Habari za Jioni wana Jamio Forums.
Kama mnavyojua sisi ni Wana familia. Licha ya kuwa tunasaidiana sana ktk mawazo, stori na Habari mbali mbali na wiwa pia kuomba msaada niweze kupata sehemu nzuri iliyochangamka niweke jiko langu la Kuuza Chips, Kuku, Mishkaki n.k.
Pia kwa kufanya hivyo...
Wakuu habari ya asubuhi. Hongereni na majukumu na pia Poleni na changamoto za hapa na pale katika uwajibikaji, ni sehemu ya maisha tu.
Kwa nia njema tu naomba nitangulize angalizo kwamba hili sio tangazo la nafasi za/ya kazi. Nitajitahidi kuweka maelezo sawa ili ujumbe wangu uliokusudiwa...
wakuu nina mke kiburi sana,
Kila ninapo muelekeza afanye kazi fulani basi hupuuza na kukaushia tu.
Yaani hadi nimechoka nahisi ananidharau hivi sasa sijui cha kufanya sijui nimtimue au nifanyeje?
Naomba ushauri wenu wakuu nimfanyeje mwanamke kama huyu?
Habari wakuu,
Nahitaji kuanza ku-import mafuta ya kula kutoka nje, naomba kujua yafuatayo,
1. Document au vibali vinavyohitajika nikienda toa mzigo bandarini?
2. Bandari yenye unafuu wa kuingiza hi bidhaa?
3. Kibali Cha kusajili hii bidhaa ya mafuta TBS ni kiasi(fedha) gani na document zipi...
Mimi ninaishi wilaya ya Temeke Dar es Salaam, ninahitaji kununua miche ya muda mfupi ya MACADEMIA, miche hiyo ipatikane Morogoro, Moshi na Dar es Salaam. Mnaomjua anayeiuza karibuni hapa uwanja ni wenu.
Leo nimejaribu kufungua account ya kimtandao ya Online Registration System (ORS) katika taasisi ya Business and Property Registration Agency(BPRA).Taasisi hii iko Zanzibar na inafanya shughuli zinazofanana na zile za BRELA.
Katika utambulisho wa mfunguaji akaunti kwa maana ya...
Mimi Nina miaka 38,nahitaji mama mtu mzima 43+,tuwe kwenye mahusiano,mke nilikuwa naye nimemwacha .
Sihitaji mtu anayepungua umri huo ,nahitaji mama mtu mzima kabisa .
Sifa:
Awe tayari kupima na awe HIV negative
Awe mkarimu
Awe anajiheshimu na kuthamini utu wake
Awe muunimi wa kikristo...
Habar zenu waungwana nimekuja kutangaza fursa ya kazi kijana mwenye uzoefu wa biashara ya tigopesa wa kike au wa kiume awe anaishi Tabata anicheki, ofisi ipo Segerea.
Kama una ndugu yako kikubwa awe muaminifu mwambie anichek malipo ni 50/50 commision kikubwa ajitume.
Call 0627218573
Ninayo milioni 6 kwa ajili ya biashara. Nahitaji partner wa kufanya nae biashara. Partner ni lazima awe tayari kuwekeza kiasi hicho hicho cha pesa kwenye biashara. Yaani jumla tuwe na milioni 12.
AINA YA BIASHARA
Nipo tayari kufanya biashara yoyote kati ya hizi;
1) Alluminium
2) Kuuza spare za...
Habari wakuu,
Kama heading inavyoeleza hapo juu, Naomba kwa mwenye experience na masuala haya ya mafuzo ya udereva yanavyokwenda anishauri ni Driving school gani niende ili kupata elimu ya mafunzo ya kuendesha Magari japo haya mdogo kwanza lakini muhimu nijipatie cheti...
Ningeomba kujua pia...
Habari Wataalamu,
Naomba contacts za kiwanda cha kutengeneza paving grids, Hizi ni badala ya pavements na zinafaa Sana sehemu yenye majimaji au udongo unaokaa na maji,
Zitasaidia kuondoa usumbufu kwa sehemu ninapokaa, mwenye contacts anisaidie,
Nikiziangalia ni rahisi kutengenezeka, lakini...
Yaani tangu nihamie Dodoma 2019 nimekuwa mpweke sana, kama sio Madame B yule niliyejizoea wakati niko Dar 😔
Nikiamka asubuhi na kwenda kazini. Nikisharudi, kampani yangu ni Tv na games au simu yangu tu, nitajipikilisha pale au nitaoka kuku/beef na k vant kubwa pembeni pamoja na tonicwater...
Habar ya jioni wadau. Kindly fall through 👇👇👇👇
Anahitajika:
Kijana mwenye taaluma ya uhasibu kwa ajili ya kufanya kazi.
Sifa:
Kijana wa kiume, kulingana na mazingira ya kazi na uwajibikaji husika.
Elimu kuanzia ngazi ya Diploma
Uzoefu
- Atleast awe na background ya kufanya kazi za kihasibu...
Habari ya majukumu wakuu. Ninahitaji mbuzi wawili (jike) wa maziwa.
Sina uzoefu hasa wa majina ya breed zake lakini itoshe kusema kuwa wawe ni wale wa kisasa ambao wanatoa maziwa kwa wingi. Kama unafahamu mahali wanapopatikana tafadhali naomba usisite kunijulisha.
Shukrani.
0755964775
Kwa wale walio karibu na
Mikoa ya Mbeya au Songwe na una miliki Mtambo wa Solar power basi nahitaji tafadhari.
Kama ni unahama kwenda Mkoa mwingine au una shida tu kidogo.
Basi mteja nipo hapa naomba tuwasiliane.
Ukubwa wa Mtambo wa Sola nahitaji ni kuanzia:-
Battery N70 & Solar Panel Watt100...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.