Sasa daladala bye bye
Kaa vizuri na Mungu
Muda huu nipo hapa Banana Big John Katika Sheli ya Petro Africa
Vijana tuishi Katika Mungu Mimi hii namba C inanitosha
Nimekutana naye huko badoo akanipa namba basi nikaingia m-pesa kujua jina basi lahaula ni jina la mama mmoja ninayemfahamu.
Alipokuja nikambana akasema akitumia namba hiyo hawezi kufahamika kupitia mitandao kwasababu mama yake hatumii instagram, facebook, twitter nk
Kwamba anaogopa akitumia...
Ripoti ya "The wealth report" inayoandaliwa na kampuni ya Knight Frank ya Uingereza ya 2022 inaonesha Tanznia ni nchi ya 7 Afrika kwa utajiri binafsi na kuwa na bilionea pekee Afrika Mashariki na kati.
Idadi ya mamilionea wa dola yaani watu wenye utajiri wa kuanzia dola za Marekani 1,000,000...
Hizo ndio takwimu zinavyoonesha. Nchi iliporomoka vibaya sana katika miaka hiyo kumi alipokuwa anaongoza rais mstaafu Mwinyi.
Alishindwa kufanya makubaliano mazuri ya kiuzalendo na IMF na WB ili uchumi usiporomoke
Mwaka 1985
Mwaka 1995
Salaam,
Kwa Pamoja Wakina Majaliwa wote tumewasikia na maelezo yao mmoja akiongelea kuhusu hali ilivyokuwa chini ya maji na Majaliwa Mwingine akielezea hali ya hewa ilivyokuwa mbaya.
Tangu Majaliwa aseme Magufuli anachapa kazi wakati alikuwa anaumwa, simuamini tena na sitakuja kumuamini. "Rais...
Nimekuwa nikifatilia namna ya uchezaji wa huyu bwana, hakika Hana uwezo wa kucheza hapo msimbazi. Jamaa ni mweupe mno kwenye maswala ya mpira na Kama siyo uchawi hakika hapati namba kwenye klabu yoyote ya mpira hapa nchini.
Bila hustle mingi!
Si yule mrembo kanitafuta tena na namba mpya! Nikamuuliza vipi, mbona namba mpya? Oooh! Nikikupigia na yangu ya kawaida haushiki simu. Eeeh bwana eh, mwenzenu sijala nyama tangu mwezi wa kumi na mbili, mwaka uliopita!
Mtanisamehe kwa kweli, hapa napita mpaka na mifupa...
Rais Samia Suluhu ni mwanadiplomasia namba moja africa ameimarisha diplomasia katika nchi mbalimbali na leo ameelekea nchini China kwa ziara ya siku tatu.
Habari za haraka kuhusu ziara ya Rais Samia Suluhu nchini China.
1. Amekuwa Rais wa kwanza wa Afrika kukutana na Rais Xi tangu kuongezewa...
Mnakomaa kumalizia Sgr, daraja la Wami, daraja la Busisi na miradi kibao aliyoiasisi hayati JPM.
Kwanini rais wa sasa asilete miradi mingine ya kuweza kisisimua uchumi?
Ina maana hii miradi aliyoianzisha hayati JPM ikiisha ndio basi tena?
Mnaoishabikia Urusi muendelee kupata aibu, kataifa namba 22 kamezingua hadi basi tu.
I wish Ukraine wangepewa silaha za masafa marefu, pangenoga sana, jamaa wanajituma kama sisimizi.
Kwa ambavyo wamemchosha Urusi ni dhahiri NATO wakitia guu pale, Urusi atafutika.
Globalfire
Elimu niiombayo ni ya tafsiri (maana), muda na namna ya kutumia na sababu ya kuwepo kwao. Nauliza kwa sababu sielewi tu, nilikuwa katika taasisi fulani hv karibuni na kulikuwa na miradi mikubwa na ya haraka.
Sasa unaenda kwa mkaguzi wa ndani (preauditor) anagoma kupitisha ikiwa moja ya nyaraka...
Dah! Hongereni kwa kufika makundi, imepatikana nafasi ya kujipanga na kukaa sawa ila ndugu zangu kweli mmeridhika kwamba nafasi ya kiungo mkabaji iko sawa kabisa?
Putin Kanoute anajitahidi ila kwenye mechi kubwa za presha yule ni straight red card anytime, halafu ni mtu wa majeraha sana. Haya...
Habari ya mchana waungwana, gari hii hapa haina shida yoyote ni nzima kabisa.
Gari ipo Goba njia ya kwenda Madale.
Bei ni 9.5 pekee.
Ukitaka kuiona, kukagua na kumaliza ama picha zaidi nicheki chap
0755963775 calls/WhatsApp
Mtahiniwa Iptisum Suleiman Slim kutoka shule ya Msingi Chalinze Modern Islamic amesema wakati akifanya mtihani wa kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) Oktoba 5-6, 2022 alipangiwa namba 40 lakini jina lake lilikuwa namba 39 kwenye katarasi ya kusaini.
Anasema alifanya mitihani 5 kwa namba 40 lakini...
Inatokea unataka kuja DODOMA kusoma, kuishi au hata kikazi, nakusihi uwasiliane namimi endapo mahitaji yako ni chumba cha kuishi, nyumba au hata appartment.
Mpangaji huweza kulipia mara baada ya kuona chumba Kama ni mhitaji wa chumba,nyumba kama ni mhitaji wa nyumba. Mpangaji hutoa chaguo lake...
Mataifa mbalimbali duniani yamekuwa yakifanya jitihada za kuhakikisha kwamba kila Taifa linalinda na kukuza utamaduni na maadili yake kwa lengo la kudumisha amani, mshikamano, umoja na maendeleo katika nchi husika.
Hata hivyo, kutokana na maendeleo makubwa ya Sayansi na Teknolojia yaliyopelekea...
Huyu jamaa ndiyo tatizo kubwa Yanga, pamoja na ndiyo kuwa sababu ya GSM kuweka Yanga ila jamaa hafai.
Kila kitu anajua na anataka afanye yeye!
Hawezi usiri kwenye mambo ya Yanga, mbaya zaidi anaingilia kila majukumu na tamaa yake ya kuonekana kwenye TV kila siku. Rais anaonekana kwenye TV zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.