nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. diuretic

    Msaada: Nahitaji vifaa vya mazoezi vya mtumba (Dumbbells)

    Wakuu habari. Nipo jijini Dar nilikuwa nahitaji dumb bells used au za mtumba au hata zile wanazotengeneza mtaani. Mpaka nakuja kuuliza humu ina maana sina pa kuanzia na naamini ntapata msaada humu. Uchumi kidogo umebana siwezi kununua vipya kwahiyo yoyote anaeweza nisaidie chimbo la dumb...
  2. Mr Why

    Mwenye Ipad anikodishe dakika kadhaa nahitaji ku screenshot iOS App

    Ndugu zangu mimi sio mtumiaji wa Ipad ila nina uhitaji nayo wa dakika tano tu. Nahitaji kuchukua App yangu screenshot za App Store na baada ya hapo ndio mwisho wa matumizi yangu Kama unayo basi nikodishe kwa dakika tano tu nitakupooza kidogo
  3. kekule benzene

    Nahitaji fundi mzuri wa kuflash simu

    Habarini wanajamvi, nina simu BASIO KYV43 ambayo nilikuwa nahitaji kuiflash. Kwa bahati mbaya nimeenda kwa mafundi wawili wamehangaika mwisho wakashindwa. Kama kuna fundi (Dar es Salaam) anaweza kuflash simu hii basi anipm ili tufanye kazi. Pesa ipo mfuko wa shati
  4. Dr. Zaganza

    Nahitaji chumba cha kupanga mabibo kwa uharaka

    Habari Wakuu, Nina kijana wangu amejiunga NIT ngazi ya cheti(HR). Naomba chumba cha kupanga (single room) ndani ya kata ya mabibo au maeneo jirani. Piga 0713 039 875.
  5. maksaidy

    Ninahitaji chumba cha kupanga

    Habari zenu ndugu zangu wa jf 🖐, Mimi shida yangu kubwa iliyonileta hapa ni uhitaji wa chumba cha kuishi maeneo ya kigamboni ila kisiwe mbali sana na kivuko cha feri. Sababu iliyopelekea kuja kuomba huku ni baada ya kuhangaika bila mafanikio, ila nina uhakika wakupata chumba moja kwa moja...
  6. Jicholamwewe

    Nahitaji msaada ndugu zangu kwenye kupata Hati ya kusafiria

    Nina ndoto za kusoma nje, nilifanikiwa kupata chuo na scholarship lakini napata changamoto nimekosa passport yaani nimenyimwa sababu mzazi alishindwa kujieleza yaani alipishana kauli na Afisa uhamiaji. Sasa nimepeleka documents zote na barua ambayo nimetumiwa na chuo ili wanisaidie hata...
  7. M

    Nahitaji Kukodi Malori 5 ya Kichanja

    Wanabodi, Nahitaji kukodi Malori Matano ya Kichanja (not box body, preferably Scania 113) haraka iwezekanavyo. Terms & Conditions ni kama ifuatavyo:- Malipo kwa siku ni 500k (Laki 5). Hii ni net payment wakati gharama zote za Dereva pamoja na mafuta ni juu yangu; Gari liwe katika hali nzuri...
  8. hamza mahundu

    Chumba cha kupanga kinahitajika Daresalam maeneo yawe Tandika

    Bei ya chumba isizidi elf 30 kwa mwez. Ambaye anamjua dalali anitafute kwa namba hii 0656376814 Pesa ipo mfuko wa shati
  9. TUKANA UONE

    Nataka kuwekeza kwenye Ujenzi, naomba ushauri

    Ukihitaji salamu rudi kijijini kwenu, kwangu utaambulia chuya ukalishie kuku! Wakuu nimekuja kwenu nahitaji ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kutoka kwenu,natambua ya ksmaba humu jukwaani wapo wadau ambao sekta ya ujenzi wamesomea na wanaifahamu kinagaubaga. Mimi kama mbangaizaji na mganganjaa...
  10. mjengwa

    Nahitaji supplier wa hii miti

    Habari wana jamii nahitaji supplier wa hii miti ni micharaka inaitwa au mkambara nahitaji PC 8000 location bagamoyo kidomole kila PC ntalipia 3000 namba zangu 0658009530
  11. Naanto Mushi

    Nahitaji kuwekeza kwenye kilimo cha kimkakati (perennial crops)

    Kuna haya mazao hapa Almonds Macadamia Cashew nuts Palm Nimeyafanyia utafiti sana na nimeona yana potential kubwa ya kutengeneza pesa. Embu naombeni mawazo wadau. Kuna amefanikiwa kulima hayo mavitu? Nimetafiti kidogo ni mazao ambayo yanahitaji kuwa na subira mfano Almonds na Macadamia...
  12. Bexb

    Nahitaji mtaalam wa mfumo wa kuomba kibali cha mgeni kuishi nchini Tanzania (residential permit)

    Habari ya jioni wakuu. Ninahitaji mtu/consultant mzoefu ama mtaalam wa kazi ya kuomba vibali vya mgani toka nje ya Tanzania kuishi nchini kwa njia ya mtandao. Tayari maombi ya work permit yamefanyika na yamekubaliwa lakini tumekwama kwenye residential permit pekee. Kama unaweza kutukwamua...
  13. N

    Maandalizi ya shughuli au sherehe ya Engagement: Nahitaji Ushauri Wenu

    Nina mpenzi wangu ambaye natarajia kabisa kufunga naye ndoa, lakini kuna mambo ambayo naona yanakwenda kinyume na matarajio yangu. Kibinafsi, sipendi kufanya sherehe za harusi zenye gharama kubwa ambazo mara nyingine huwa ni israfu. Hata hivyo, mpenzi wangu ni mtu ambaye anathamini na kupenda...
  14. D

    Anahitajika kijana wa kusambaza ice cream

    Kichwa cha habari chajieleza, Anahitajika kijana mdogo na mchapakazi mwenye umri kuanzia 18-20 atakayefundishika kutengeneza bidhaa tajwa hapo juu, kisha kuzichukua na kuzipeleka eneo la mauzo. ipo mashine ya kutengenezea. Umri huu wengi hawatumii jf, lkn lengo ni kama wewe mwanajf una kijana...
  15. chichiboy1

    Nahitaji mchapaji wa vitabu

    Habari za majukumu wakuu, Kwa wale wenye ufahamu/uzoefu wa uchapishaji, naomba kufahamu mchapaji mzuri wa vitabu hapa Dar. Kuna kazi kubwa ya kufanya. Asante.
  16. B

    Nahitaji ushauri kuhusu mbegu bora ya mahindi

    NI mbegu ipi ya mahindi nikiitumia naweza kupata matunda Bora? Ushauri wenu ni muhimu Sana, #Elimu ya kilimo
  17. L

    Nahitaji kufanya operation ya kuondoa bawasiri

    Wakuu nahitaji kufanya hiyo operation husika napata maumivu ya hatari. Ni hospital gani yenye watu makini katika Hilo suala?
  18. Kinyozi_tz

    Nahitaji Toyota Premio 2010

    Kama kichwa kinavyo eleza hapo yeyote anae uza gari ya aina hiyo aje pm.
  19. Webbyllon

    Nahitaji wavuna mikaa na kuni tuongee biashara juu ya eneo langu

    Nina ShambaPori lenye ukubwa wa heka 100 lipo Gwata mkoa wa Pwani ambalo limejaa miti mikubwa sana hivyo natafuta maboss ambao watahitaji kuvuna mikaa na kuni tuongee biashara napatikana kwa namba 0743699500 for call/whatsapp.
  20. A

    Nahitaji mchumba

    Jina : Albus Dini : Muislam Umri : 29 Mkoa : Mwanza Kazi : Dereva NAHITAJI MCHUMBA umri kuanzia miaka 20 mpaka 27 Sichagui dini Wala kabila Kwa aliye tayari anaweza kunipata Kwa 0753112138 Ahsante
Back
Top Bottom