokana na jamii ya Wamarekani Weusi na Walatino kunako miaka ya 1970 mjini New York City, hasa katika kitongoji cha Bronx na badae katika miji mikubwa yote Marekani alafu Dunia nzima.Muziki wa hip hop pia huchukua tabia...
Binafsi niseme tu hawa waheshimiwa Tx-Moshi, Mzee Gurumo, Mbwembwe, Mzee Mabera, Mahina, Momba na wengine ambao sikuwataja na bendi zao walifanya kazi kubwa kwani mziki wao bado unaishi kwa kuelimisha umma wa watanzania na kuburudisha. Walikuwa na umahili katika fani zao.
Binafsi licha ya kuwa...
Inafkirisha na kushangaza Sana, tumeshuhudia mara nyingi Clouds FM, Efm na wengineo wengi mpak waandaaji wa tuzo za mziki tz wakiweka rank zao za wasanii Bora kuanzia top 10, top 20 etc.
Watu wamekuwa hawajali kuhusu hzo rank , hata WCB wenyewe wamekuwa wako kimya kabisa, mara nyingi harmonize...
Hiki chama hakijawahi kuwa na shughuli ndogo kwenye chaguzi. Huwa wanaupiga mwingi sana. Na ukweli tu wananchi wengi bado tuna tumaini na hiki chama kama chama pekee cha upinzani Tanzania.
Mwaka 2020 Magufuli na umwamba wake wote alipelekewa moto mkali sana na Tundu Lissu. Sasa kama Magufuli...
Nilienda kwenye mualiko wa sherehe ya rafiki yangu kuna dada yake alikuwa anaolewa, nikiwa najimwagia moyo na bia kadhaa ukafika muda wa kwenda kusakata rumba, mzuka niliokuwa nao ulikuwa fire 🔥💥 bum shakarakah! 💥🔥Nikajivuta hadi sehemu ya tukio na nikaanza manjonjo yangu kujiachia kwa...
Habari wakuu,
Naomba kunanza na Track hii ya Fid Q ft Juma nature, SIRI YA MTUNGI.
Naandika mistari ya hii ngoma nitakapoishia atendelea mwingine hadi track kuisha, kisha mkuu mwingine anaweka track tunapita nayo.
Song: Siri ya mtungi
Fid Q ft Juma Nature
Verse no: 1
Nilipotoka...
Hii tathmini nimeifanya kwa muda mrefu sana, takribani miaka 20 sasa. Nimejiridhisha kabisa baada ya miziki ya dini basi mziki unaofuata ni Hip Hop.
Hip Hop ni jina lenye maana kubwa, pana na muhimu zaidi kama mtu utalifuatilia kiundani zaidi. Mfano Manju Kool Herc alisema, "Hip Hop ni kemia...
Ndugu zangu Kuna watu wanaleta ujuaji Sana hapa nchini, Kuna watu wanafikiri kila kitu ni siasa, Kuna watu wanafikiri kila kitu ni sawa na wanavyowaza, kuna watu wanamchukulia Rais Kama raia wa kawaida, kuna watu kwa upeo wao mdogo wanamlinganisha Rais na sisi, Kuna watu wanazani uzito wa Rais...
Habari ya mchana huu wakuu, leo nimekuja na historia ya huyu mwamba na mtawala wa aina mbali mbali za miziki laini, yan ile inayogusa mioyo ya mamilioni ya wapenzi wa miziki hapa duniani.
Aina hizo za miziki ni funk, soul, rhythm, blues and country.
Anaitwa Lionel Brockman Richie Jr (born June...
Habari za majukumu wakuu..
Moja kwa moja kwenye mada, haina ubishi kwamba tasnia ya mziki kwa sasa imeendelea sana wote tunashuhudia vijana wanavojituma kusukuma gurudumu la bongo fleva kusogea.. kufanya mziki ni ndoto ya mamilioni ya vijana (nikiwemo mimi) lakini kwa hali ilivo sasa uhalisia...
Habadi z majukumu,
Nauza mziki wa gari full kabisa,
busta Watts 1,3000
Speaker JBL Watts 1,200 (zipo mbili katika box moja)
Equlaizer
Vyote Kwa pamoja nauza 800,000
Unachukua na kufunga katika gari, ni mziki mkubwa saana unafaa hata katika coaster ama Escher na gari yoyote
Mawasiliano...
Tukio la Harmonize kumvisha Pete ya Uchumba Kajala na Tukio la Yanga kusherekea Ubingwa wa Ligi kuu yameenda sambamba sana.
Inadaiwa kwamba Tukio la Harmonize kumvisha pete Kajala limefunika Tukio la Yanga, maana yake ni kwamba Mtaani watu wanamjadili Harmonize na Kajala kuliko Ubingwa na...
Sasa ni dhahiri, wale wanachadema na wanaharakati kama,Lema Martin Maranja Masese, Maria Sarungi wanaotegemea Siasa za mitafaruku na vurugu ili kujipatia mkate wa Kila siku, siku zao zinahesabika, na watafute kazi nyingine.
Wale waliokuwa wanatishia kuingia barabarani, haitawezekana tena. Mbowe...
Wakati nipo chuo kuna watu walikuwa wanasumbua sana na subwoofer zao mpaka wanawake nikaona huu ujinga sasa kila mtu subwoofer la kichina nikapata wazo la kutengeneza mziki mkubwa sana wa kuunga unga nikanunua vitu hivi.
Car audio crossover and equalizer
Car music booster
Spika 2 za bass (...
Heshma kwa wadau rika zote.
Nadhan tumeshakubaliana kuwa hasa tuishio mjini imeshakuwa tabia mbaya kurudi nyumban mapema sana baada ya mihangaiko.
Isitoshe mipango hufanyika bar sio kufuatana majumban!
Na hivi wenye wake wanakwepa visiran vya wenza ili zisitolewe saba mkupuo.
Unakuta mke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.