Anahitajika mwalimu wa kujitolea hasa wa kike, awe na uwezo wa kufundisha darasa I na II, hata chini ya hapo siyo mbaya. Awe mahiri wa lugha za Kiingereza na Kiswahili, hasa kuzungumza Kiingereza kwa ufasaha.
Atajitolea miezi mitatu, then atapewa mkataba kamili, kipindi anajitolea atalipwa...