Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini unatarajia kumsafirisha kwa ndege Mtanzania Kulwa Hassan Twalibu, aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Sterkfontein iliyopo Johannesbug- Afrika Kusini tangu mwaka 2018.
Balozi James Bwana amesema Twalibu anarejea Tanzania ili akaungane na familia yake...
Katika pitapita zangu vijijini kulikuwa na ligi inaendelea katika kijiji kimoja wapo hapa nchini Tanzania.
Niache unafki nimevutiwa sana na uchezaji wa vijana wawili katika ile ligi.
Mmoja ni winga.
Ni dogo wa miaka kama 17 hivi ni 17 kweli sio za mchongo.
Dogo kipaji anacho, kwanza ana...
Wakuu habari zenu?
Natumai anaesoma post hii yu mzima wa afya kabisa ,Mungu aendeleee kukujali pumzi.
Kama kichwa juu hapo natamani kujifunza saikolojia ila sielewi nianzie wapi? vitabu gani nisome? au niweje?
Nahitaji ushauri wako msomaji.
Asante.
Nahitaji vitu vifuatavyo.
Sahani za udongo 20
Sahani za mifupa 200
Vikombe vya mifupa 200
Vijiko vigumu 200
Vikombe vya udongo 20
Majaba makubwa 4
Pipa la maji (litres 200-240) 1
Ndoo ndogo 20
Ndoo za kunawia 10
Sufuria 20KG 6
Mawasiliano 0687391885
Nahitaji track suit pair 200
Umri 3-5 pair 140
Umri 6-8 pair 60
Na form six tshirt ( rangi yellow/dark blue) kwa rika na idadi hiyo hiyo hapo juu
Kwa biashara call me 0687391885
Habari,
Naitwa device frabius mkazi wa Dar es Salaam Mikocheni natafuta pikipiki mpya iliyosimama kwa mkataba
Kwa siku 10,000/= ikiwa boxer itapendeza zaidi, nahitaji kwasababu ya Bolt.
0617146950
Wakuu mulibwanji.....
Nahitaji bass spika ya mziki wa gari ambayo haina box iwe uchi.
Iwe 4 ohms
Iwe na double coil
Na iwe na sehemu 2 za kuingizia sauti yaani hasi ziwe 2 na chanya ziwe 2.
Iwe haijawahi ungua.
Angalia hiyo kwenye picha mfano wake sasa iwe kama hiyo kama ipo nicheck
0756 412 380
Wakuu heshima yenu,
Mimi ni kijana Aged 27 sijaoa ila nina mchumba tangu mwaka 2020 ila bado hatujatambulishana makwetu, sina mtoto na wala sijawahi kumpa ujauzto manzi yeyote.
Kilichonileta hapa Jukwaani ni kutaka msaada wenu kwa wale wakali wa hizi kazi ( Mambo ya kitandani).
Iko hv Juzi...
Amani ya Mungu muweza wa yote iwe nanyi.
Nimekuwa nikitafakari kuhusu hili suala la kiimani, kuhusu wapi kutakuwa na wakazi wengi kati ya peponi na motoni?
Naomba mnisaidie kusolve kwa ushahidi wa maandiko.
Nahitaji Mining Supervisor awe na sofa zifuatazo:
1. Awe na umri kuanzia miaka 30
2. Awe na uzoefu wa Underground mining kwenye migodi mikubwa au ya kati si chini ya miaka 4.
3. Awe na shahada/Astashahada kwenye Mambo ya Mining.
4. Awe na blasting licence ambayo ipo up to date.
Waombaji wote...
Nahitaji mwanaume wa kunitimizia hili na pia awe na shida na kama hii pia yaani naye anahitaji mtoto.
I have been so lonely, naamini mtoto atakuwa faraja yangu. Na kunisaidia kuishi maisha yenye kusudi, na pia atanipa Ari na moral ya kujitafuta zaidi.
Kwa upande wangu unaweza kujiuliza Sina...
Kauli hii ni ya kila asiyenazo za kukidhi japo mahitaji yake ya lazima. Kauli hii hutamkwa hata na wale wenye nazo za kukidhi ila hazijawakinaisha.
Nikisema nazihitaji, mtauliza tofauti yangu na wao ni ipi ama ni nini?
Nahitaji pesa ili niikomboe kesho inayonitafuna sana moyoni. Ningepewa...
Acheni jamani,
Naumwa.
Yani nina kama burn out fulani, hata siwezi kupokea simu za watu.
Ujenzi unachosha sio tu mfuko, na wewe pia unayesimamia unachoka hovyo kabisa.
Nilianza mwezi wa saba mwaka jana, na mwezi huu nimemaliza. Utukufu kwa MUNGU Mkuu.
Natumai wote mko sawa humu ndani.
Naombeni msaada mtu yeyote au mfanyabiashara yeyote aliyepo Dar anipe maelekezo vizuri kuhusu mchele.
1. Bei zipoje sasa mashineni
2. Je ni kweli muda si mrefu bei zitashuka na zikishuka huwa zinafikia bei gani
3. Usafiri mpka dar kwa kilo mia bei gani na...
Habari ya muda huu Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32, ninahitaji mwanaume wa kuwa nae katika mahusiano tukielewana tufunge pingu za maisha.
Sifa zangu ni
Mweusi
Mkristo
Ninafanya bihashara
Nina watoto 2
Naishi dar es salaam.
SIFA ZA MWANAUME.
Rangi yoyote
Awe mrefu, asiwe na kitambi
Kabila...
Kama kichwa kinavojieleza natafuta kazi ya kuweza kujikimu, nina diploma ya uhasibu
Kwa yeyote anayeweza kunisaidia au kunipa mawazo ya jinsi ya kujikwamua, mitihani ya utumishi nimeshafanya mingi ila sijafanikiwa kupita.
Sina uzoefu sana nimefanya internship zile za TAESA ila ni mwepesi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.