Salaam Wakuu!
Ni mda kidogo sija post katika Jukwaa hili.
Nimeombwa na mtu hapa nimuangalizie matokeo yake ya Form Four.
Nimeshangazwa kuona karne hii ya ishirini na moja, katika serikali ambayo ina promote na ku adopt ICT katika business operations zake, kuona kuna services zinakwama kuwa...
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo kilichoanzishwa kwa Sheria ya Bunge Sura Namba 129 ili kusimamia na kuratibu utoaji wa elimu na mafunzo ya ufundi katika Vyuo ambavyo si Vyuo Vikuu ama Vyuo Vikuu Vishiriki nchini. Jukumu mojawapo la Baraza ni kuhakikisha kuwa mafunzo...
Taarifa rasmi ni kwamba matokeo ya mwaka wa pili ya udaktari CO yameshikiliwa NACTE kwa vyuo vyote vya afya baada ya kusemekana paper kuvuja Tanzania nzima pamoja na marking scheme kupelekea GPA kuwa juu mnoo!
Yaaan madogo wangekuwa washachomoka!
Maoni yangu serikali KWANZA ibaini chuo...
Mke Wangu Amegraduate Chuo Cha Ualimu Tukuyu Diploma Yake Mwaka 2015 na Kupata GPA ya 3.0 kwa Mujibu wa Matokeo ya NECTA.
Mwaka 2017 Akataka Kujiendeleza Kwa Kusoma Digrii Yake OPEN UNIVERSITY Akapewa Sharti Atafute Uthibitisho NACTE Kwa Sababu Cheti Chake Hakikuwa na GPA .
Basi Tukalipia...
Waziri tunaomba washughurikie hawa NACTE watoto wetu wanahitaji hizo AVN ili wajiunge na vyuo vikuu na deadline kama TCU walivyotangaza ni tar 15.10.2021 tayari zimeshakaribia.
Habari za kazi wakuu nilikua nauliza kuwa hivi uchukua muda gani nacte kuverify matokeo kwa diploma manake sisi wengine matokeo yetu ndo yametumwa Jana nacte na AVN bado atujapata tunataka tuapply chuo muda umeisha
Msaada kwa anaejua nini kinafanyika
Mkurugenzi wa udhibiti NACTE, Geofrey Oleke amesema ipo changamoto ya vyuo ambavyo havijasajiliwa pamoja na wao kuhakikisha havipo kwa kuvifuta na kwakuwa huwa vina ada ya chini, watanzania wengi wanavikimbilia bila kujua kwamba vimesajiliwa ama La.
Pia mkurugenzi huyo amesema vipo ambavyo...
Wale Mliosoma IFm,Cbe na Arusha Tech Pokeeni Hii Taarifa Wakuu.
----
Dkt. Geofey Oleke - Mkurugenzi wa Udhibiti, Tathmini na Ufuatiliaji NACTE amesema haya
Watu huwa wanachanganya kati ya NECTA Na NACTE kwa sababu ya maneno kushabihiana NACTE ni baraza la Taifa la elimu ya Ufundi wakati NECTA...
Habari ya mchana wapambanaji wenzangu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu naomba msaada namba ya NACTE nimejaribu kufanya malipo ya transcript ila najaribu kuingia kwenye website yao ni request transcript nashindwa nimejaribu kutumia namba ya mtihan ya chuo pia inakataa.
Msaada tafadhali
Time is running very fast, we need to know the fate of our applicants. Tafadhali toeni majina watoto wajiandae pamoja na wazazi mambo ya ada na gharama zingine.
A3 Company Ltd ni wamiliki wa City college Mikwambe, Kigamboni City college na Dodoma city college. Hawa wamiliki wa A3 Company Ltd wako bize kufungua vyuo vipya Arusha na Mwanza kwa idhini ya NACTE huku walimu wa Kigamboni City college na Dodoma City college hawajarlipwa mshahara ya mwezi wa...
Barua ya Wazi kwa Waziri wa Elimu kuhusu utendaji wa NACTE
Kwako waziri wa elimu,
Utendaji wa NACTE haulizishi kabisa.
Watoto wetu wanafuatilia AVN ili waweze kuapply vyuo vikuu hawapewi.
Kama watendaji wa NACTE wanakuwa wazembe kiasi hicho kwanini msibadirishe na kuweka watu wengine...
Karibia wiki nataka nimtumie mdogo wangu maombi ya chuo cha afya kupitia nacte lakini system haifunguki. Kila nikiingia inaandika error.
Tatizo nini kwa wenye ufahamu.
Nimeshangaa mtu anajaza taarifa zote ili kupata AVN lakini anambiwa itachukua masaa mengi hadi zaidi ya 130 ili kupata majibu, hata control number ya kulipia nayo inachukua masaa yote hayo.
Kama vitu hivi ni system zinafanya kazi, nani ali-set masaa yote hayo?
Kindly be informed that your...
Habari,
Naombeni kufaham kutokana na uzoefu wenu, Kwa tulioomba vyuo vya afya 2021/2022 kupitia website ya NACTE majibu yanaweza kutoka mwezi wa ngapi?
Tafadhali nisaidie : Mhitimu ambaye ana cheti cha kidato cha nne Div 1 pt12 ya pure science na cha sita Div 3 (PCB-EED) akiomba kujiunga na vyuo vilivyo chini ya NACTE say Clinical Medicine course watamchagua kwa kigezo kipi? Kuna addaed advantage ya form six over form 4?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.