Habari zenu
Ndugu zangu nina ofa ya mil 15.7 (hela hii pamoja na udalali kama una wewe ni dalali unaeuza) cash nahitaji mwenyewe moja kati ya gari hizo mbili ambazo ni Toyota Vellfire au Toyota Alphard (model mpya)
Sio lazima iwe namba E lkn ikiwa D basi iwe ya mwisho mwisho au hata E ya mwanzo...
Wakuu Nina mgonjwa anatakiwa operation ya ziwa, naomba nisaidieni agency contact au watu wanaohusika na matibabu ya kwenda India. Natanguliza shukrani za dhati kabisa kwa waungwana. God Bless You.
Wakuu wangu naomba kushauriwa kwa uwezo na mifano kati ya simu hizi mbili za Google..
Pixel 4 na Pixel 5 aina zote.Niko Dilema kuchagua kati ya hizo mbili...
Lakini si haba nikijuzwa na Pxl 6.
Mwisho nipate uchanganuzi wa gharama zake.
ASANTE NA WASILISHA NIKO PEMBENI..
Nahitaji kijana serious wa kiume haraka wakusimamia playstation Centre, ipo Chaduru Dodoma, karibu na Dodoma rafiki hotel.. godoro lipo.
Call 0753233879
Nahitaji Kijana mjanja tushirikiane kutengeneza pesa pia mwenye nia ya kujifunza namna ya kuendesha biashara, fursa ndo hizi
Habari wanaJF mim ni mwanafunzi nahitaji kujiunga na diploma mwaka huu,
Ili nifanikishe ndoto zangu nahitaj mkopo wa diploma ili niendele na masomo yangu kwa ufanisi, maana nasikia mwaka Jana walipata mikopo ngazi ya diploma.
Nahitaji kwa wale mlioomba na mkapata mkopo mwaka Jana ,mnipe...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema Serikali itagharamia shughuli zote za harusi, ikiwemo kulipia ukumbi mkoani hapo lengo likiwa ni kuvutia zaidi wageni na watalii kufika Arusha na kuwa chachu ya kukuza uchumi.
Makonda amesema masharti ya ndoa hizo ni pamoja na kati ya wawili hao...
Nilisoma clinical medicine mwaka 2018/2019 nikaishia level 4 sababu ya changamoto za ada. Sasa nataka nirejee masomoni Ila nahitaji kusoma radiology .
Swali? Je inaruhisiwa kwenda chuo kingine kusoma radiology ama kozi nyingne za afya. maana nimekuwa nikiambiwa kuwa Bado mfumo unanisoma chuo...
Wakuu nahitaji laptop
Hela niliyo nayo 500,000
Iwe na angalau sifa zifuatazo
Ram 8GB
STORAGE - SSD angalau 200 gb
Generation 6+
Bluetooth, webcam, HDMI port LAZIMA
Ukubwa wa Kioo usizidi nch 12 yaani iwe ndogo iwezekanavyo
Chaji angalau masaa 3
Dell, au HP ni kipaumbele.
ISIWE YA WIZI
isiwe na...
WAKUU HII BENKI IMENISHINDA TABIA, SASA MTU KUANGALIA TU SALIO LANGU WASHAKULA 3500
SASA KAMA HUU⬆️ SIO UNGESE NI NINI?
Naombeni ushauri ni benki gan niwe naweka akiba zangu.
Waungwana habari za majukumu.
Naitwa xx natokea maeneo ya mikwambe kibada kigamboni mkoa wa Da es Salaam.
Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari ndogo aina ya IST,SIENTA,n.k naitaji kwa ajili ya kufanyia kazi hapa mjini
Hesabu nalipa laki mbili kwa wiki matengenezo madogo madogo kwangu...
Habar za siku nyingi wakuu.
Kama title ya uzi ilivyo.
Nahitaji space ya kupanga kwa ajili ya matumizi ya ofisi.
Eneo pendekezwa ni kama:
Temeke
Kigamboni (around kibada mpaka Kongowe)
Kurasini/uhasibu
Tazara.
Bajeti ni 100k - 150k kwa mwezi.
Natanguliza shukrani zangu za dhat kabisaa...
Sifa
Awe na basic knowledge ya magari madogo(Zingatia).
Muaminifu na mchapakazi
Garage iko Iko Makuburi, Ubungo.
Hakuna malipo.
Tuma message ya kawaida au whatsapp +255688758625 (usipige simu tafadhali).
wakuu nina mashine aina ya RICOH MP 2501 SP , napataje free drivers ili nitumie kama printer?
Kila driver ninayoiona mtandaoni inauzwa. Msaada tafadhali
Wakuu Poleni na majukumu, moja kwa moja Mimi Nina shida ya pesa. Lakini nimepata ushauri kwamba kama nahitaji kukopa basi nitafute Saccoss maana wanasema Saccoss ni nzuri zaidi kuliko bank au mtu binafsi yaani Kausha Damu.
Naomba kwa anayefahamu Saccos wanayokopesha na iko vizuri. Nipo Jiji la...
Wakuu habarini dah naombeni msaada nimehangaika kutafuta contro box ya suzuki kei nimekosa , engine ya waya sita, naomba msaada kwani fundi kajaribu kila aina y contro box gari inakataa , kuwaka ina waka lakini kubadilisha gia ndo kwenye mtihan haikubali, naomba mtaallam anielekeze nitapat...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.