Habari wakuu,
Nilikuwa naomba kujuzwa wapi nitapata furniture za nyumbani kama sofa sets, dinning table, coffee table na tv showcase kwei ya kizalendo. Najua huku kuna watu washanunua hivi vitu, hivyo kama kuna sehemu ulinunua ukapewa product nzuri naomba unielekeze na mimi nikapate!
Asanteni!
Habari nahitaji mtu aliepo Uganda
Awe na uzoefu wa masuala ya teknolojia na social media. Pia awe kijana mchangamfu yani kijana wa mjini ukipewa kazini unafanya kwa uhakika.
Habari wanajukwaa
Mimi ni binti wa miaka 28 nimesoma diploma ya pharmacy changamoto niliyonayo ni kusikia nimemaliza chuo 2020 sjabahatika kupata Chet nadaiwa sina wazazi.
Naombeni mnisaidie jamani hata kazi yoyote tafadhal nichukue chet changu asanteni Mungu awabariki.
Habari wapendwa
Naishi Moshi
Umri 35
Nahitaji mwenza wa maisha
Awe na umri 25-35
Ambae yupo tayari kutafuta wote maisha tuwe na familia
Km yupo anicheki DM
1: UWAKALA WA MITANDAO YA CM
M-pesa
Tigopesa
Airtel money
Halopesa
2: Duka la maziwa fresh+mtindi + juice fresh
3: Banda la chipsi + vinywaji
ANGALAU KWA MWEZI NIINGIZE 300,000 TU
(300,000)
Habari wadau wa agari, nina milion 9 cash nahitaji toyota premio used ianze namba DF kuendelea mbele iwe haijwah kupata ajali kabisaa iwe haijawah kurudiwa rangi kabisaa hata bampa yaan! Lakini iwe haijawah kuguswa engine zaidi ya kubadilisha oil tu:
Mi nipo kigoma naomba isiwe ya silver wala...
Nimepata mchumba na nimekuwa nae kwenye mahusiano ya uchumba mwaka sasa, nahitaji kumpeleka nyumbani ila kikwazo inakua dini zetu tofauti.
Nifanyeje ili hali tunapendana sana ila dini inakua kikwazo?
Ushauri Wana JF
Ushawahi kusikia kauli kama hii kutoka kwa mwanamke? Ukweli ni kwamba ambae anakua tayari kwa kuoa ni mwanaume ambae ataenda kubeba jukumu la kutoa security katika familia, kwa maana iyo mwanaume anatakiwa kusimama kiuchumi kwanza ndipo awe tayari kwa kuoa.
Kwa mwanamke atapofika umri wa kuwa...
Wakuu habari zenu.
Nahitaji ramani Kwa ajili ya Apartment za kupangisha.
But kabla ya kupewa ramani nahitaji mhusika afike site ili aone namna ya eneo lilivo.
Site ipo Kiabakari - Musoma, ni vema pia kama mhusika atakuwa mkazi wa maeneo hayo.
PM Iko wazi tufanye kazi Kwa Msanifu majengo...
Mimi ni mgeni jiji la Mwanza week hii naenda huko ntakaa mwezi mzima.30 days. Naombeni mnisaidie wapi nitapata Lodge au Hotel nzuri sehemu tulivu ambapo pia si mbali na Mjini.
Cost iwe tsh 30,000 mpaka 40,000. Sehemu isiwe yenye kelele. Iwe nzuri pia ja yenye heshima.isiwe katika mji sehemu...
Dada wa kazi anahitajika, eneo la kazi ni Dodoma. Majukumu ni kukaa na mtoto mmoja na kazi ndogo ndogo za nyumbani.
Posho yake ni 70,000/= kwa mwezi.
Awe anajitambua.
Tuwasiliane inbox 📥
Salaam
Wakuu mimi ni mwangalizi wa jumba la ndugu yangu, yeye yuko Texas-Huoston.
Jumba ni kubwa sana na lipo maeneo ya watu wenye uwezo, ila ndani nipo mwenyewe
Kwa nje ya geti kuna sehemu kubwa ya kufungua bzness na movement zpo kiasi
Je, naweza weka kitu gani hapo..... mtaji ni 200k tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.