nafasi za ajira

  1. NALIA NGWENA

    JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza nafasi za kujiunga na Jeshi kwa Vijana ambao wametumikia au wamefanya mafunzo ya kujitolea katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa miaka miwili kisha wakarejeshwa majumbani. Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano, Luteni Kanali...
  2. Ahmed Saidi

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimetangaza nafasi 221 za ajira katika kada mbalimbali

    Chuo Kikuu cha Dodoma kupitia utumishi kimetangaza nafasi 221 za ajira. Watu mbalimbali wanatakiwa kujaza nafasi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Tutorial Assistants, assistant lecturers, lecturers, technicians, transcribers n.k katika fani mbalimbali. Wenye sifa nafasi hii. Hivi lilikuwa ni...
  3. Serengeti DC

    Nafasi za kazi 1241 Jeshi la Magereza

    Kamishna Jenerali wa Jeshi La Magereza anatangaza Nafasi za Kazi 1241- za kujiunga na Jeshi kwa Mwaka 2022. Mwisho wa kutuma Maombi Tarehe 15 .JUNI.2022 --
  4. Jamii Opportunities

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

  5. sky soldier

    Wazanzibar wengi wameanza kuwa na sifa za kuajirika, wapewe 25% za nafasi za ajira na sio 21%

    kwa sasa nadhani wengi mmekuwa mashuhuda wa matokeo ya form 4 na form 6, hapo zamani ufaulu ulikuwa ni mdogo sana, si ajabu kukuta darasa zima lina division 4 na 0 pekee, Na linapokuja swala la ufaulu basi zanzibar ilikuwa ikishika mara kwa mara namba za mwisho, wazanzibar wengi walikuwa...
  6. Masokotz

    Unaweza kuzalisha ajira kwa ajili ya vijana 5 wa kitanzania?

    Habari za wakati Kufikiria sio kazi rahisi,ni kazi ambayo ina ugumu wake. Je unafikri unaweza kuzalisha ajira kwa ajili ya vijana 5 wa Kitanzania katika eneo ulipo?Je ajira utakayowapatia itakuwa na sifa gani,utawalipa kiasi gani,itakuwa na faida gani kwa jamii inayokuzunguka? Zingatia kwamba...
  7. L

    Mchango wangu kuhusu nafasi za ajira kwenye taasisi za muungano

    Makubaliano yanasema kwenye taasisi na wizara zote za Muungano ajira iwe Zanzibar 21% na Tanzania 79%. Issue hapa naona haijakaa sawa maana mzanzibari anaweza kuingia kwa hizo 21% lakini pia hiyo asilimia 21% ikijitosheleza anaweza kuingia kwenye taasisi hiyo hiyo kama Mtanzania maana nae ni...
  8. msovero

    Kwanini Serikali inawambia watu ambao haiwezi kuwaajiri waombe nafasi za ajira?

    Kwenye tangazo la ajira kada ya afya na ualimu kigezo ni wahitimu waliomaliza kati ya 2012-2019. Lakini leo bungeni waziri Ummy anasema wataajiri waliomaliza kati ya 2012 na 2015. Sasa kulikuwa na maana gani ya kuwambia waliomaliza kati ya 2016 hadi 2019 kuomba hizi ajira ikiwa kipaumbele ni...
  9. DSJ

    Fursa kwa wenye Shahada ya Uandishi wa Habari na/au Mawasiliano kwa Umma

    Fursa ya Ajira kutoka DSJ Tuma CV yako kwenda: application@uti.ac.tz Sambaza upendo huu kwa uwapendao
  10. Crownjunioral

    Nafasi za ajira za Ualimu za muda

    Habari ndugu wa JF. Natafuta Mwalimu mwenye combination ya masomo ya lugha (Kiswahili na English). Shule ipo maeneo ya Bukoba, hivo wakazi wa maeneo ya Bukoba na jirani tafadhali wasiliana na uongozi kwa namba +255629327589, School administrator. Asanteni
  11. The Palm Tree

    Tatizo la ajira Tanzania: Nafasi za Ajira ya Ualimu 13,000, waliotuma maombi kuziomba wafikia 80,000+ hadi leo!

    Hii ni ishara kuwa tatizo la ajira Tanzania ni kubwa sana. Kati ya nafasi za ajira ya ualimu wa shule za msingi & sekondari 13,000 zilizotangazwa na serikali ikiwa ni kumjibu mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA ndugu, Tundu Lissu, takwimu zinaonesha kuwa mpaka kufikia leo Jumatatu tarehe...
  12. MK254

    Nafasi za ajira, walimu 5,000 wanahitajika Kenya

    • The teachers recruited will serve on permanent and pensionable terms of service. • Interested and qualified candidates should submit their applications online through the commission’s website not later than September 14, 2020. The Teachers Service Commission has announced a massive...
  13. mwangaza africa

    Nafasi za ajira za muda 2020 Tanzania Democracy Support Project (2020TDSP)

    kumbuka malipo hayo yanajumuisha chakula, malazi na usafiri === Project Title: 2020 Tanzania Democracy Support Project (2020TDSP) Organization: Mwangaza Africa Job Title: Civic and Voters Education Field Officers (250 positions) Salary: Tsh 4,530,000/= (2,700,000 for form six) for 3 Months Job...
  14. laurentie

    Nafasi za ajira Arusha (Sales ladies)

    BLACKHORSE AFRICA ni kampuni mpya iliypo arusha inatafuta wafanyakazi idara ya mauzo wanahitajika wafanyakazi wa kike kwa ajili ya mauzo sifa za waombaji Elimu ya chuo diploma masoko na mauzo Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu Awe mkazi wa Arusha Awe na uzoefu kwenye kampuni ya...
  15. I AM BANE

    Natafuta kazi, nina uzoefu wa miaka minne

    Habari zenu wadau, Mimi ni kijana mwenye Elimu ya level ya SHAHADA nimefanya kazi kwenye MICROFINANCE kwa miaka 4. Nina ujuzi na uzoefu kwenye nafasi zifuatazo Loan Officer, Group leader/ Loan supervisor, Loan Recovery. Nahitaji kazi katika nafasi moja kati ya hizo hapo juu. Ahsante.
  16. M

    Blog za uhakika kwa ajili ya matangazo ya ajira

    Habari wadau. Nina swali kichwani bado sijalipatia jawabu, naombeni mchago wenu. Zipi ni blog 10 safi Tanzania ambazo zipo updated sana kila siku na zinatoa matangazo ya ajira ya uhakika?
  17. G

    MSAADA,USIPITE BILA KUSOMA

    Nasaka job, My contacts wakuu 0621863980
  18. MAUBIG

    Kitambo kimepita nafasi za kazi EWURA

    Habari wadau, Kuna nafasi EWURA walitangaza mnamo tarehe 22 NOV mwaka jana, sasa imekuwa ni kitambo kidogo kimepita, kama kuna mdau anataarifa ya zile nafasi kama washaajiri au mchakato unaendelea. Nafasi hizo ni kama zinavyoonekana hapo chini Post Title: Technical Manager Electricity One...
Back
Top Bottom