nafuu

  1. Biashara TV, pata tv pendwa Hisense kwa bei nafuu

    Bei ya Hisense smart tv 32" - 380,000 40" - 580,000 43"- 650,000 50" - 899,000 55"- 1000,000 58"- 1,200,000 Warranty mwaka mmoja (miezi 12) Tv mpya dukani karibuni, location Mwenge. WhatsApp number 0753430357
  2. Q

    Vitu vya ndani kwa bei nafuu

    Vinauzwa kwa bei nafuu; Kitanda. 5x6. = 120,000/= Godoro dodoma 5x6 inch 8 = 120,000/= Kabati la nguo. = 120,000/= Mtungi wa gesi, jiko na Meza. = 150,000/= Coffee table. = 70,000/= Friji ndogo [Mr uk] = 200,000/= Vipo Dar es Salaam. Anayehitaji tafadhali piga namba 0693 733 218. Karibuni...
  3. RE/MAX Coastal, Coral Property zazindua mradi wa nyumba za gharama nafuu jijini Dar

    Katika mpango unaolenga kuunga mkono juhudi serikali za kuhakikisha kunakuweko na nyumba za makazi bei, kampuni ya ya RE/MAX na ile ya Coral Property zimezindua mradi wa nyumba mpya za bei nafuu wa Sky Royal, mtaa wa Morocco Jijini Dar es Salaam. Waziri wa Ardhi. Nyumba na Maendeleo ya...
  4. Wakati Uchumi wa nchi una nafuu wafanyakazi waliongezewa kati ya elfu 8-12. Je, sasa hivi itakuwaje?

    Hakika Wafanyakazi wa Tanzania ni wa kuhurumiwa mno! Kama mwaka uliopita ambako hakukuwa na Maandamano ya kupinga Ugumu wa Maisha Nyongeza ya Mshahara ikafichwa siku ya Mei mosi, kwa maelezo kwamba watakutana nayo kwenye mshahara wa July, lengo likiwa Wafanyabiashara wasipandishe bei ya bidhaa...
  5. Benki Kuu yatangaza nafuu kwa wanaohamisha fedha benki moja kwenda nyingine

    Benki Kuu ya Tanzania imezitaka taasisi zote za kifedha ikiwemoo benki za biashara kupunguza gharama ya wateja kuhamisha fedha kutoka benki moja kwenda Nyingine. Katika barua yake BoT imesema imebaini kuwa kwa sasa watu wanalipishwa gharama kubwa sana kuhamisha fedha Gharama mpya ambazo...
  6. Mbunge Sylvia Sigula: Watanzania Wanatamani Kutumia Gesi Kwenye Magari Kwasababu Gesi ni Gharama Nafuu

    Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Sylvia Francis Sigula ameihoji Serikali ni magari mangapi ya Serikali yamefungwa mfumo wa gesi baada ya kuanza kwa kuhamasisha matumizi ya mfumo huo. Sigula amehoji hilo Bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia Makadiro ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa...
  7. R

    Phone4Sale Google Pixel 5a, 5G inauzwa bei nafuu

    Brand : Google Pixel Model : Google Pixel 5a Network: 5G Ram : 6 GB Storage: 128 GB Screen Size: 6.34 inches CPU : 2.4 GHz Cover la sim gumu unapewa bure Bei: 430,000/= Sim bado ipo kwenye hali nzuri kama mpya, haina mikwaruzo, vidoti n.k Nipo Dar es salaam Karibuni sana
  8. M

    INAUZWA Nimekuletea scientific calculator original Casio fx 991 kwa bei nafuu kabisa

    Kwa matumizi bora ya maofisin na shuleni piah chuoni, hii ni nafasi kwa walimu wa sekondari,pia watu binasfi hasa walioakribu na vyuo pia wanachuo hii ni fursa kwenu Dunia sasa imebadilika sana, serikali imefungua milango kwa wanafunzi wa kidato cha tatu kutumia calculator kwa ajili ya usaidizi...
  9. Pata unlimited bundle kwa bei nafuu

    Wadau nimekua na idea ya biashara ila naombeni, niwashirikishe mlitafakari kwangu naona linaweza kulipa sana!!. Wazo lenyewe bila kupoteza mda ni: HUDUMA YA WI-FI YA UNLIMITED KULIPIA KWA MWEZI Tufanye hivi kama upo maeneo ya biashara, chuo, maofisini au popote ambapo kuna watu wenye matumizi...
  10. B

    INAUZWA Je unajua kwa gharama Nafuu Unaweza Kupata Vipuri (Accessories) kwa ajili ya Laptop/ Desktop yako?

    Kama Unathamini Laptop/Desktop yako Usikubali Hii Ikupite.....! Habar Ndugu.... Hata Kama umekuwa Ukitafuta Vifaa vya Laptop/ Desktop kwa Kipindi cha nyuma bila Mafanikio leo kuna Suluhisho la Changamoto yako hiyo, Fuatana nasi leo..!! Je Unajua kuendelea kutumia Kifaa chako katika utaratibu...
  11. Natafuta furniture kwa bei nzuri

    Habari nilikuwa naomba kuuliza wapi nitapata furniture kwa bei nafuu kidogo! Nimewapigia lifemate wameniambia bei yao inaanza 5mπŸ€£πŸ™ŒπŸ½. Naombeni muongozo!
  12. Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kutokana na Uhaba wa Vifurushi kwa sasq, vifurushi vizuri vinapatikana Tigo postpaid na Airtel Sme. Airtel SME. Tigo postpaid Namna ya kupata official hivi vifurshi, tembelea wakala wa mtandao husika wa karibu ukiwa na Tin no, leseni na kitambulisho. Kama huna details hapo juu wapo...
  13. Car4Sale Basi linauzwa bei nafuu sana

    Zhongtong Caesar Inauzwa Namba B Siti 60 2by2 Engine scania 93 Gearbox scania Diff scania Bei Tzsh 35,000,000/= Gari haina tatizo lolote Bima ipo hai Call, sms, whatsap 0759399805
  14. List ya laptop za bei nafuu

    LAPTOP ZA BEI NAFUU ZAIDI KWA PICHA ZA LAPTOP NICHEK INBOX NITUMIE JINA LA LAPTOP HP PROBOOK X360 ITEL SSD 128 RAM 4GB BEI 335,000 πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ DELL 3189 SSD 128 RAM 4GB BEI 350,000πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ HP 640G1 CORE i5 HDD 500 RAM 4GB BEI 400,000πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ HP FOLIO 9470 CORE i5 HDD 320 RAM 4GB BEI 400,000πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ HP...
  15. D

    AGIZA NAMI KWA BEI NAFUU

    1 Habarini, Kwa wale wafanyabiashara, wafanyakazi, wajasiriamali haswa mliokuwepo mkoani hata ambao mpo ndani ya dar es salaam ambao mlikuwa mnapata shida kuagiza kitu au bidhaa yeyote kutokana na kukosa nafasi au mtu wa kumuagiza bidhaa. Kijana yenu nipo hapa kwa mtu yeyote ambaye...
  16. D

    Kijana yenu nipo hapa kwa mtu yeyote ambaye anataka kuniagiza kitu

    Habarini, Kwa wale wafanyabiashara, wafanyakazi, wajasiriamali haswa mliokuwepo mkoani hata ambao mpo ndani ya dar es salaam ambao mlikuwa mnapata shida kuagiza kitu au bidhaa yeyote kutokana na kukosa nafasi au mtu wa kumuagiza bidhaa. Kijana yenu nipo hapa kwa mtu yeyote ambaye anataka...
  17. Miliki Online Business kwa Gharama Nafuu

    Habari za wakti huu? Hizi ni baadhi ya biashara ambazo unaweza kuanzisha na kuzifanya kwa njia Mtandao. Duka la Mtandaoni (E-commerce): Hii inahusisha kuuza bidhaa mtandaoni. Unaweza kuunda bidhaa zako au kuzipata kutoka kwa wauzaji na kuziuza kupitia majukwaa yako. Dropshipping: Hii ni aina ya...
  18. Simu aina ya Samsung nimeidharau sana. Wenye infinix bakini nazo nafuu

    Yaani nimetumia hii aina kwa mara ya kwanza. Ina upuuz mwingi sana. App lazima uzipe ruhusa. Yaani ni kama upuuzi. Haya mambo ya katalog eti sijui kuonekana unamiliki uninga mtupu
  19. Phone4Sale Nauza simu ya Galaxy S8 plain used Dar es Salaam kwa bei nafuu

    Habari wadau, Nauza simu yangu kwa mtu anayetaka kuinunua hapa Dar es Salaam. Nakupa na chaja yake bure. Simu ipo rooted na unaweza kutumia line 2 za simu. Kama utataka nikufungulie social media accounts (Instagram, Facebook, X, nk), nitakufungulia bure. Pia kama utataka links za websites za...
  20. L

    Car4Sale IST inauzwa bei nafuu

    TOYOTA IST INAUZWA BEI NZURI LOC: MBEZI BEACH. YEAR OF MANUFACTURER:~2002 PRICE:8750000 ml ENGINE CAPACITY: 1490 CC ENGINE : 2NZ MAWASILIANO ----0784379396 ---- 0673805806 NOTE: GARI HAINA CHANGAMOTO YEYOTE YA KIUFUNDI, KARIBU NA FUNDI WAKO UJE UKAGUE UJIRIZISHE TUFANYE BIASHARA.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…