Eti ndugu zanguni YAS?
Mnatufidia vipi sisi wafanyabiashara wenye Lipa namba zenu ambao tumeshindwa kupokea malipo kwa wateja wetu wa mikoani na online?
Fanyeni utaratibu aisee, this is crazy.
Vipi wakuu, mimi hapa napitia contact list yangu Kuna baadhi ya contacts sizijui kabisa na sikumbuki nilizipata vipi na wapi.
Kuna mmoja nimekuta nimemsave "muuza madela" ila sielewi chochote.
Kwa muda Sasa nimekuwa nikifuatilia kwa makini namba za usajili wa magari, Kuna kitu nimekiona sijakielewa. Nimeona nikilete hapa jamvini nipate msasa kidogo.
Ni kuhusu zile herufi zinazoambatana na tarakimu katika namba za magari. Katika hizo herufi ni herufi mbili tu ndiyo sijawahi kuziona...
Ndoa ni moja ya agizo la Mungu kwetu wanadamu,lakini agizo hili limekuwa na changamoto kutimizwa nasi hasa Katika karne hii ya 21,kwani vijana wengi tumekuwa na kaulimbiu Ambayo inachochea kukataa agizo hili"Kataa ndoa,tengeneza Maisha"
Hata hivyo kuna minong'ono kuwa"Umri wa wanandoa huchangia...
Aliyekuwa winga wa klabu za Simba na Yanga, Bernard Morrison amempa maua yame kipa Aishi Manula kwa kiwango kizuri alichokioinesha katika mchezo wa kufuzu Afcon 2025 dhidi ya Guinea.
Morrison ameweka ujumbe katika Insta story yake baada ya Taifa Stars kuichapa Guinea bao 1-0 na kufuzu michuano...
Unapoamua kuingia kwenye ulimwengu wa biashara, zipo changamoto kadhaa ambazo lazima
utakutana nazo katika harakati za utafutaji. Changamoto kubwa zaidi ni kujua wapi pa kupata bidhaa kwa bei ya jumla ili uweze kuuza kwa jumla na rejareja.
Najua, ndugu msomaji wa kitabu
hiki, pengine hata wewe...
Kumekuwa na shida sana kwenye Namba za Huduma kwa wateja kwenye baadhi ya Wizara za Serikali, kama namba ya huduma kwa wateja Wizara ya Ardhi , mwananchi unapata shida ili upige simu upate msaada wa kitaalamu unakuta namba haiiti na wameitangaza kwenye website ya wizara, au namba inaita ila...
Anonymous (319e)
Thread
ardhi
haipatikani
huduma
huduma kwa wateja
namba
wateja
wizara
wizara ya ardhi
Sijui inflation rates, sijui GDP, sijui unemployment rates, sijui exchange rates,
hayo yote they mean katika uhalisia wa maisha ya ukweli yaliyopo mtaani.
Mara nyingi hizi rates zinakuwa propaganda za wavaa suit ku-prove wamefanya jambo au kuwa challenge wengine kwamba wameshindwa mambo.
Elon Musk tajiri namba moja dunia hakuna alichokosa dunia hii lakini amempambania Trump kwa nguvu moja na Trump amemteua kwenye position fulani baada ya kushinda.
Sasa tajiri namba moja dunia anakubali teuzi na anapambana siasa na hakatai teuzi.
Wewe hujui hata kesho utakula nini ila unasema...
Kutokana na tajiri namba moja duniani kuwa kwenye timu ya kampeni, na hatimaye kushinda; Je kuna dalili yoyote ya yeye kupewa wizara? Na kama atapewa, itakuwa ni wizara gani?
Ingawa wapo wanao hisi kwamba, kutokana na yeye kushiriki kwenye siasa inawezekana anapalilia njia ya kuwania nafasi ya...
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi 77 ya ujenzi wa barabara na madaraja kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) yenye thamani ya Shilingi Trilioni 4.6.
Aidha, Serikali kupitia TANROADS...
afrika
barabara
barabara afrika
bora
kati
katika
mbinu
miundombinu
miundombinu ya barabara
namba
nchi
rais
rais samia
samia
tanroads
tanzania
viwango bora vya barabara
Salam kwenu.
Naona sasa imekuwa kero sana kwa makampuni ya simu kuamua kuzifanyia usajili upya namba simu kwa kigezo hazijatumika kati ya miezi 3 hadi 6.
Leo nimemtafuta mtu kwa namba ta tigo ambayo tulikuwa tukiwasiliana kwa muda mrefu isipokuwa siku za karibuni. Naastaajabu anapokea mtu...
Nimefanya utafiti usio rasmi Kwa kuangalia Matajiri wa Tanzania na Umri wao, na
nimegundua Matajiri wengi Umri wao ni kuanzia miaka 43-90.
Kwa Umri wa Diamond wa Miaka 34, inamfanya yeye kuwa Tajiri namba moja Tanzania Kwa watu wa Umri wake Kwa hapa Tanzania, hapa tungeweza kuweka watoto wa...
Akizungumza kupitia Power Breakfasta leo Oktoba 30, 2024, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma amesema "Kwenye utapeli kabla na baada ya zoezi la usajili wa laini za simu tofauti ipo kubwa sana. Ukiangalia ripoti ya Robo mwaka ya performance ya mawasiliano kwenye takwimu za mawasiliano...
Sasa yatosha, majirani zetu wanateseka sana.
Ni wakati sasa jeshi letu pendwa (JWTZ) kwenda kufanya operation nyakua nyakua kutokomeza waasi wote na kuiacha DRC salama.
Ikumbukwe kuwa kwa mujibu wa msemaji wa JWTZ, jeshi letu ni namba 6 kwa ubora Dunani. Sasa haliwezi shindwa kazi ndogo kama hii.
Napendekeza kanuni mpya!
Kanuni mpya ni kwamba, NIDA moja hairuhusiwi kusajili zaidi ya namba moja kwa mwezi.
Sasa mtu NIDA yake ikitumika kufsnys utapeli kwa laini iliyosajiliwa baada ya kuanza kanuni hii mpya atatueleza, wakala alimsajilisha vipi namba ya ziada? Maana yake mwenye NIDA ndio...
Watanzania, tufike mahali tujiulize swali hli dogo tu:
Mikopo ya mitandaoni hutolewa kwa wateja kutumiwa hela kwenye simu zao na zaidi marejesho hutumwa kwa haya makampuni kwa kutumia lipa namba za mitandao ya simu. Sasa kama mpaka wanakuwa wamesajili lipa namba kwenye menu ya mitandao ya simu...
Ndugu zangu wanaJF, huu ni mwaka wa sita sasa mtanzania mimi nahangaika kupata huduma hii muhimu lakini mpaka sasa nahisi kukata tamaa kwa maana kila nikiuliza naambiwa bado mfumo mpya haujatangazwa hivyo tuendelee kusubiri kwa wale tusiokuwa na namba ya nida na kibaya zaidi huku mtaani mfumo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.