Hivi hawa wasanii wetu hasa hizi lebo mbili kubwa Tanzania nini kina wakumba awawezi kufanya kazi bila kuwa na kiki?
Ukiangalia mziki watanzania ulikuwa una kua kwa kasi kubwa sana, lakini hii miaka ya karibuni umeanza kushuka na hii ina sababishwa na wasanii wetu baadala ya ku focus na ngoma...