Nimetengeneza profile ya maombi ya NACTE, pia gharama zote nimelipa za maombi. Sasa nahitaji kuomba kozi za ualimu diploma lakini sioni option ya elimu kwenye akaunti yangu.
Napata option moja tu ya health and allied sciences, msaada naombaje kozi za ualimu NACTE?
Inaonekana kozi zingine bado dirisha kufunguliwa ukiacha za afya, je kozi zingine lini dirisha litafunguliwa?
Tangazo lao linasoma hivi:
Welcome to Student's Admission Verification System for Certificate and Diploma Applicants.
The System allows you to apply for Admission into Certificate and...
Vijana changamka, omba vyuo.
Kila la heri!
===
Moderators samahani mliweka Tangazo la mwaka jana. Nimefanya editing na kuweka la mwaka huu posted on 15th June 2020
BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI TAARIFA KWA UMMA KUHUSU WAOMBAJI WA NAFASI ZA MASOMO KWA NGAZI YA ASTASHAHADA NA STASHAHADA KWA...
Matokeo ya mitihani ya NACTE yanaonyesha kama ilivyo kwenye jedwali lao la matokeo. Maana ya REPEAT ni nini? wakati katika baadhi ya wanafunzi hana somo alilofeli hata moja. Mfano: candidate namba 116, 123, 128, 129, 136 etc.
Msaada please
Naweka attachment ya matokeo toka NACTE
Kwa kawaida Mwezi March huwa linafunguliwa dirisha la vijana kuomba vyuo. Kuomba huku ndiko huwa kunapelekea vijana kuanza masomo mwezi wa kumi (10). Hii ndiyo huwa MAJOR intake. March imeisha na hakuna tangazo lolote la kufungua dirisha la udahili na vijana kuomba vyuo, kunani NACTE?
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limevifutia usajili vyuo 7 kikiwamo Time School of Journalism (TSJ), kwa kutokidhi vigezo vya kutoa mafunzo yanayoratibiwa na baraza hilo.
Mkurugenzi wa Uthibiti, Ufuatiliaji na Tathmini, Dkt. Geofrey Oleke amesema Baraza limevitaarifu vyuo husika kwa...
Hope mko wazima wa afya.
Naomba kuuliza kwa wanaofahamu jinsi hawa NACTE wanapata GPA ya mwisho inayoweza kumpeleka mwanafunzi elimu ya juu (degree).
Je wanachukua ile GPA ya semester ya pili ya mtihani wao? Au wanajumlisha GPA ya semester ya kwanza na ya pili?
Please msaada wa dhati kabisa...
Msaada wa pendwa cheti changu cha Diploma kimungua kwa ajari ya moto, nimekwama baada ya kushindwa kupata muongozo kutoka kwenye website ya NACTE. Ni kiasi gani cha fedha na muda wa kupata hicho cheti mbadala ni upi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.