Nimetoka zangu Tukuyu Mbeya nimekuja na scania mende na humo nilijaza mzigo wa ndizi matoki wote wangu na nimefanikiwa kuuza jana wote soko la mabibo nina kakibunda kanene kiasi na lengo la kujaza scania mende hii ni kwa ajili kuweza kufanya matanuzi na kukamata wachumba kede kede wa daslam...
Wakuu kama ilivo ainishwa hapo juu,
MSAADA ninao hitaji nikwamba Jana KWENYE harakati za kwny 1 na 2 nmejikuta nimelifuta file la Xender kwenye simu yangu lakini Cha kushangaza sasa zile MIZIKI nilizokuwa nmezihamishia kwenye hii cm KUPITIA hii Xender kuja kwenye simu yangu nilioifuta ki...
Wana jamvi, nahitaji mwanasheria tutagawana mapato, kuna kampuni nahitaji kuipeleka mahakamani wanilipe fidia sasa sina pesa za kumlipa mwamasheria ila tutakula wote kitakacho lipwa.
Habari za wakati huu.
Majina yangu ni XX ni msichana wa miaka 25 ninaishi temeke Dar es salaam. Mimi ni mhitimu wa elimu ya chuo kikuu mwaka 2022 katika kituo kilichokuwa kinaitwa “TANZANIA-MOZAMBIQUE CENTRE FOR FOREIGN RELATIONS” lakini kwa sasa kinaitwa “ DR. SALIM AHMED CENTRE FOR FOREIGN...
Huku tumechanganyika acha tutumiane kama fursa
Nahitaji engine ya pikipiki yenye uwezo wa cc 125, kipaumbele ni aina za pikipiki hizi
Sinoray
Fekon
Boxer
Engine iwe mpya haija guswa ndan offer 2500,00/ 350,000/-
Isiwe na vipengele
Habari ndugu, kama kichwa Cha tangazo kilivyoandikwa nahitaji kuanzisha biashara ya kuuza dagaa waliokaangwa kutoka Bukoba -Dar hivyo nahitaji watu wa kushirikiana nao kupata soko, dagaa ni rejareja kwenye packet au kwa jumla pia wanapatikana kuanzia ndoo ya lita 10 mpk 20, hivyo kwa ambae yupo...
Wakuu habar zenu
Natafuta Mtu anaweza kutengeza content za youtube
Aina ya content ni zile zinazohusu Simuliz mbalimbali za kimaisha
Simulizi ziwe interesting na za kusisimua
Sharti uyo mtu awe mkoa wa mbeya
Habari wadau. Nina kazi ya kushona uniform za wanafunzi. Cherehani ninazo ila nahitaji mafundi wenye uwezo wa kushona. Dondoo za kazi ni zifuatazo;
1. Uniform ni za kike na kiume. Za Kike ni Gauni au Blauzi (Top) na Suruali na za kiume ni Suruali tu
2. Kazi inafanyika KIMARA DSM
3. Nahitaji...
Wakuu poleni na majukumu, moja kwa moja kwenye point, niko Mkuranga nahitaji Pool table, mwenye ufahamu ni wapi naweza pata na gharama zake nitashukuru mno.
Nawasilisha nikiambatanisha na shukran.
Salaam,
Nahitaji kontena la futi 20 lililotumika liwe Mkoa wa Dsm. Liwe katika hali nzuri (halivuji, halina kutu)
Mwenye nalo njoo DM.
=65&hash=735915e41f15bfcf354a0b66ea806df8']Attach files
Habari za asubuhi wakuu. Nahitaji Kidney Beans kwa wingi.
Mfanyabiashara au mkulima mwenye kidney beans ile kubwa anicheki tufanye biashara. Iwe safi na nene.
Kwa kuanzia inahitajika tani 60, ila yakiwa bora basi tunaendelea kufanya biashara kwani tunahitaji zaidi ya tani 200.
Naomba ofa...
Nahitaji mwanamke wa kuishi nae, ambae tayari kashazaa.
Awe na umri kati ya 23-27yrs.
Mtoto awe mmoja tu.
Kabila, awe katika lolote kati ya haya,
Mnyamwezi -Tabora, Nandi from Kenya, Tutsi from Rwanda, Mdigo -Tanga, Mrangi- Dodoma, Mkerewe-Mwanza, Msukuma -Geita.
Rangi, awe mweusi asilia ambae...
Habari wadau,. Kama mada inavyojieleza, nahitaji kupata uelewa wa biashara ya kukoboa na Kusaga mahindi. Ninapenda kuwa na mashine kwaajili hiyo Ili niweze kudunduliza kipato (mashine ya kutumia umeme).
Ni usagaji wa rejareja tu mtaani. Nahitaji kufahamu bei za mashine mpya na used. Gharama...
Habari Wakuu!
Nahitaji system ya kununua kwa ajili ya kutumia kwenye kampuni ya mkopo.
Ya kununua moja kwa moja sio kulipia kwa mwezi.Tuwasiliane basi PM iko wazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.