nafasi za kazi

  1. Jamii Opportunities

    Project Manager at Istituto Oikos September, 2024

    Job type: Full-time ISTITUTO OIKOS International cooperation NGO seeks Project Manager Istituto Oikos (www.istituto‐oikos.org) founded in Milan in 1996, operates in Europe and in developing countries to promote the responsible management of natural resources and to spread more sustainable...
  2. Jamii Opportunities

    Procurement Assistant at Medical Teams International September, 2024

    Medical Teams International holds strict child and vulnerable adult safeguarding principles and a zero-tolerance policy for misconduct related to sexual harassment, exploitation and abuse in the workplace and other places where the organization’s activities are rendered. Parallel to technical...
  3. Jamii Opportunities

    Laboratory Attendant III at CUHAS September, 2024

    The Catholic University of Health and Allied Sciences (CUHAS), owned by the Tanzania Episcopal Conference (TEC), provides training for over 3,500 students. CUHAS currently offers the following programs: Doctor of Philosophy (PhD), Master of Medicine (MMed), Master of Public Health (MPH), Master...
  4. Jamii Opportunities

    Tutor 4 – Positions at CUHAS September, 2024

    The Catholic University of Health and Allied Sciences (CUHAS), owned by the Tanzania Episcopal Conference (TEC), provides training for over 3,500 students. CUHAS currently offers the following programs: Doctor of Philosophy (PhD), Master of Medicine (MMed), Master of Public Health (MPH), Master...
  5. Mechanic 97

    Naomba anayejua muungozo wakujiunga SIDO

    Wakuu, ninakaribia kutimiza mwaka tangu nihamie sehemu hii ninayoishi sasa. Lakini hali niliyokutana nayo hapa inaniumiza sana, hasa kutokana na biashara ninayotaka kuanzisha. Biashara hii inahitaji niandae bidhaa, lakini sina ofisi na kwa mkoa huu ninapoishi, gharama za kuwa na ofisi ni kubwa...
  6. Mwiba1

    Nafasi za kazi truck drivers Lithuania

    Wale truck drivers wenye kauzoefu kiasi karibuni ofisini kwetu tuwaunganishe mkaendeshe trucks along europe, kampuni iko Lithuania mshahara ni kuanzia euro2300 plus bonus kutakuwa na training ya mwezi mmoja utalipwa kipindi chote cha training. Vigezo Leseni daraja CE Police clearance Mambo...
  7. N

    Nafasi 600 Walimu wa ufundi mashuleni

    Fursa kwa walimu wa ufundi Kusoma zaidi: https://www.jamiiforums.com/attachments/ajiraleo-com_tangazo-la-kazi-septemba-17-pdf.3099151/
  8. M

    Msaada aliyewahi kufanya usaili kwenye nafasi hizi

    Habari wakuu naomba msaada kwa aliyewahi kuitwa Interview ya written au oral katika nafasi hizi: 1. Admission Officer II (NACTVET) 2. Editor II (TIE) 3. Quality Assurance Officer II (NACTVET) Naomba msaada wa TIPS za interview kuhusu hizo nafasi.
  9. Mkoba wa Mama

    Nchi zinazoendelea hasa Afrika kwa wakati huu tuliopo hakuna ukosefu wa nafasi za kazi (ajira) tatizo lililopo ni serikali hazina pesa ya kuajiri

    Kwa hali ilivyo hasa katika sekta ya elimu, afya, ulinzi na TEHAMA kuna uhaba mkubwa sana wa mtumishi. Kwa nchi za Afrika hauwezi kusema kuna ukosefu wa ajira, hapana, changamoto iliyopo ni serikali hazina pesa ya kutosha kuajiri, baadhi ya sekta hasa nilizoorodhesa hapo juu kuna uhitaji mkubwa...
  10. O

    Wadau mnaotafuta ajira na ambao tayari mpo kazini, chukueni ushauri huu utawasaidia

    Nimefanya kazi sehemu tofauti tofauti kwenye sekta binafsi (Kampuni). Nimekutana na mengi kwenye makampuni. Kwa wanaitafuta ajira/ mliopo kazini kuwa makini na yafuatayo; Kampuni nyingi zisizotoa mikataba ya kazi nyingi ni wadhurumaji. Kuwa makini na kampuni changa hasa za waswahili. Utaishia...
  11. K

    Natafuta kazi ya Lab Technician

    Habari wakuu, Nimesomea Science and Laboratory Technology(FTC) kutoka DIT na Nina uzoefu wa zaidi ya miaka kumi nikifanya kwenye kampuni na viwanda tofauti. Mwenye connection tupeane wakuu.
  12. Sharon Cheque

    Ipi njia bora kupata ajira!? Usaili au bila usaili

    Kada ya ualimu/Afya zamani "Ukimaliza unasubiri kupangiwa kituo" - Saizi milolongo lundo...
  13. B

    Natafuta kazi, kama sio ya kulipwa basi hata kujitolea

    Jamani ndugu zangu, wenye makampuni, viwanda au wenye ndugu, marafiki na wadau. Naomba kazi hata ya kujitolea nipate angalau experience ya kazi.. Nipo tayari kujitolea jamani, maana nikienda directly kuomba kazi na kupereka Cv narudishwa punde tu nikifika mapokezi, naambiwa nafasi hazipo hapa...
  14. VINICIOUS JR

    Natafuta kazi nipo Songea mjini, nimesomea Ualimu ila nipo tayari kwa kazi ya nje na nilichokisomea

    Bila shaka mnaendelea vizuri wakuu. Kama mada inavojieleza, kama kunamtu ana connection na kazi yeyote halali naomba anisaidie. Asanteni
  15. kante mp2025

    Kwenye hili Sekretarieti Ya Utumishi ni Sahihi?

    Leo vijana wa medical laboratory walikuwa na written interview lakini maswali yao yote yalibase kwenye maabara za viwandani na mashuleni Maana mtihani ulibase zaidi kwenye topic za density ile ya form two, volumetric analysis ya form three, wakatolewa vernial calliper ya form one, mambo za...
  16. Nyamwi255

    Kimetulamba kwenye written interview

    Ebwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah! Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo.. Picha lenyewe Sasa....👇 Kwa upande WA lab technician Mtihani waliyotuletea ni WA maabara za...
  17. Nehemia Kilave

    Nafasi za kazi GGM

    Kazi kwenu wenye vigezo
  18. B

    Msaada kuhusu kozi ya Mining Engineering

    Wakuu, Nina ndugu yangu anataka kusoma mining engineering mwenye uelewa naomba msaada kama hii coarse pia ajira zake zinasumbua sana.
  19. both teams to score-YES

    Msaada wa kupata kibarua cha halali

    Habari wakuu,natumai nyote wazima.Nisiwachoshe niende katika mada. Wakuu Mwenye connection zozote za kibarua au kazi ninaomba wakuu. Nina hali mbaya sana.ninaishi na mama wakuu kheri nipate chochote kupitia kibarua ili mama ale hata mie nikikosa haina Shida. Niko Mburahati, Dar es salaam...
  20. F

    Natafuta kazi, nimesomea Uandishi na Utangazaji wa habari

    Habari zenu watanzania wenzangu. Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma hivyo natafuta kazi ya Uandishi na Utangazaji wa Habari. Pia Hata kwa kazi ya kujishikiza huku nasubiri cheti, nipo Dar es salaam wilaya ya Ilala, ukonga. Kazi ya dukani hata mashuleni nafanya. Asanteni 🙏
Back
Top Bottom