“Rais wa Yanga [Eng. Hersi] alinipigia akaniuliza kama nimewahi kuvaa jezi namba 6, nikamwambia hapana kwa sababu nimekuwa nikipendelea kuvaa jezi namba 11.
Alinambia angependa kunipa jezi namba 6 na mimi nikakubali kwa kuwa ni heshima kwangu na nisingeweza kukataa.” – Skudu Makudubela...
Tanga. Wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga likiwashikilia watuhumiwa 11 kwa makosa ya utapeli kwa njia ya mandao, majirani katika nyumba waliyokuwa wakiishi watuhumiwa hao wamesema wakiwa humo walikuwa na utamaduni wa kufungua muziki kwa sauti kubwa.
Pia wanadai watuhumiwa waliokuwa wamepanga...
1. Congo DR
2. Afrika Kusini.
3. Ivory Coast
4. Burundi
Ila Wenye 99% ya Kusajiliwa ni wa kutoka Congo DR au Afrika Kusini na Ivory Coast na sababu Kuu ya huyu wa Burundi kutohitajika sana ni kwamba si mzuri kivile kama tulivyokuwa tunadanganywa na Chawa wa Yanga SC Redioni, Runingani...
Haya Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe, Wachambuzi na Watangazaji wa Redio wenye Uyanga tafadhali Tangazeni upesi hii Taarifa.
Na huyu Mchezaji wa Club ya Asec ndiyo alikuwa Mchezaji anayetegemewa na Yanga SC na ndiyo Yule Namba 6 aliyokuwa akiimbwa na akinadiwa Kimajigambo na Msemaji wa hovyo...
Habari zenu..
Simba wamesema leo watatawanya bahari kwa wachezaji watakao watambulisha.
Ina maana ni wachezaji wanzuri,sasa simba wajiandae kisaikolojia vinzuri maana yanga watatambulisha namba 6 yao itakuwa boom kwa simba.
Hao wachezaji wa 3 wa simba watafunikwq na mchezaji namba 6 wa yanga...
Salaam!
Imani yangu inaniambia Jf wengi wao ni watu mordenized ones......kwa heshima hii nawapa.
Sasa naomba wakaka wa kisasa tubuni namna ya kuomba namba kwa hawa wadada.
Hizi ni tabia za kijinga kwa wakaka washamba na limbukeni.
1. Kila demu anayepita unajeuza shingo au kumtolea mimacho...
Nilipoteza namba yangu ya voda kabla haujaingia mfumo huu wa sasa wa kusajili kwa NIDA na kuthibitisha. Baada ya huu utaratibu kuanza ikawa imepewa mteja mwingine.
Natamani niirejeshe iwe yangu kwa sababu nilijiunga nayo vitu vingi vya muhimu ikiwamo email na kwa sasa siwezi kutumia email...
Mkude amefanya nini la maana Simba Sports mpaka jezi namba 20 aliyokuwa anavaa kustaafishwa?
Sijaona Barcelona wakistaafisha jezi ya Messi, Man Utd wakistaafisha jezi ya Giggs au Ronaldo?
Ac Milan wamestaafisha jezi namba 3 ya Maldini kwakuwa alifanya makubwa sana ndani ya Milan akiwa kama...
Mmiliki wa mtandao wa Twitter na mkurugenzi wa kampuni ya magari ya umeme ya Tesla Bwana Elon Musk amerejea kwa mara nyingine tena kuwa tajiri namba moja Duniani.
Tukumbuke kwamba Elon amekuwa akipoteza nafasi ya kwanza utajiri Duniani mara kadhaa na kurejea toka November mwaka jana kutokana na...
Lazima yanga wavunje bank wanunue Namba sita mkata umeme mwenye kasi Ili akae katikati na aucho acheze 8
Namba kumi wa kisasa mwenye kasi na anayeficha mpira
Namba saba mwenye kasi na anayetumia reft au Azziz ki arudishe winga Namba saba
Msitumie pesa kununua mabeki yanga inavuja katikati kwa...
Leo natabiri hivi..
Dakika ya 7 kuna goli.
Jezi namba 7 inafunga goli.
Kuna goli 7.
Nitakasea kidogo tu.
Rangi ya bahati ni njano(saffron)..
Wananchi tunaenda kuishangaza dunia leo
Kama unadhani chama kitakufa unajidanganya. Mawaziri wanapiga kazi na hii inasaidia kuzalisha wanachama wapya na mawaziri, wabunge wa kesho.
Bado chama kipo sana. Na mikutano inaendelea kama kawa kama dawa.
Airtel Customer Care WhatsApp Number
Vodacom Customer Care WhatsApp Number
Tigo Customer Care WhatsApp Number:0675-100-100
Halotel Customer Care WhatsApp Number: 0620100100
Shikamoo /Mambo.
Kwa mnaofuatilia story yangu ya YULE MZEE ALIHARIBU MAISHA YA MABINTI WENGI ILA YA KWANGU ALIYAHARIBU NA KUYATENGENEZA MWENYEWE ep. 4 niliandika nilivyoenda Ulaya kwa mara ya kwanza ila nikashindwa maisha ya kule nikarudi zangu.
Ilikua ni Sweden na ilikua January ambapo winter...
Hii Bodi ni bora ivunjwe isukwe upya. Wakati wa marejesho ya mkopo walizidisha miezi kadhaa kunikata. Nilipofika ofisini kwao wakasema niingingie online kudai kiasi hicho kilichozidi. Wangerejesha baada ya miezi 3 ( siku 90) tangia 3 Sept 2022 nilipo jaza hizo taarifa.
Baada ya muda huo...
Tatizo ni kwamba watu warefu kwa kawaida hawakai kwenye form kwa muda mrefu , lakini pia Halaand anatumia mguu mmoja tu wa kushoto wakati R7 mashine inakubali kote kote. Halaand ni mrefu zaidi ya Ronaldo. Nafahamu exceptions huwa zinatokea. Naziachia namba hapa zizungumze!!
Domestic Tournaments...
“Uzinduzi wa kibao chenye namba za dharura kwa kila kaya.”
Hili ni pendekezo kwa Serikali ianzishe au iruhusu upachikaji wa ubao wenye orodha ya namba za dharura ndani ya nyumba kwa kila kaya lengo kuu la ubao huu ni “kutoa taarifa mapema kwenye mamlaka husika ili kupata msaada wa haraka na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.