Habari nahitaji Mume mwenye umri 40 Hadi 49 Kwa ajili ya ndoa halali ya kanisani
Mchapkazi na anayejua Majukumu yake sio wakulelewa
Mkristo hasa mpetekoste
NB alietayari ku asili mtoto
Awe mkoa WA manyara kilimanjaro ,Tanga au Dar
Je,unafahamu Tooth Pick Kwa Kiswahili inaitwa "Kimbaka",Kuna muda nawashangaa sana BAKITA na haya Majina Yao!
Any way
Wakuu nahitaji mtu yeyote mwenye wazo la Kibiashara ambalo liko tofauti na biashara ambazo zimezoeleka hapa Bongo!,Binafsi ninafanya biashara ya nafaka,pia Nina mashamba...
Kama kichwa cha habari kinavyosema wakuu.
Nahitaji nyumba maeneo ya masaki ambayo ipo kwenye standard ya hali ya juu
Nipo serious maana nataka niishi sehemu yenye furaha ambayo haina uswahili na naomba mnitajie bei kabisa na picha za nyumba
Habari Wakuu,
Kama kichwa Cha Habari kinavojieleza.
Nataka kuanza ujenzi wa Nyumba huko kwetu uchagani, wazee wa ukoo wamenikalia kooni, hii December nisiende kama hata ka-msingi sijaweka hapo mgombani (Just Kidding 😀).
Nahitaji Mtu ambaye atanisaidia kutengeneza Makadirio ya vifaa (A Bill of...
Husika na kichwa cha habari,, naombeni mnipe mawili matatu juu ya simu tajwa kabla sijazama dukani,, naipenda kwa sababu ya umbo lake sio kubwa,, Asanteni sana
Habari
Mimi sio muandishi mzuri lakini nitaelezea kama ilivyo. Umri wangu bdo 20s lakini napitia depression Yaani msongo wa mawazo.
Sina mtoto na sijui kama nitakua nae maana hamna demu ananitaka maybe jinsi nilivyo and love is only thing make life worth living... Inafikia hatua nawaonea wivu...
Natamani kufungua kiwanda cha kutengeneza simu.Najua kua kila component hutengenezwa nchi tofauti then kuunganishwa, nahitaji vitu gani ili niweze kufungua kiwanda cha Simu ?
Nimekuwa mara nyingi nikitumiwa ujumbe wa WIZI na ULAGHAI kupitia simu yangu ya mkononi.
Kutokana na kero hii TCRA wameweka utaratibu wa kureport kadhia hii kupitia no 1540 na wanajibu kwa sms muda huo huo.
Wanakiri kupokea taarifa yako na kuahidi KUISHUGHULIKIA . Ombi langu kwako warudishe...
Speed - niweze kuseti speed ya juu kwa kila mtumiaji, mfano asivuke speed ya kudonload MB 1 kwa dakika
MB - iwe kama tunavyonunua mabando ya MB kwenye mitandao ya simu, ukimaliza MB connection inakata.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.