Binadamu hurudia makosa yake yake kila siku, wengi hawaelewi Capitalistic system, Capitalist atakutumia na kukumwaga, ila siku unaotumika kuwakandamiza na kuwadharau wakija juu, Jew hatopokea Simu yako na hatokujua.
San Suu Kyi wa Mynamar mpaka alipewa Nobel prize leo hii yuko Jela na Mzungu...