Habari zenu wana jf,,, naombeni misaada wa mawazo na mawazo ya kisheri... Nipo katika wakati mgumu
Mimi baada ya kuhitimu MBA programme naliamua kujihusisha na shughuli za biashara. Kuanza na, nlianzisha kampuni iliyoitwa Mafuru Furniture Supplies Co Ltd ambapo alikuwa mmiliki mwenye hisa zaidi...