Mimi ni kijana wa miaka 25, katika kupambana kwangu nimepata mtaji wa milion 15 nataka nianze biashara ya duka la vifaa vya umeme.
Sasa naombeni muongozo (kupata mlango, kuagiza mzigo, maeneo mazuri ya kuchukulia mzigo Kwa dar, na location ya office za usafirishaji).
Kwa anaye jua A to Z juu...
Hello!
Mungu awababariki
Niko mwanaume with 42age
With VIH + and mtoto mmoja
NATAKA MWANAMKE wa kuoa
Same life.
Mwanamke akubari ku inshi Tanzania au Rwanda
Kwa SABABU Mimi nainshi Rwanda.
Niko na level bachelor degree
But napenda BIASHARA Sana
That is the why I know Arusha ,Kilimanjaro...
Fundi simu anahitajika kama kichwa ya habari inavyosema hapo juu,fundi ninae muhitaji ni fundi makini,anaejua kazi,anaejua majukumu ya kazi yake Maeneo yote mawili software na hardware.
Japo matatizo ya software sio mengi lakini fundi mwenye anajua basic tips za kuondoa FRP,FLASHING TOOLS,nk na...
Habari ya mchana wajumbe. Ninahitaji gari ya raum ile ambayo kwa hapa nchini tumeipachika jina la new model. Bajeti iliyopo ni 5.5 lakini inaweza kupanda kidogo sana.
Kama unalo tafadhali naomba tuwasiliane kwa 0755965775 calls/WhatsApp nije nikague nilipie.
Shukrani
Wandugu nahitaji kununua darubini kionambali naomba kama kuna anayejua aina zake ubora wake bei zake na mahali zinapopatikana hapa tanzania.
Na je sheria hazina tatizo juu ya umiliki wa darubini?
Wajeda hawawezi sumbua nikiwa nayo?
Asanteni
Mimi ni binti wa miaka 30, muislamu, naishi Dar es Salaam, ni mwajiriwa wa sekta binafsi na ni mama wa mtoto mmoja nipo single nahitaji mwenza wa maisha ikiwa heri tuishi pamoja.
Sifa za mwenzi ninayemtaka
1. Awe na umri kuanzia miaka 32 na kuendelea.
2. Dini yoyote ila akiwa muislamu...
Za jioni wadau,
Naomba mchango wa mawazo yenu, nikiwa na milioni 170 za kitanzania naweza wekeza wapi pesa hii nikapata rejesho lenye tija?
Kwangu mimi rejesho lenye tija ni angalau milioni 2 kwa mwezi.
Natanguliza shukrani.
Nahitaji mume/mchumba mwenye malengo, awe Morogoro au Dodoma, awe Mkristo, awe na kazi au biashara yenye uhakika wa kipato.
Mimi ni muajiriwa - private, I'm black beauty, loving and charming + hardworking, miaka 31. Nipo Morogoro, I'm 163 tall. aliyetayari ani PM
Update:
Mungu ni mwema sana.
Habari za muda huu, Mimi ni kijana wa miaka 20, hivi karibuni ninatarajia kupokea 40mil, je ni biashara gani ya uhakika naweza kuifanya yenye pesa.
Mimi binafsi sipendelei maduka kabisa wala sifikirii, Ila nilikuwa nawaza kununua coaster hata kama used kwa mtu, nimpe mtu afanyie kazi kwa siku...
Habari wadau
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nahitaji turubali ngumu kama zile zinazofunikia mizigo katika malori makubwa , sihitaji mpya ila itakayopatikana iwe nzima isivuje, hata kama itakuwa ina michoro , picha au matangazo ilimradi iwe ngumu .
Mwenye nayo tafadhali tuwasiliane PM
Mke wangu alifariki baada ya kilio masheji zangu wamekatalia kwangu hawataki kuondoka kuwatoa kwa nguvu naambiwa sheria inanibana.
Je, kisheria nahitajika kufanyaje waondoke?
Matumizi yote ya kimsingi yanayoka kwangu.
Biashara yangu ina Jina lakini haina Logo nimekua nikiwaza kuhusu hili muda mrefu lakini sikua nalipa kipaumbele sana ila sasa naona linaelekea kuni cost huko mbeleni.
Sina pesa wakuu naommba yeyote ataechukua MUDA wake kunipa design nzuri ya LOGO zile za motion kama maandishi ya ITV...
Habari wanajamii...
Natoa fursa kwa mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote kwa kiwango cha juu na wanaozingatia usafi sana.
Eneo ni Bar maarufu iliyopo Dar Es Salaam, maeneo ya Tabata inafahamika kwa jina BARACUDA BAR & LOUNGE.
Malipo ya kazi nalipa...
Huyu Jamaa ni Jamaangu , ni Mpiga pombe sana. Sasa ana Mke na watoto.
Mke wake ana rafiki yake ( shosti) kindaki ndaki wa kusindikizana mpaka saluni.
Kumbe jamaa alimzunguka mkewe akawa anakula Shost wa mkewe ( Shem).
Sasa Jamaa Jana alikua kalewa pombe, wamegombana na mkewe, mwisho jamaa...
Nahitaji mtu mwenye sifa tajwa,Kwa ajili ya kupata ufumbuzi wa changamoto zangu.
Ni vizuri asiwe mwamposa Wala kuhani musa Wala manabii uchwara.
Natanguliza shukrani zangu za dhati
Habari wakuu, Nina vacant position za madereva wa Pulling na Semi-Trailer.
Gari zinafanya local trips na base ya kampuni ni Dar es salaam.
Kama wewe ni dereva au unamfahamu dereva mzuri, please ni PM CV yake na number yake ya simu.
Kigezo kingine cha kupewa kazi ni kuwa na mdhamini...
Ndugu wanajamii nimepata mchongo la saba mimi ambao unahitaji niwe vizuri kwenye hayo niliyoyataja hapo.sina komputa ya kusema nitajifunzia ndo maana natafuta mtu ambaye anadesktop anipige msasa kiasi. Nipo Mwanza na siku nayoweza kuwa free ni jumapili.
Malipo tutakubaliana.
Karibu PM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.