Nina uhitaji wa nyumba, vyumba viwili, kimoja self contained , sebule, jiko, maji, umeme na fence.
Maeneo: Kinyerezi (kuanzia darajani - Kinyerezi mwisho)
Segerea (Magereza hadi Petroleum station - kona baada ya stand kuu Segerea).
Ukonga - Magereza, Madafu, KM...
Habari zenu Wana jukwaa kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naomba mnisaidie tips pamoja na vitabu nitakavyokua nasoma kuongeza confidence yangu pamoja na kujiamini
Natanguliza shukrani na nipo hapa kusoma Kila comment na ushauri mtakaonipa
Wadau wa elimu, nahitaji TAHAKIKI ya A-level, pamphlets za masomo mbalimbali haswaa physically geography na science subjects. English kwenye literature
Wakuu, hoping mko salama.
Nahitaji simu second hand, isiwe ya wizi, ikiwa na receipt au used toka nje itakua vema zaidi.
Iwe miongoni mwa brands tajwa hapo juu.
Specs
1. Resolution iwe na 1080x2400 au zaidi
2. RAM 6 au above storage 128.
3. Battery 4000 au above
4. Dual simu (ikiwa na esim)...
Habari hii picha inamaana nitaelezea ila naomba ufafanuzi kwa anayejua zaidi.
1. Nitaanza na sunlight kwamba jua lina vitamin muhim kwanhiyo ni vema wkt flan kufurahia uwepo..wake na sio kukaa ndani muda wote.
2. Kupunzika. Baada ya kazi ni vema kupata muda wa kutosha upunzishe mwili na...
Habari
Nina kabiashara kangu ..ningependa nipate software ambayo itanisaidia biashara yangu kusambaza, kurecord kutrack ambao nowadai(madeni) kupiga haasara na Friday. Bajeti yangu ni 50k
Nimeenda brela kusajiri biashara yangu tabutubu limited, nimetakiwa kujaza form ambayo inanihitaji niweke nida namba na nimeulizwa maswali kibao utadhani namba ya nida nimeiba..
Nimeulizwa kijiji na mtaa nilio andikisha nida.. mimi nimeandikiswa tegeta hata kijiji sikumbuki, mara shule niliyo...
Habari waJF? Muda umefika wa kuwa na ubavu wangu. Nahitaji kuoa hivi punde. Binti ambae yupo na vigezo hivi naomba tuwasiliane:
1. Mzuri
2. Umri kuanzia miaka 25-28
3. Dini yoyote
4. Ajue kusoma na kuandika
5. Awe tayari kufunga ndoa kuanzia anapoona bandiko hili.
Wasifu wangu
1. Ni mwanaume...
habari wakuu,
nahitaji mwenye kumfahamu fundi pikipiki anayetafuta ajira, mwenye uzoefu na pikipiki za boxer na tvs. location dar es salaam, karibu na mjini sio nje ya mji.
ofisi ni mpya na ni kubwa kiasi kuhusu chakula na kulala kama anatoka nje ya mji juu yangu. aliye na interest tufanye maongezi.
habari zenu wazee wa kuweka mizigo
Nataka nibeti nusu fainali ya leo Yanga vs Simba, timu itayofuzu kucheza fainali
nichague option ipi na kampuni ipi nzuri ?
nipo karibu na jengo la gal sports betting, niliwahi kufungua account ya meridian bet na sporty bet
Habari zenu wataalamu wa IT shida yangu km nilivyoandika hapo kwenye heading msaada please sihitaji cheti Mimi nnataka ujuzi wa IT ethical hacker nna diploma ya ict
Habari wana JF natafuta dalali kwaajili ya frem au office space maeneo ya city center au kariakoo
Kwa mwenye namba za dalali maeneo hayo naomba unitumie number au km ww dalali njoo inbox
Asanteni
Habari mabibi na mabwana?
Naomba mwenye kujua yanapopatikana mashamba ya bei nafuu, mashamba yanayofaa kwa shughuli za kilimo na ufugaji anifahamishe.
Ningependa kufahamu bei kwa ekari na ukubwa. Mimi ni mjasiriamali mdogo hivyo mtaji wangu pia siyo kubwa kihivyo.
Naomba kusaidiwa.
Habari wana bord.
Kichwa cha habari chahusika.
.Nina binti yangu ambaye baada ya kufanya mtihani wa kidato cha pili kunachangamoto ilimtokea hakuweza kuwa masomo licha ya matokeo yake vizuri kwa kujiunga kidato cha 3.
Baada ya kurudi katika hali yake ya kawaida, sasa anahitaji arudi shule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.