Wakuu,
Hili suala limenitafakarisha. Nchi hii ina watu wengi wenye asili ya Asia , wengi Sana.
Ajabu ni nadra kukuta kiongozi serikalin ni wa jamii hizo. Je watu hawa hawana elimu au nin sababu mpaka hakuna waziri wala naibu waziri mwenye asili ya Asia,
Hakuna Katibu mkuu wala naibu Katibu...