Gdence Auto Spare Parts and Service ni kampuni inayo jihusisha na uuzaji wa vipuli vya magari kutoka German na urekebishaji (Service) ya magari hayo.
Ofisi zetu ziko Dar es salaam maeneo ya Sinza na Tandale Tanesco. Tunapenda kutangaza nafasi moja (1) ya kazi nafasi ya FRONT DESK OFFICER...
NATAFUTA KIBARUA NDUGU ZANGU
Mimi Ni kijana (me), mkazi wa TABATA KINYEREZI. Nina elimu ya kidato cha nne na ninategemewa na familia yangu—mke na watoto wawili. Kutokana na changamoto za maisha, natafuta kibarua chochote cha halali ili niweze kuhudumia familia yangu.
Nina uwezo wa kufanya kazi...
Habari,
Nahitaji kijana wa kusimamia biashara ya hardware hasa katika';
Ku apply Tender katika mtandao wa nest
Ku tafuta masoko ya bidhaa zilizopo
Ku tafuta potential suppliers
Ku tuma sales and purchases report kupitia excel tool
etc
Biashara ipo kibaha, kwa mawasiliano tuma mail through...
Wadau nilikuwa naomba kazi nina kipaji cha upigaji picha na kushoot video lakini pia ninajua graphic designer
Lakini pia nanvyo vifaa vyangu mwenyewe tayari kwa kazi Nina camera, na vifaa vyengine vya kupiga picha na kushoot video na pia nina vifaa vya kuedit picha na video pamoja na graphic...
Wanahitajika walimu wa masomo yafuatayo;
1. BOOK-KEEPING/ ACCOUNTANCY na COMMERCE - ngazi ya shahada ( Awe amesoma ualimu au Course za uchumi na Account Lakini mahiri wa kufundisha
2. PHYSICS-MATHEMATICS
awe amesomea ualimu au shahada ya Engineering na mwenye uwezo wa kufundisha masomo hayo...
Kazi ya kusafisha mazingira
Huu ni Mradi maalum kwa ajili ya kampeni ya USAFI WA MAZINGIRA & AFYA YA JAMII
Mshahara ni lak 3 kwa mwezi ukifikia lengo la kampuni
Kazi inahitaji mtu mwenye bidii na kujituma 0718408733 hii namba ni Whatsapp tu usipige
Nafasi hizi ni bure kabisa usikae nyumbani...
Habari wana Jamii forum
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 ninae patikana Chamwino dodoma, Nina uhitaji wa kazi yeyote au nafasi ya kazi kama legal officer
ELIMU
Nimehitimu shahada ya Sheria mwaka 2022
Nime maliza masomo ya shule ya sheria kwa vitendo Law school of Tanzania ambapo na...
Habari wana JF
Hongereni kwa kazi ya kujenga taifa
Anatafutwa dereva mwenye leseni ya class C yoyote , kazi yake itakuwa itakuwa ni kuendesha basi la shule na majukumu mengine atakayopangiwa na mwajiri wake
Vitu vinavyoitajika
1. Leseni daraja C
2. Elimu ya kidato cha nne na kuendelea
3...
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Jinsia ni Me
Mkoa : Dar es salaam.
Kazi : yeyote iwe ya kutumia nguvu au akili Niko tayari
Mawasiliano kwa sababu za kiusalama nisingependa kuweka hapa ila kwa pm tunaweza kuwasiliana zaidi
Mahali: Kazi ya Mtandaoni (Remote)
Kampuni: Online Profits
Nafasi: Wakala wa Mauzo
KUHUSU ONLINE PROFITS
Online Profits ni kampuni ya e-learning inayolenga kusaidia wajasiriamali wanaotaka kuzindua na kukuza biashara zao mtandaoni. Programu yetu kuu inaitwa Online Profits University na inatoa...
TRADESAFE LIMITED
LOCATION: DAR ES SALAAM, TANZANIA
POSITION: LOGISTICS PROJECT DEVELOPMENT MANAGER
CONTRACT TYPE: 1-3 YEARS CONTRACT
---
ROLE OVERVIEW
TradeSafe Limited is seeking a Logistics Project Development Manager to lead the development, creation, and introduction of innovative...
TRADESAFE LIMITED
LOCATION: DAR ES SALAAM, TANZANIA
POSITION: SENIOR BUSINESS AND MARKET INTELLIGENCE OFFICER
CONTRACT TYPE: FULL-TIME / PROJECT BASED
---
ROLE OVERVIEW
TradeSafe Limited is seeking an experienced Senior Business and Market Intelligence or Analyst Officer who will also serve...
Kama heading inavojieleza hapo juu mimi ni mtaalamu wa maabara, mwenye stashahada nilijaribu kurusha ndoana kwenye ajira za utumishi nikala ndoige ya kichwa kwa kupigwa NOT SELECTED
Sasa nimeona wanazengo wengi wakilamba asali kwenye pdf hizi za serikali hasa upande wa kada yangu ya maabara na...
Wanahitajika walio na Diploma au Degree ya Kwanza ya Radiography haraka.
Wasilisha CV kupitia info@nyaishozicollege.ac.tz au tuma kwa Whatsapp 0745009792
Job type: Full-time
POSITION: HEAD CHEF
Job Description:
Control and direct the food preparation process and any other relative activities
Construct menus with new or existing culinary creations ensuring the variety and quality of servings
Approve and polish dishes before they reach the...
Naitwa Salehe nimemaliza elimu ya Bachelor of Engineering in Civil 2024 (DIT). Pia ni Civil Technician mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya mitatu katika kazi za ujenzi hususan ni Majengo. Kwa yeyote atakayehitaji mtu wa usimamizi wa kazi zake naomba tuwasiliane 0654224037.... Makazi ni Dar es Salaam.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.