Also known as muzungu, mlungu, muzungu, musungu or musongo, mzungu (pronounced [m̩ˈzuŋɡu]) is a Bantu language term used in predominantly Swahili speaking nations to refer to Caucasian people. The noun Mzungu or its variants are used in Kenya, Tanzania, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of the Congo, Comoros, Zimbabwe, Mayotte, Zambia and in Northern Madagascar (the word changed to "vozongo" in Malagasy, but the locals will still understand the word mzungu) dating back to the 18th century.
Hakuna mtu alikuwa karibu na mzungu kama Raila, hakuna aliyekuwa ana ushawishi mbele ya mzungu hapa Afrika kama Raila mpaka hata walisema Obama ni cousin yake, lakini siku imefika na mzungu kapindua meza na Raila hatakiwi tena. Najua mtasema Ruto kashinda kidemokrasia lakini ukweli ni kwamba...
Hivi Karibuni Mchezaji Dejan alipofunga goli Mashabiki wengi wa Simba tulifurahi sana. Sababu ya kufurahi ni kua toka asajiliwe Mchezaji huyu hakua amefunga goli kwenye mechi yoyote ile ukiacha mazoezini labda.
Wengi tulianza kuamini kua Mchezaji huyu "tumepigwa", wengine kufikia kusema aheri...
Yanga sc imemtambulisha kiungo wake wa zamani, Tuisila Kisinda kuwa amerudi kikosini kabla ya dirisha la usajili kufungwa 31/08/2022.
Mashabiki wengi wa Yanga wamefurahishwa na ujio wa Tuisila Kisinda. Jambo ambalo hawalijui ni Nani kampisha Tuisila kwasababu usajili wa wachezaji kutoka nje ya...
Si mara moja wala mara mbili nimekuwa nikiiona hii hali kwenye sehemu tofauti.
Unakuta mzungu akienda ofisi ya serikali anashughulikiwa ki V.I.P unakuta swala lake linahughulikiwa kwaumakini wa hali ya juu sana.
Akipita mtaani watu anaopishana nao wanampa sana salamu na hata wale wa mbali...
kibwagizo cha Mlete Mzungu kilichoasisiwa na Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba Ahmed Ally alipokuwa akimtambulisha mchezaji wao mpya mgeni, Dejan Georgijević hapo Agosti 8, 2022, siku ya tamasha la klabu hiyo lililofanyika uwanja wa Benjamin William Mkapa, kimepata umaarufu...
Ukifuatilia Kwa Makini tunakoelekea na Kelele hizi.
Naona mchezaji wa Simba anazalilishwa kutokana na rangi yake .
Siongelei kishabiki lakini fuatilieni na ninyi muone.
TFF Toeni neno tunakoelekea siko, kwa nini ni mzungu tu na lugha za kukebei.
Kwani hakuna wachezaji wengine wa Simba...
Tuna muda mchache sana kuelekea Mashindano ya CAF lazima macho yenu na akili zenu zifanye kazi chap chap hatuwezi fika popote katika mashindano ya CAF kama striker ni huyu Dejan
Simba haitajin striker wa kumpa muda anatakiwa striker wa kuja kufunga sio huyu wa kumjaribu
Dejan ni straika mpya wa Simba ,ni straika kweli kama umefuatilia timu alizochezea na magoli aliyofunga. Kacheza timu kubwa Ulaya na anafunga magoli mazuri sana, lakini mashabiki wa nchi hii wana mambo ya kitoto sana.
Hicho mnachomfanyia Dejan sio ushabiki ni upumbavu ,na ni ubaguzi wa rangi...
Naona kama huyu ndugu hatendewi sawa, na ni kama vile inaelekea katika hali ya kubaguliwa na kinyanyaswa kwa rangi yake na asili yake.
Taasisi za haki za binadamu zitoe angalizo kwa watanzania na wadau wote wa michezo ....waende nalo kwa tahadhari, na ikibidi, watakaoendelea, Tume ya haki za...
Alipoingia mzungu, Simba ikaanza kupya na ndipo Yanga walipotake advantage ya kuisumbua Simba!
Uchezaji wa mzungu ni ulele kwanza haoni margin uwanjani pia hakabi, chenga hajui!... Kweli viongozi wa Simba ndo mmetuletea Kocha huyu afanye maajabu na Mzungu wake!..... Matola kwanzia sasa akipangwa...
Fraga mpaka Bange alishaanza Kuvuta na alikuwa anafika ( anagongana ) na Kukichafua huku Ukijipendekeza unakula ama Ndole au Kipepsi na Kutulia hadi akawa anaogopwa na Wachezaji wa Timu Pinzani.
Kwa huyu Mzungu Mserbia wenu ( ambaye GENTAMYCINE simkubali ) kwa nilivyomuona tu Pichami alivyo...
Haya wale Team Manzoki Wenzangu baneni sasa 'P' zenu Ili huyo Mchezaji atakayetangazwa na Simba SC dakika Moja tu kutoka sasa ( yaani Saa 9 Alasiri ) hii awe ni Manzoki.
Kila la Kheri.
Nasikia muda wowote Mzungu 'Mserbia' anasainishwa na Kutangazwa badala ya Mchezaji ambaye wana Simba SC wote tunamtama, anajua Kufunga na tumemsubiria muda mrefu Ceaser Lobi Manzoki.
Naandaa sasa Nondo zangu za SIRI za Ndani kabisa juu ya yanayoendelea ndani ya Simba SC na yaliyopita hadi...
watu tunasubiri habazi za manzoki mara yanakuja haya tena, mzungu akifika estadio de manungu au estadio de nyankumbu primary schoool geita si atatoa machozi ya damu?
Huo muda wa mwalimu kumuona na kumpitisha ni hadi lini? manzoko hasaini tena? kama manzoki akisaini basi wa kumpisha huyu mtu...
Leo na kesho kutakuwa na mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika mashariki huko Arusha. Kwa mtazamo wangu mkutano huo ni wa upotevu wa muda, fedha za wananchi kwani hakuna lolote la maana linajadiliwa na kufikia hatua ya utekelezaji.
Mengi ya makubaliano ya jumuiya hii huishia kwenye...
Kwesi Appiah ni....
1. Mwafrika Mwenzetu
2. Siyo Mgeni kwa Mambo yetu yale ya Uswahili ( Utamaduni )
3. Mafanikio yake yangekuwa ni Ushawishi wa Moja kwa Moja kwa Waxhezaji wa Simba SC
4. Angejikita zaidi katika Soka la Nguvu la Ghana kuliko la Unyoro nyoro ( Lege Lege ) la Wareno
5. Angekuwa...
Maswali mazito yaliulizwa na Mzungu kwa Wamasai. Cheki video utajua Wamasai wanaakili kuliko Mzungu
Ni Mara nyingi tuli mjini tunaji chukulia ni wajanja kupita maelezo, Ila yawezekana Wamasai ni wajanja kutupita sisi, ndo Mana wanaishi simple life.
Hautaweza kumuona Masai ameuza ngo'mbe zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.