nacte

  1. R

    Dirisha la udahili wa masomo ya Astashahada/stashahada kwa mwaka 2021/2022 kwa vyuo vilivyo chini ya NACTE limefunguliwa 27/05/2021

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA UDAHILI WA NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA 2021/2022 Haya vijana muda ndio huu. Fanya applicatons mapema kuepuka last-minute congestion/scramble! ==== JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA BARAZA LA TAIFA LA...
  2. Matata25

    Msaada ku apply chuo online Nacte

    Habari za usiku ndugu zangu? Nahitaji msaada namana ya ku apply nacte vyuo vya afya. Nimejaza taarifa zote lakini hakuna kinachoendelea. Hatua ya kwanza nimefungua ukurasa wa kujisajili na nikajaza taarifa zote. kama inavyoonekana kwenye screenshoot hapo chini. Then ukurasa wa pili ulipofunguka...
  3. Matata25

    Msaada: Namna ya kutuma maombi NACTE

    Habari za usiku ndugu zangu? Nahitaji msaada namana ya ku apply nacte vyuo vya afya. Nimejaza taarifa zote lakini hakuna kinachoendelea. Hatua ya kwanza nimefungua ukurasa wa kujisajili na nikajaza taarifa zote. kama inavyoonekana kwenye screenshoot hapo chini. Then ukurasa wa pili...
  4. Doctor Mama Amon

    Spika Ndugai alitaka Bunge kubadili Sheria ya HESLB ili wanafunzi wa VETA na NACTE wapate mikopo pia

    Nimependa mapendekezo ya Spika leo. Anataka kuona sheria inayowapa mikopo wanafunzi wa TCU, VETA, NACTE. Anataka 70% ya fedha za HESLB ziende ktk sayansi na teknolojia. Ameyasema haya kwenye kilele cha mashindano ya sayansi, teknolojia na ubunifu. Kila la kheri wabunge wetu. Tumieni hati ya...
  5. R

    NACTE yatangaza Udahili wa Machi 2021 kwa Waombaji wa Astashahada na Stashahada

    Haya vijana changamkieni nafasi hizo. kama ulikosa October intake itumie nafasi hii. SWALI: Vyuo vya serikali hasa vya Afya navyo vinahusika?
  6. Masiya

    Ushauri Unahitajika: NACTE March 2021 Intake. Je UCC (University Computer Center Dares salaam) inatosha?

    Wakuu naomba ushauri: KIjana anafikiria kuanza masomo ya Diploma IT jijini Dar mwezi march/april 2021 lakini vyuo vyenye March intake ni vichache. Najua UCC wana dahili intake hiyo. Swali je ajitupe UCC au afikirie kusubiri September intake ambayo ina vyuo vingi? Kwa lugha nyingine je UCC ya...
  7. R

    Kuna kitu hakipo sawa NACTE: Wanafunzi wamefeli sana mitihani ya semester

    HJaiwezekani wanafunzi wakafeli mitihani yao kiwango hiki. Kuna kitu hakipo sawa either kwa vyuo na ufundishaji au utungaji wa mitihani NACTE. Pitia vyuoni wanafunzi wamefeli sana na NACTE seems not to take care na kujiuliza kua nini? Siamini kama wanafunzi ni "hovyo" kiasi hicho. Kuna kitu...
  8. R

    Waziri wa Elimu, Prof. Ndalichako, tunaomba NACTE watoe matokeo ya Wanafunzi kwa mtindo wa NECTA. Vyuo vimegoma kutoa matokeo ya muhula 2/2020

    Kumekuwepo na matatizo makubwa NACTE mnapotuma matokeo ya watoto vyuoni. Mtoto hawezi kuyaona ontime pia na wazazi. Kumekuwa au kuna uwezekano mkubwa hata wa ku- manipulate/ku-temper na ufaulu wa watoto kwa faida ya chuo/walimu etc. Maadam chuo ndicho kinamwonesha mwanafunzi matokeo, chochote...
  9. R

    NACTE: Toeni matokeo ya mitihani kwa kufuata mfumo wa NECTA

    Mojawapo ya wadau muhimu wa matokeo ya mitihani kwa vyuo vya NACTE ni WAZAZI. Ni vema matokeo yakatolewa kama wanavyofanya NECTA ili iwe rahisi kwa wazazi kupata matokeo ya watoto wao kutoka kwenye reliable source kama website ya NACTE etc, siyo kusubiri kuambiwa na mtoto. Watoto wengine...
  10. R

    NACTE toeni majibu ya semester II examinations -2020

    Ni mateso matupu kwa wanafunzi na wazazi mpaka sasa mwanafunzi hajui kama aanze safari kutoka kwao kuja chuoni wakati vyuo vinafunguliwa jtatu 16/11/2020. Mwanafunzi hawezi kutoka say Sumbawanga kuja Mwanza chuoni wakati hajapata matokeo yake ya mtihani kujua kama anaingia mwaka unaofuata au...
  11. R

    NACTE toeni majibu ya mitihani ya semester II/2020

    Vijana hawajui fate yao na vyuo vinafuguliwa 16/11/2020. Huwezi kufanya lolote bila matokeo ya mitihani, tatizo liko wapi? CEO wa NACTE unafeli wapi?
  12. Goti la samaki

    Naomba kuuliza kuhusu NACTE

    Habari za humu wakuu, Naomba kuuliza kuhusu nacte mwaka huu kuna issue gani inaendelea? Mbona wamechelewa sana kutoa matokeo ya semester two ? Je, matokeo ni mabaya sana? Mwenye anajua au mwenye tetesi zozote za nacte kuhusiana na matokeo ya mwaka huu atuambie Hii ni especially kwa kozi ya...
  13. Nyalikanho

    Kuchaguliwa chuo zaidi ya kimoja

    Habari wadau, Nimechaguliwa chuo zaid ya kimoja yaan DUT na CBE ila nimetumiwa sms ni confirm chuo kimoja ninachokita kupitia code number kupitia account cha chuo ninachokitaka. Pia kuna chuo cha private niliomba ila siyo online na wamenichagua so nasubiri majibu ya majina waliyopeleka TCU...
  14. Y

    IFM hawajapeleka maijina NACTE

    IFM mpaka leo bado hawajapeleka majibu ya Diploma kwa waliopata sap na matokeo yametoka toka tarehe 3 mwezi huu wa kumi sijajua sababu nini lakini ukiwauliza wanasema watapeleka wakat dirisha la awamu ya Pili inakalibia kufungwa kwahiyo hawatawez kuanza chuo kwa mwaka huu kitu ambacho si kizuri...
  15. Civilian Coin

    Waraka maalum kwa NECTA, NACTE na TCU

    Waraka huu ni wakutaka MABADILIKO yafanyike ndani ya Tume hizi tatu za usajili wa wanafunzi elimu ya msingi, sekondari, vyuo vya Kati na vyuo VIKUU. Uchambuzi unafanywa nami DON NALIMISON NALIMI. TULIPOTOKA Mifumo ya elimu inayotumika ni ya tangu mkoloni na hakuna kilichobadilika kila kitu ni...
  16. Buti la mkoloni

    Naomba kujuzwa zilipo ofisi za Nacte kanda ya kati

    Habari za jioni wana jf, Naomba kufahamu ofisi za Nacte kwa mkoa wa Dodoma zipo wapi? Mimi ni mgeni mkoa huu nahitaji kufika ktk ofisi zao siku ya kesho Jumanne.
  17. F

    NACTE komesheni utapeli unaofanywa na Chuo cha Ualimu Northern Highlands Moshi

    Niwaombe Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) kukomesha utapeli unaofanywa na Chuo cha Ualimu cha Northern Highlands kilichopo mjini moshi mkoani Kilimanjaro pamoja na vyuo vingine jamii ya hiyo. Chuo hicho kinachomilikiwa na bwana Henry Mallya, kimekuwa kikiwadahili wanafunzi wasiokuwa...
  18. Masiya

    NACTE Guide BOOK ya Diploma and Certificate za Vyuo Vikuu

    Juzi juzi niliandika haya baada ya kusoma tangazo la udahili la UDOM Sasa leo nimekutana "THE NATIONAL COUNCIL FOR TECHNICAL EDUCATION CERTIFICATE AND DIPLOMA PROGRAMMES OFFERED BY UNIVERSITIES ADMISSION GUIDEBOOK FOR 2020/2021" kwenye web page ya NACTE ambayo haikuwa na maelezo yeyote...
  19. R

    Msaada tafadhali: NACTE watafungua lini maombi ya kujiunga na vyuo vya kati ukiacha vya Afya?

    Mpaka sasa maombi ya vyuo yaliyofunguliwa ni kwa vyo vya afya. Je, vyuo vingine apart from Afya maombi yanafunguliwa lini? Mwenye taarifa anijuze. NACTE tunaomba majibu!
Back
Top Bottom