nacte

  1. NACTE toeni Transcript za Clinical officer waliomaliza Desember 2022

    Clinical officer waliomaliza Desember 2022 tumekuwa tukiomba transcript zetu tangu tarehe 10 January 2023 ila Cha ajabu mpk Leo . Transcript request status inasema RECEIVED NACTE fanyieni Kazi maombi yetu tunahitaji hizo transcript kunafursa tunatak kuzikimbilia ambazo zinahitaji kuambatanisha...
  2. R

    Ni kweli matokeo ya mitihani NACTEVET yametumwa kwenye vyuo?

    Kuna kijana kasema amepata matokeo yake ya mitihani kupitia chuoni kwake. Je hii ni kweli kuwa mitihani imeshatumwa kwenye vyuo? Tujuzane!
  3. Msaada kuhusu submitted na confirmed NACTE

    Habarini wana jamvi, natumaini mu wazima. Msaada tafadhali. Ningependa kujua kwa nini status za wanafunzi kwenye website ya NACTE imetofautiana. Kuna walioandikiwa submitted na wengine confirmed. Ipi tofauti yao?
  4. R

    Website ya NACTEVET (zamani NACTE) haifanyi kazi

    Tunajaribu kupata information toka NACTEVET with regard to the coming academic year, website haifunguki/haipo. Tusaidieni wahusika kuna nini? Tunataka kujua matokeo ya mitihani ili wazazi tujiandae na ada etc etc etc. We are in darkness.
  5. A

    Naomba ufafanuzi kuhusu Distance University

    Habari Wadau Kwa wale wenye uelewa au ambao washawahi kusoma distance learning nahitaji kupata maelezo kidogo kuhusu hichi chuo cha University of People cha America na pengine yupo ambae ashawahi kusoma na labda kutambulika kwake kwa Tanzania na TCU ,Naamini tutafaidika sote kwa mawazo yenu...
  6. F

    Naomba kujuzwa maswali ya usaili NACTE

    Habari zenu wapendwa! Poleni kwa majukumu mbalimbali. Samahani, naomba kwa anaefaham maswali ya written interview ya NACTVET nafasi ya Coordinator of Curriculum Assessment. Natanguliza shukrani
  7. K

    Naomba msaada nataka ku-apply tena kupitia CAS NACTE

    Habarini wana jamvi, Nilikua naomba msaada nataka ku apply tena kupitia CAS NACTE ila nimechaguliwa chuo kingine na uhitaji wangu ni chuo cu serikalii na apply vp sababu kiLa nikitaka kutuma siletewi option ya kufanya application naambiwa nimechaguliwa ilihalii nahitaji kufanya application tena...
  8. R

    Tuwaombee watoto wa Vyuo vya Afya (NACTEVET) wanaofanya mitihani yao ya mwisho wa Mwaka (semester II)

    Mitihani yao inaanza leo. Wamepewa Exam timetable last Friday, wameshitukizwa. masikini hawana wa kuwasemea. Hivi vyuo vinahitaji reforms kubwa. Ni vya "bora liende" so to say! Wanakuwa victimized in all areas of their studies. Kuna wengine jana tu ndiyo wanaambiwa hawana sifa za kufanya...
  9. R

    Vyuo vya NACTE(now called NACTVET-) vinahitaji reform kubwa

    1. Havijulikani vinatumia mitaala ipi 2. Havina likizo kwa watoto for the whole year 3. Mitihani anatunga nani na inakuwa moderated vipi. 4. Walimu wana sifa kweli za kufundisha? haijulikani wanatokana na nini na qualification zao ni zipi. 5. Vya kilimo/mifugo ndiyo usiseme. MATI Mtwara ni...
  10. Mnachokifanya NACTE ni wizi

    Kwa jinsi Hali ya kiuchumi ilivyo ngumu, imagine mtu analipia maombi ya vyuo kupitia Nacte pesa ikishachukuliwa ndiyo kizungumkuti kinapoanza. Kulog in issue, ukiwapogia wanajibu watakavyo hebu tunaomba waheshimu pesa za watu. Hii no moja Kati ya taasisi za hovyo kabisa,HAINA SIFA YA KUWA...
  11. Tovuti ya Nacte haipatikani leo asubuhi 19/7/22

    Kila nikifungua website ya Nacte leo asubuhi haifunguki,au tatizo ni simu yangu tu, zingine hamna shida, wenzangu vipi na nyie mnaipata?
  12. S

    Nime-apply chuo NACTE nahitaji kujua tulio apply ni wa ngapi?

    Maana nikingia kwenye tovuti ya NACTE kuna sehemu imeandikwa applicant choose as:36 afu kwa mbele wameandika capacity 50 Sasa naomba kuuliza Hao 36 ndo idadi ya watu walio apply.. Samahan lakin kwa usumbufu
  13. F

    Mweka Training Centre kimesajiliwa na NACTE?

    Wakuu, naomba kufahamu chuo kimoja kinaitwa Mweka training centre kipo Kimara, Dar na kinatoa kozi za afya. Je, kimesajiriwa na nacte? Na kama kimesajiliwa kwanini wahitimu wake hawakukiona kwenye orodha ya vyuo wakati wa kufanya application za ajira? Sent from my SM-A260F using JamiiForums...
  14. NACTE ichunguzwe. Imeshindwa kutoa Vyeti kwa wakati vya Wahitimu wa LITA. Wanaenda kukosa ajira zilizotangazwa na Serikali

    Serikali yetu makini hivi karibuni imetangaza nafasi za ajira lukuki kwa vijana waliohitimu Mafunzo ya mifugo sehemu mbalimbali. LITA kama Taasisi ya Serikali yenye ithibati ya kutoa mafunzo hayo ikisimamiwa na NACTE imekuwa ikitoa wanafunzi lukuki kila mwaka. Ili uweze kutambulika kifani ni...
  15. Aende kozi ipi kati ya Lab Assistance ya VETA au Health Information Technolog ya NACTE

    Ndugu wana jukwa kuna dogo kapata 4 ya 26 ana c ya bios na chemia c alafu nyingine D6 na mathf sasa anapenda kujiunga na kozi moja wapo hapo juu yana lab assistance veta au health information technolog chuo furan dar je ipi ina fursa ya kujiajiri kati ya hizo?
  16. L

    Kuhusu NACTE registration number kwenye kuomba ajira za ualimu

    Habari za leo wakuu. Kwa wale wenye diploma za ualimu tunaoomba nafasi za ajira tamisemi kwenye kipengele cha NACTE reg number tunajaza namba gani naona kwangu inagoma. Kuna namba iko kwenye cheti cha chuo ila nikiweka haikubali niweke nta level pia niattach cheti.
  17. D

    Naomba kufahamu utaratibu wa kutuma maombi ya ualimu (Nacte)

    Naomba kuuliza hivi Maombi ya Ualimu kwa ngazi ya cheti na Diploma (NACTE) Bado yanaendelea ? Na utaratibu ukoje msaada tafadhali
  18. Matokeo yangu yamekosewa NACTE, nimehangaika sijapata msaada

    Habari yenu katika ujenzi wa maisha yenu. Nimehitimu chuo 2020 stashahada ya uhandisi majengo katika chuo fulani cha serikali hapa nchini. Tatizo kubwa matokeo yangu yamekosewa katika mfumo wa NACTE na hii imekuwa ni kikwazo nisiweze kuendelea na masomo. JITIHADA NILIZOZIFANYA KWA SUALA HILO...
  19. NACTE Ffanyeni kazi kisasa

    Mwezi wa Pili 2022 Mm na Jamaa Tulilipia Malipo ya Huduma ya Transcript kwenda NACTE ila mpaka sasa kimya. Tumejitahidi kuwapigia kupitia Namba zao Ambazo Zinapatikana ktk tovuti yao Cha Ajabu Majibu Wanajibu Kwa Dharahu Mara Sihusiki. Sasa najiuliza hizo namba kwenye tovuti yenu zipo kwa kazi...
  20. NACTE yabadilishwa jina, sasa kujulikana kama NACTVET

    Baraza la Taifa na Elimu ya ufundi (NACTE), sasa limebadilishwa jina na litajulikana kama Baraza la Taifa la Elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi (NACTVET), mabadiliko hayo yamefanywa kufuatia Bunge kufanya mabadiliko mbalimbali ya Sheria ikiwemo Sheria namba 4 ya 2021. Mabadiliko hayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…