Huu ndio ujumbe wangu kwa hawa waliowekeza kwenye majungu, uongo na uzushi wakiamini watafanikiwa kuwaaungusha miamba wa soka la Bongo kwa sasa(Dar Young African).
Wajiulize tu maneno haya katika misimu iliopita yaliwasaidia nini na Yanga ilikwamisha kwa haya?
1.Yanga anacheza kombe jepesi la...
Siwezi kushangaa kabisa kama Biden na familia yake walimpigia kura Trump
Team Obama ndio walimlazimisha Biden ajiondoe na pia team Obama hawakutaka Harris agombee Urais walikuwa na mtu wao mwanaume, Biden baada ya kujitangaza kujiengua fasta akafanya endorsement kwa Harris ili awavuruge team...
Heshima Kwenu,
Nina binti anatakiwa awe shuleni form one mwakani.baada ya kuhitimu darasa la saba.
SIFA ZA SHULE
1. Shule ni lazima iwe boarding.
2. ADA mwisho iwe milioni 2.5 kwa mwaka.
3. Nazingatia zaidi Good and strict parenting kwa watoto, Taaluma kwangu iwe option ya pili au ya tatu...
Je ni Muda ndio huleta nafasi au nafasi ndio huleta muda
Mwanzo 1:1
[1]Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
Wataalamu wa haya mambo naomba mtupe maarifa kwenye huu mjadala.
Mrembo wa Nigeria aliyefutiwa Uraia nchini Afrika Kusini, Chidimma Vanessa Adetshina ameshika nafasi ya tatu Duniani kwenye Miss Universe Pre Arrival Hot Picks.
Soma, Pia: Afrika Kusini yamfutia uraia mrembo wa Nigeria, Chidimma Adetshina pamoja na Mama yake
Chidimma Adetshina, ambaye alikuwa...
Kama heading inavojieleza hapo juu mimi ni mtaalamu wa maabara, mwenye stashahada nilijaribu kurusha ndoana kwenye ajira za utumishi nikala ndoige ya kichwa kwa kupigwa NOT SELECTED
Sasa nimeona wanazengo wengi wakilamba asali kwenye pdf hizi za serikali hasa upande wa kada yangu ya maabara na...
Tanzania ni taifa ambalo katika miaka kadhaa nyuma lilikumbwa na mauaji makubwa ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) haswa kipindi cha uchaguzi kilipokuwa kinakaribia. Licha ya matukio hayo mwaka 2010, historia iliandikwa na Barwan Salum baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge wa jimbo la Lindi...
Naombeni msaada mfano wa maswali kwenye written interview kwa waliowahi kufanya interview kama data analyst, pia system developer angalau tupate pa kuanzia
NA MARYAM HASSAN
WAKATI umefika sasa Zanzibar kuondokana na dhana kuwa nafasi za wanawake viti maalum kuwa ni za watu aina fulani pekee na badala yake lazima uwepo ukomo wa kuondosha suala hilo.
Tumeshuhudia kwamba wapo baadhi ya wanawake wameshikilia nafasi hizo enzi na enzi hali ambayo...
Leo kwenye kipindi chao cha minyama kitenge ametoa maoni yake ya kwamba hivi sasa watu wanapenda kugombea nafasi ndani ya CCM kuliko awamu iliyopita kwa sababu awamu iliyopita kuna maeneo watu walipita bila kupingwa.
Kwa takwimu za uchaguzi wa mwaka 2019 na 2020 vijana wengi walichukua form na...
Wakuu,
Hili suala limenitafakarisha. Nchi hii ina watu wengi wenye asili ya Asia , wengi Sana.
Ajabu ni nadra kukuta kiongozi serikalin ni wa jamii hizo. Je watu hawa hawana elimu au nin sababu mpaka hakuna waziri wala naibu waziri mwenye asili ya Asia,
Hakuna Katibu mkuu wala naibu Katibu...
Wakuu habari?
Nina mdogo wangu anasoma diploma in pharmaceutical sciences chuo kimoja Cha private hapa Mwanza,
Amemaliza First year mwezi huu anaenda Second year nilihitaji kujua process za kufanya Ili kupata nafasi ya kuhamia UDOM dogo Yuko vzr Kwa case ya matokeo ya mwaka
Au mwenye...
Naonekana ntu ya kulalamika lakini hii ni zaidi ya kubeti. Tupo walimu elfu 28 tunaogombania nafasi 183. Kichwa changu nakijua ningejipa moyo kama Nafasi zingekuwa walau elfu Moja. Chuoni tuu nimeondoka na GPA ya 2.8. lekodi yangu hainipi Imani. Acha niludi kuendelea kulima
Wanahitajika walio na Diploma au Degree ya Kwanza ya Radiography haraka.
Wasilisha CV kupitia info@nyaishozicollege.ac.tz au tuma kwa Whatsapp 0745009792
HAICHUKUI NAFASI YA DAKTARI usizidishe message juu ya message ambayo haijajibiwa especially ya mpenzi usilete unyonge
- Haichukui nafasi ya daktari usitume na ya kutolea kama Kila siku anakupiga kalenda
-Haichukui nafasi ya daktari mara moja moja kunywa bia mbili kalale
- Haichukui nafasi...
Hilton alipoletewa ramani kwa ajili ya ujenzi wa hotel yake ya kwanza alihakikisha kila nafasi iliokuwa imeachwa wazi anaitengenezea kitu cha kumuingizia mapato.
Kama vile lobby iliokuwa imewekwa aliieguza kuwa bar room na sehemu ya kuuzia sigara na vitu vingine vya kufanana ili tu hata...
Huenda haitazidi ijumaa ya kesho..
Akisubiri kubanduliwa na bunge bila kujiuzulu, basi atakua amejiondolea mwenyewe sifa na vigezo vya kikatiba kuwania nafasi za uongozi wa kisiasa wala, kushikilia nafasi yoyote ya utumishi wa umma nchini Kenya. Kwa lugha nyingine, atakua amajifungia maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.