Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetangaza ajira 500 za Wauguzi wa kike ambao wataajiriwa na Serikali ya Saudi Arabia mapema mwezi January mwaka 2024.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhandisi Cyprian Luhemeja amesema Serikali inayoongozwa na...