Wakuu poleni na purukushani za kujitafutia mkate wa kila siku.
Kwa mwenye kufahamu wapi nikifungua biashara tajwa hapo juu naweza kupata mzunguko mzuri?
Tafadhari share nami location nikapambane mwenzenu, maana hapa nilipo hainilipi kabisa.
Napendekeza iwe mkoa wa Morogoro au Pwani. Hata...
Habari Wana JF, Kama Kichwa Kilivyoeleza. Nahitaji Eneo la Biashara ya Chipsi Na Mgahawa Kwa Kupanga Na Ikiwezekana Tuma Na Picha Ya Eneo Lenyewe tuje tuingie Mkataba.
Haya ndo Maeneo Ninayoitaji Eneo Hilo Liwepo;
i) - Sinza
ii) - Kinondoni
iii) - Magomeni
!v) - Mbezi Karibu na Magufuri...
Mimi kama Mtanzania wa kawaida, ninayo haki na wajibu wa kukutana na kiongozi wangu yeyote na kubadilishana naye mawazo ili kujenge nchi yetu kwa pamoja.
Mimi nimebehetika kukaa katika biashara ya mazao na pia kulima mazao katika mikoa minne ya kanza ya Magharibi na kusini. Nimefanya export ya...
Naitwa Emason umri Wangu miaka 35, Elimu yangu Degree, Ajira yangu nipo serikalini, lakini pia nimewekeza katika business, situmii kilevi chochote, Mimi ni mkristo, pia nipo social sana, siyo kwamba najisifu ila najieleza uhalisia juu yangu.
Natafuta mke wa kuoa, na hii imetokea baada ya Mimi...
Simu yangu ilitumbukia kwenye maji display ikaharibika niikaweka display nyingine kwa sh 70,000,display hii mpya haina ubora kama ile original iliyokuja na simu na napasuka kama kioo cha dirisha pia inastack ovyo nikitouch.Nauliza kuna anayejua wapi naweza kupata display nzuri na original ya...
Habari wadau nahitaji licenced windows 10pro na ms office 2016
Ninatoa 100k
Nicheki 0621973591.
Note:
Sihitaji pirated wala cracked version.
Ikiwa kwenye cd yake ni bora zaidi.
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane.
Huwezi kuniambia niendelee kuusifu Uafrika wakati kuna mambo ya kutumia tu akili ndogo tumeshindwa kuyafanya.
Mfano.
Taifa la Tanzania ni moja ya nchi inayopatikana kwenye hili bara la Afrika (BARA LILILOJAA NEEMA).Moja ya Rasilimali tulizonazo kama...
Salaam wakuu,
Nahitaji gari ndogo kwa ajili ya matumizi na mizunguko midogo midogo hapa mjini Dar es salaam. Napendelea zaidi Spacio, Premio, Allex, Runnex, Raum, Ractic na Rumion.
Bajeti yangu ni TZS 6M. Tuwasilisane kupitia namba 0622078182.
Wakuu habari,
Mtaji wa kuuza accessories za simu kama vile.
Earphones, Battery, Cover, Screen protector na Charger.
Unahitaji mtaji wa shingapi yaani kianzio
Naombeni Msaada wa mabus mazuri ya luxury ya kawaida kwa routes izi na bei zake.
Dar to Tanga city
Tanga city to Lushoto
Lushoto to Mwanza
Mwanza to Dar
Dar to Lindi city
Lindi city to Mtwara city
Mtwara city to Songea
Songea to Mbeya city
Mbeya city to Kigoma
Kigoma to Dar.
Serious answers plz...
Umri wangu miaka 34. Mwajiriwa serikalini, Natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo:
1. Awe na umri kuanzia miaka 20 Hadi 30
2. Awe na Elimu kuanzia ngazi ya chuo
3. Awe mweupe au maji ya kunde
4. Awe na hofu ya Mungu
5. Awe amezaa au hajaza lakini asiwe na zaidi ya mtoto moja
6. Awe mkristo...
Habari
Kwa mmiliki wa suzuki carry, nahitaji kukodi kwa malipo ya mwezi au uniuzie kwa malipo ya kila mwezi..
Tutaandikishiana na dhamana zipo.
Kama unayo unaweza kunichek DM tukaelewana.
Naishi Kigamboni, Dar es salaam
Mambo vp wadau kama kuna mtu yoyote anaweza kunisaidia kujua faida na hasara kwa kufungua acc ya usd kwa kuhifadh hela naomba anifafanulie nipate uwelewa vizuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.