Ripoti ya utafiti iliyotolewa na Forbes Januari 30, 2023, Mo Dewji alikuwa nafasi ya 15 hapo awali, amepanda kwa nafasi mbili kutokana na utajiri wake unaokadiriwa kufikia Dola 1.5 bilioni (Sh 3.5 trilioni).
Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'MO Dewji amepanda kwa nafasi mbili katika...
Siku moja baada ya Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Kijitonyama Dk Eliona Kimaro kupewa likizo, ibada ya asubuhi (Morning glory) imefanyika huku idadi ya waumini ikiwa ndogo tofauti na ilivyozoeleka.
Licha ya uchache huo wa waumini pia baadhi ya viongozi...
Unapodai maendeleo, jiulize kama unalipa Kodi, nashauri Kila biashara ambayo haitumii EFD receipt, Sasa zilazimishwe kuwa na LIPA NAMBA.
Mfanyabiashara, kama anafanya biashara Kila siku, hajatoa taarifa kwa mamlaka kwamba ameifunga, angalau kwa wiki au mwezi aonekane kuitumia, na namba hiyo iwe...
Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro linawashikilia watu 11 Kwa tuhuma za utapeli kwa njia ya mitandao.
Watuhumiwa hao ni wale ambao wanadaiwa hutuma ujumbe mfupi Kwa njia ya simu, 'Ile pesa tuma kwa namba hii', ambapo wamekamatwa na simu za kiganjani 19 pamoja na fedha Sh700,000 ambazo wanadaiwa...
Mbona kama wametupiga sound hawa watu wa Yanga. Walizindua chanel yao kwa mbwembwe ila mpaka sasa mbona hatuioni, au ni mimi ndio sijui namba ya chaneli?
Wadau wa bongo fleva,
Kila mara anaongelewa. Diamond, ali kiba, Harmonize, Rayvanny, Nandy na Zuchu. Huyu dogo mario haongelewi sana.
Leo nimepata nafasi ya kusikiliza nyimbo zake za album yake mpya. Nimegundua dogo kazi anaweza.
Mojawapo ya nyimbo yake iitwayo lonely aliyoshirikiana na Abba...
Wakuu habari zenu naomba msaada wa namna ya kuondoa hii divert kwenye simu yangu niliiweka mwenyewe nimeshindwa kuitoa.
Sasa imekuwa kero kwa wateja wangu na watu wangu wa karibu kila wakipiga simu yangu wanaambiwa simu zao zimeelekezwa kwa namba nyingine.
Nawezaje kuitoa hii.
NB: nimejaribu...
Sijapendezwa na kitendo cha mtu anayetumia namba ya Hayati Rais Magufuli na pia ni aibu kwa jamii yote ya ulinzi na usalama ukianzia TISS na Jeshi la Polisi.
Ili kutunza heshima ni vizuri namba ya Hayati Magufuli ifungiwe, tubaki nayo tu kwenye simu zetu kama ukumbusho na siyo iendelee kutumiwa...
Kupitia taarifa ya habari jana Jumatatu saa mbili usiku Azam TV imeripoti habari ya kiwanda kimoja cha kuzalisha vifaranga cha mjini Moshi kuteketeza mamia ya vifaranga kwa kuwatosa kwenye moto mkaili eti kisa tu vifaranga hao wamekosa soko!
Kweli japo kuku wanaliwa kila siku lakini kitendo...
Takwimu zinaonesha Croatia hakubahatisha kum funga Brazil! Alitawala mpira zaidi, alizuia (clearances) zaidi, na alikuwa makini zaidi kwa asilimia 100 alipopata kulenga goli (shots on target)!! Kwa takwimu hizi, Argentina watie maji mapema vinginevyo watanyolewa kavu kavu!!
Match stats...
Dunia hadaa ulimwengu shujaa.
Ni imani yangu sote tu buheri wa afya.
Nina kisa Cha mpenzi aliitwa Agnes, katika ubora wake huyu mtoto wa kingoni alikuwa na roho nzuri ya kila kitu yaani kila kitu,
Hakuwa mchoyo wa chochote iwe pesa, penzi, chakula, kuazimisha nguo, viatu, simu, kukopesha...
Hivi ndivyo ninavyoweza kusema kwa ufupi, hali ni mbaya sana kwa wamiliki wa viwanda Tanzania tangu kuondoka kwa uncle mambo yamebadilika sana.
inawezekana baadhi ya wawekezaji walifurahia kuondoka huyu mwamba ila wakati wanaopitia kwa sasa mungu mwenyewe anajua.
iko ivi viwandani huwa...
Gari nzuri ipo mwanza mjini ni Toyota crown namba D..rangi ya silver ipo katika hali nzuri bei ni millioni 10 japo maongezi yapo..0769344686 nipigie tuzungumze.
Habari wangu.
Kuna ishu naomba msaada, sijuwi ndio mambo yamebadili siku hizi kwenye whatsApp.
Nilisitisha mahusiano na aliekuwa mpenzi wangu. Nilifuta namba yake na picha zake zote. Lakini ajabu bado nikiweka status anaona na jina inajitokeza lile alioandika kwenye whatsaap yake. Imetokea...
Nipo Coco beach now nimepitia hapa kupunga upepo kwani niliumiss flan hivi.
Kulia kwangu kuna Akina dada wanapanda farasi huku wanapiga picha kuweka kumbukumbu,nyuma kidogo kuna wamasai ambao wamechill Chini ya mnazi wanawaza mambo yao, mbele yangu wanapita wadada watatu wa kizungu wanafurahia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.